Wasafi TV, Yesu kawakosea nini? Kwanini mnamdhalilisha?

Huyu mtu anayejiita "Nabii Shilla" anatukosea sana wakristo.
1. Hakuna Nabii anayeweza kuongea anayoongea yanaogopesha kwa kweli

2. Muonekano wake tu haumpi legitimacy ya kuongoza kundi lolote kiroho.

3. Kama yeye anafanya mambo yake afanye ila asitafute cheap popularity kwenye jamii kwa kumkejeli Yesu ambae thamani yake haiwezi kufananishwa na kitu chochote hapa duniani.

4. Walio karibu nae wampe onyo aache kuropoka vitu ambayo hajui vina athari gani kwenye jamii.
 
Hapo angetajwa mtume kungekuwa na maandamano, huyo mtangazaji wa wasafi anapotosha kuhusu Imani ya kikristo, kwanini asijikite na mambo mengine atuachie Imani yetu, otherwise huyu ni mchochezi ka wachochezi wengine
Kumbuka hao wote NI wakristo.
Muhoji na muhojiwa.
Kwanini lawama unazipeleka kwa mtangazaji na sio muongeaji
 
Kama ni uharo basi wako umevunda kabisa
Undhani vita vya msalaba (crusades) vilikuwa vya nini?
Sio lazima utudhihirishie uwezo mdogo wa kufikiri ulio "barikiwa'' nao
Huwa hawafikiri hao,Mambo yakitoka juu wanafikishiwa kupitia jumuiya,wanabeba tu,hiyo mungu hapiganiwi nlishamsikia papa,Cha ajabu yesu alibinua meza za wafanyabiashara hekaluni kwa kugeuza nyumba ya mungu kuwa soko
 
Wafuasi wa Allah Kama ndo matamshi haya yangaliwalenga,saa hii wangalikuwa barabarani wakimtetea.by the way wafuasi wa Kristo Ni wavumilivu sana
Hata Yesu tunamtetea vitendo by kihuni hivyo havikubaliki so ondoa Shaka kwenye hili hata waislam tunaumia na tunasema sana sema huwa hamtuelewi
 
Kwenye jumui
Yaani we Binti una matatizo zaidi ya nilivyokua nafikiria,bila shaka akili yako ni mbovu kwa malezi ya hovyo uliyoyapitia,ukisikia dini fulani inatajwa lazima ujipitishe huku unatingisha msambwanda.
Ya zao mashuleni hufundishana chili dhidi ya waislam
 
Yaani we Binti una matatizo zaidi ya nilivyokua nafikiria,bila shaka akili yako ni mbovu kwa malezi ya hovyo uliyoyapitia,ukisikia dini fulani inatajwa lazima ujipitishe huku unatingisha msambwanda.
Nshakuambia uache shobo na mimi...sina hela ya kukununulia mkongo
 
Moo
Mbona akitajwa Mtume unakuwa mkali ila yeye kukashifu wengine na Imani sawa tu ila akitajwa mood aliyeliwa na nguruwe ndio unaumia[emoji23][emoji23][emoji23]
Mood gani aliyeliwa na nguruwe?..
 
Nshakuambia uache shobo na mimi...sina hela ya kukununulia mkongo
Binti kama vipi kambembeleze yule mpemba wako,maana naona umeamua kuichukia mpaka dini yake,ndio matatizo ya kushinda JF kutwa una andika pumba mpaka ukawa unasahau majukumu yako ya Nyumbani.
 
Binti kama vipi kambembeleze yule mpemba wako,maana naona umeamua kuichukia mpaka dini yake,ndio matatizo ya kushinda JF kutwa una andika pumba mpaka ukawa unasahau majukumu yako ya Nyumbani.
Tufanye hii ndo iwe goodbye mimi nawewe usinishobokee tena,,ukiona comment zangu pita mbali kama umeona banda la nguruwe
 
Hapo kwanza wakumhoji ni mhariri wa vipindi anaeruhusu jambo kurushwa hewani.

Tukifikia hatua kuwa kila jambo lolote liwe la kipumbavu au la kawaida linarushwa hewani kwaajiri ya kugaini viewers then tujiandae kuja kuona mambo ya ajabu.

Hili si la kuchekea ni la kukemea. Kama serikali akikaa kimya hii tusiongee tusubirie siku watetee cha imani nyingine tutawakumbusha hili kuwa walikuwa kimya wakae kimya na ya wengine.
 
Nimefurahia kitendo cha shillah kuendelea kuwa na amani mtaani licha ya kutukana dini fulani....ile dini ya amani ina jambo la kujifunza hapa
Itakua una umri mdogo,huko nyuma Simba ulanga akihubiri hadharani alidai alisoma na Allah sw mbagala na hakuwa na akili,lakini pia alidai mtume alikufa kwa ukimwi,hakupigwa hata konzi na majirani zake waislam pale maguruwe tmk
 
TCRA na vyombo husika vichukue hatua kali dhidi ya media na mhusika aliotoa matamshi yanayoweza kuleta uvunjifu wa amani
TCRA wanasubiri uchaguzi ufike watoe agizo la kufungia mitandao kwa muda. Haya mengine sio kazi yao
 
Hilo ni tatizo la kijamii sio la kundi la jamii. Wewe kama mwanajamii unatakiwa kukemea ili tusiruhusu upumbavu wa kuchafua imani za wengine uendelee.
 
Yaani kutukana amtukane Yesu halafu radhi awaombe watu. Ama kweli watu wana masihara sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…