Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Hii kesi imeshafika mahakamani. Ndugu hata wakigoma; mke atapewa go ahead na mahakama. Ilishatokea kwa rafiki wa mama yangu Vs mama mkwe wake.Wanahusika vizuri sana. Na bila huo muhtasari, hakuna mirathi inafunguliwa.
Binadamu wanapenda vya bure. Lakini sababu za mume kuzaa nje wakati mwingine husababishwa na kiburi, dharau na kutowajibika kwa mke.
Arusha Mfanyabiashara tajiri wa mawe ndugu Temu amefariki dunia na kuacha kizaazaa nyuma. Bwana huyo ana migodi, magari sita, mashamba, majumba na mahoteli na maviwanja.
Alioa mke aitwae Yasinta ndoa ya kanisani.
Akazaa nae watoto 5 Kama kawa huko chuga hawa mabilionea hua wanapenda chovyachovya.
Baba akazaa nje mtoto wa kwanza akaleta home mke alee, akanogewa akazaa mwingine tena akapeleka nyumbani mkewe alee. Mke akawa hana namna. Kiroho safi analea.
Mke nae amezaa watoto watano tena mmoja mchanga, ukijumlisha wawili wa baba wanakuwa saba.
Mama akaleta housegirl, baba alivyo na tamaa akaanza kutembea na housegirl mpaka akapata mimba. Baba akamfanya mke mdogo, akamjengea na akazaa naye watoto wawili. Yule housegirl ndo akawa na nguvu, mke mkubwa akawa anadharauliwa.
Mke kikawa kinamuuma lakini sasa ndo ashazaa watoto watano akaamua avumilie.
Mara paaap, tajiri kaumwa. Kapelekwa Muhimbili, kwa mapenzi ya Mungu akatwaliwa. Picha ndo ilianzia hapo, mke mkubwa akafika Muhimbili akashangaa anaambiwa na binamu wa mume eti kaa pembeni tutasimamia Mali za watoto na haki zao, akashangaa kiajee Sasa? Lakini kwavile yeye ndo mwenye cheti Cha ndoa akakabidhiwa mwili na cheti cha kifo.
Soma Pia: Arusha: Mfanyabiashara wa madini auawa mlima wa maombi, wauwaji watuma meseji
Ndugu na jamaa na marafiki wakaleta mwili Arusha mochwari ya Mt meru. Mke mkubwa akaelekeza mume azikwe wapi.
Sasa ndugu, marafiki na mke mdogo wakapanga pa kuzika na wakamweka kando bi mkubwa.
Siku ya kuzika bi mkubwa akaingia mahakamani kwa hati ya dharura kuomba zuio na akafanikiwa, issue ilikuwa serious kaburi lishachimbwa, mapadre ikabidi wakafanye Dua pale ya kufunga kaburi tupu na Ile pilau ya msiba wadudu waliifakamia sana.
Sasa leo amri imetolewa na mahakama mke halali amzike mume wake... Housegirl na wale ndugu hawaamini kilichotokea. Eti ndugu na marafiki wanapanga kususia maziko.
Na mke mkubwa amesema mume wangu ni mkristu na ana mke mmoja tu. Akimaliza kuzika anakusanya mali za mumewe baada ya kufungua mirathi.
Housegirl ataambulia simu na cheni za marehemu na nguo..ambazo hata hivyo bi mkubwa anaulizia vipo wapi. Housegirl amegeuka suria..ila wanae watapata mgao wa mali
Wadada wa kazi mnapoenda kufanya kazi kwenye nyumba za watu acheni tamaa kwani hamjui baba na mama wameanzia wapi na wamesotaje kupata mali. Pia ndugu na marafiki acheni upumbavu wa kuingilia mali za marehemu ikiwa ana mke na watoto
Nadhani mwanaume alikuwa mbabe ndio maana kazaa na house girl watoto wa 2 bila mke kufanya chochote. Mali hizi zinafanya wanawake tukae na wanaume tu hata kama wanatunyanyasa.Hao ndugu wa mume ambao walikuwa wanataka kumzika ndugu yao bila kumshirikisha mke wake; ndiyo wangeandika muhtasari na kumpitisha mke wa marehemu kama msimamizi kwa urahisi tu? Ndiyo hao atawategemea kumsaidia kulea watoto wake? Ndugu wakigoma kukaa kikao; mahakama itampa tu mke go ahead; ni mke halali.
Sio kwamba mke anapigania mali; ni haki yake kabisa na watoto wake.
Hao ndugu wenye tamaa ndiyo waliomdanganya house girl; wakihisi labda wataambulia chochote kupitia house girl. Na hii issue inatokea mara nyingi tu; mume anapokuwa na watoto kwa wanawake wengine. Most of times ndugu wa mume huwa wana-side na michepuko na sio mke; na huwa close na watoto wa mchepuko kuliko wa ndoani.
