Elsa Marie
JF-Expert Member
- Jul 7, 2017
- 2,284
- 5,596
Una hasira sana ndugu.Pesa za viingilio zao hukulipa wewe unakuuma nini!? Unapangia matukiz watu??
Ukipeleka ushamba mbeya utabondwa kule hawakai mapunga shaur zenu
Mimi nimemjibu aliyesema kwamba mbeya hawataki mambo ya kishoga.
Lakini cha ajabu wamelipia wakaenda.
Ilikuwa busara wao kugoma kabisa kwenda kwenye tamasha, wangeonekana watu wa maana zaidi.