Ilikua bureee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16] Sawa Ila aliyepata hasara ni nani hapo kati ya aliyelipa kiingilio na kufanya vurugu na aliyelipwa na haku-perform
Then hii sio Mara ya kwanza kutokea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kula urojo na kulegea miili kama wanawake[emoji87]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka sana nimevuta picha ya hiyo nyimbo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila show za wasafi festival msimu huu hazijakaa powa, show nzima watu wanatimua vumbi kama wako kwenye kigodoro mtaani[emoji849]
Wasanii wafanye show waache kuwatesa mashabiki imagine mtu analipa kiingilio anaingia kwenye show anaambiwa mikono juu kushoto, kulia, vua shati zungusha, beba vumbi timua juu.
Wahuniiii, ruka ruka. Twende juuu ruka kama masai, yero masai yero [emoji23][emoji23][emoji23]
Itβs so sad [emoji24]
Mwanza tuondoe kwenye ujinga wa watu wa Mbeya.Burudani zibaki kuwa burudani na siasa zibaki kuwa siasa.
Nakumbuka hata wakati wa Yanga Day Harmonize aliingia na T-shirt yenye picha ya Samia kifuani alizomewa hadi akaivua.
Hili liwe fundisho kwa wasanii wengine wenye tabia hizo kwa vile mashabiki wao ni waumini wa vyama mbalimbali na itikadi tofauti.
Mbeya wameanza bado Mwanza, Ar Chuga, Mara, Kagera, Singida, Iringa, Moro nk.
Wasipojirekebisha wataendelea kupigwa mawe na kuzomewa kila mkoa watakaoenda kufanya matamasha yao na kuharibu brand zao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh watu wamevurugwa wanamtaka mke wa P Diddy[emoji23]
Kasema, wao walikuja kumtazama mke wa P Diddy. Sasa mke wa P Diddy na tamasha na Wasafi wapi na wapi? Mbeya nao bwana.Sasa wakifuata nini tamashani,maana kurusha nawe sidhani kama tamasha liliendelea
Huu ujinga mpk arusini upo, mara utaskia DJ akweka nyimbo za CCM mbele kwa mbele. WanaudhiKama walileta siasa sehemu ya burudani basi wamestahili walichokipata.
wanaume kumrushia chupa mwanamke ni jambo la hovyo sana, Zuchu ni mwanamke zile reaction ni kawaidaKilichotokea kwa Zuchu ni matokeo ya malezi mabaya kwa watoto
1. Kuna show alifanya ya kumkaribisha Biteko baada ya kuwa Naibu Waziri Mkuu, wakati MC anamwambia muda wake umeisha, atampatia muda tena baada ya Biteko kumalizq hotuba yake, yeye akamjibu anatakiwa kuwahi Mwanza kupanda ndege, hivyi amuongeze dakika 10 amalizie nyimbo zake. Haikuwa sawa kabisa.
2. Kuna kipindi alikuwa anapost kuhusu matatizo ya kukatika katika umeme, mtu ambaye anabenefit na system ya serikali, analipwa 50mil kwa show, ela ambayo ingeweza kwenda kujenga shule, hospital, etc wenzake wote wanakaaga kimya, yeye kuongea haikuwa sawa kabisa.
3. Kutupa mic chini Mbeya ni utovu wa nidhamu.
DddddduuuuuhhhhhhNi kwenye tamasha la Wasafi Festival jioneee mwenyewe, Simba la Masimba Dangote. End of his carrier???
View attachment 3110446
NASEMA HIVI.... SAMIA MUST GO AND TANGANYIKA MUST BE FREE .....HIYO VITA ILIYO MKUTA ZUCHU NI MWANZO WA VITA YA WATANGANYIKA DHIDI YA WAHUNI WAZANZIBAR NA RAIA FEKI WANSOTUTAWALA WATANGANYIKA KIFISADI KWA SASA TENA KINYUME NA HAKI ....MJALAANA SAMIA MUST GO.Video inaonesha Zuchu akirushiwa chupa na wakurungwa. Hawataki aendelee naye aamua kuzila kurusha mic na kuondoka.
Wanaonekana wamechafukwa sana. Mbaya zaidi kuna mwimbaji ambaye alikuja lalamika kuwa jamaa wa huko ni wajeuri hawataki kuimbishwa. Wanasikika wakisema wanamtaka mke wa P.Diddy. Hawa ni wendawazimu yaani mke wa P.Diddy aje kuperform Tanzania? tena Mbeya? hawapo serious. kesho na keshokutwa watakuja kudai apelekwe Mke wa Dr. Dre au wa Jay Z au hata mke wa Justin Timberlake.
View attachment 3110354
Lucas Mwashambwa naomba maelezo yenye ukamilifu, Zuchu mwana wa Hadija Kopa jirani yangu pale Mwananyamala alikumbwa na mkasa gani hapo Mbeya
Je, ni mambo ya Siasa au mambo ya ushindani wa Biashara za burudani za akina Babu Tale?
Nimekaa pale πΌ
Anapeleka ujinga wa mitano Tena Kwa watu wa mbeya,watu wamelipia burudani kusahau issue za kutekwa na manyanyaso ya Ccm yeye anawakumbusha Tena alipata anachostahiliLucas Mwashambwa naomba maelezo yenye ukamilifu, Zuchu mwana wa Hadija Kopa jirani yangu pale Mwananyamala alikumbwa na mkasa gani hapo Mbeya
Je, ni mambo ya Siasa au mambo ya ushindani wa Biashara za burudani za akina Babu Tale?
Nimekaa pale πΌ
Kwahiyo wewe unaogopa Mi5 tena?πΌAnapeleka ujinga wa mitano Tena Kwa watu wa mbeya,watu wamelipia burudani kusahau issue za kutekwa na manyanyaso ya Ccm yeye anawakumbusha Tena alipata anachostahili
MIAKA MITANO YA LAANA NANI ANATAKA HUO UPUMBAVIKwahiyo wewe unaogopa Mi5 tena?πΌ
Kaz yao kuinqd ccmu bas acha wakipateVideo inaonesha Zuchu akirushiwa chupa na wakurungwa. Hawataki aendelee naye aamua kuzila kurusha mic na kuondoka.
Wanaonekana wamechafukwa sana. Mbaya zaidi kuna mwimbaji ambaye alikuja lalamika kuwa jamaa wa huko ni wajeuri hawataki kuimbishwa. Wanasikika wakisema wanamtaka mke wa P.Diddy. Hawa ni wendawazimu yaani mke wa P.Diddy aje kuperform Tanzania? tena Mbeya? hawapo serious. kesho na keshokutwa watakuja kudai apelekwe Mke wa Dr. Dre au wa Jay Z au hata mke wa Justin Timberlake.
View attachment 3110354
Wasanii wanafiki sana , kuimbia ushoga ndo wanajuwa , kukemea utekwaj na mauaji ya mashabiki zao ahhSasa wakifuata nini tamashani,maana kurusha nawe sidhani kama tamasha liliendelea
Wasanii wanafiki sana , kuimbia ushoga ndo wanajuwa , kukemea utekwaj na mauaji ya mashabiki zao ahhπππ this is crazy - immaturity