*Mke na aheshimiwe na ndugu wa mume.
*Wanaume muache kuzaa hovyo;
*Na ndugu wa mume muache tamaa kwenye mali za wajane. Mnatia aibu
Lakini kunakuwa na mavisasi ya ajabu ajabu kisa mali hizi.Hii kesi imeshafika mahakamani. Ndugu hata wakigoma; mke atapewa go ahead na mahakama. Ilishatokea kwa rafiki wa mama yangu Vs mama mkwe wake.
Hao ndugu wa mume ambao walikuwa wanataka kumzika ndugu yao bila kumshirikisha mke wake; ndiyo wangeandika muhtasari na kumpitisha mke wa marehemu kama msimamizi kwa urahisi tu? Ndiyo hao atawategemea kumsaidia kulea watoto wake? Ndugu wakigoma kukaa kikao; mahakama itampa tu mke go ahead; ni mke halali.
Sio kwamba mke anapigania mali; ni haki yake kabisa na watoto wake.
Hao ndugu wenye tamaa ndiyo waliomdanganya house girl; wakihisi labda wataambulia chochote kupitia house girl. Na hii issue inatokea mara nyingi tu; mume anapokuwa na watoto kwa wanawake wengine. Most of times ndugu wa mume huwa wana-side na michepuko na sio mke; na huwa close na watoto wa mchepuko kuliko wa ndoani.
*Mke na aheshimiwe na ndugu wa mume.
*Wanaume muache kuzaa hovyo;
*Na ndugu wa mume muache tamaa kwenye mali za wajane. Mnatia aibu
Kuna wanaume wanavumilia mpaka wanakopa. Kama ni kazi tungesema amefanya mpaka overtime bila malipo. Mwanaume ananyimwa huduma zote mpaka za unyumba. Akitafuta faraja analaumiwa,, ndiyo maana wangine hukatisha uhai au kuondoka na vyeti na briefcase tu.View attachment 3114007
Ukiona tabia za mwenzi wako zimekushinda kabisa kumvumilia na kumchukulia; m-divorce then katafute mwenzi mwingine. Hakuna justification ya kuchepuka
Unategemea mke angefanya nini kama hakuwa na uwezo wa kumuacha? Amezaa watoto wawili nje na akawaleta kwa mkewe, na anawalea hadi sasa. Bado akaenda tena kuanzisha familia na house girl....Nadhani mwanaume alikuwa mbabe ndio maana kazaa na house girl watoto wa 2 bila mke kufanya chochote. Mali hizi zinafanya wanawake tukae na wanaume tu hata kama wanatunyanyasa.
Yaani hata angetaka kuwalamba makalio; visasi haviepukiki. Hapa tu walipofikishana, tayari uhasama upo.Lakini kunakuwa na mavisasi ya ajabu ajabu kisa mali hizi.
Ewaa hapo mwisho; ukimshindwa mtu, unatambaa zako mbele. Kaanzishe maisha mengine ya amani. Kuchepuka sio suluhu.Kuna wanaume wanavumilia mpaka wanakopa. Kama ni kazi tungesema amefanya mpaka overtime bila malipo. Mwanaume ananyimwa huduma zote mpaka za unyumba. Akitafuta faraja analaumiwa,, ndiyo maana wangine hukatisha uhai au kuondoka na vyeti na briefcase tu.
Nitajie kifungu kinachompa mtoto wa kiume mamlaka ya kusimamia mali za baba yake.Chukua cash at bank gawa kwa idadi ya watoto kila mtoto apate zake. Sheria ya mirathi kama baba hakuacha wosia wa maandishi mtoto wa kiume mkubwa wa mke wa ndoa ndo msimamizi wa mirathi kama mke wa ndoa hana mtoto wa kiume wataangalia ni mke gani mwenye mtoto wa kiume mkubwa.
Kasome utaratibu wa mirathi TanzaniaNitajie kifungu kinachompa mtoto wa kiumu mamlaka ya kusimamia mali za baba yake.
Sasa ukizaa nje ndiyo kiburi cha mke kinaisha au ndiyo kinachachamaa? Wanawake wengi wameshahalisha cheating; so wanaishi nayo kwa amani tu. Zaa uchokesababu za mume kuzaa nje wakati mwingine husababishwa na kiburi, dharau na kutowajibika kwa mke.
Inavyoonekana millardayo ana maslahi pale au kalipwa apotose kama kawaida yakeMillard Ayo huyo..ameacha kipengele kikubwa kuhusu huyo mchepuko wa marehemu.
Mabinti waache tamaa, watapigwa na kitu kizito hawatakuwa na pakukimbilia
Ooh hapo achukue tu vinavyomuhusu.Kuna ndugu yangu kafiwa na mume juzijuzi, wameishi muda mfupi tu, kamkuta mume na kila kitu. Uhasama umeshaanza na ndugu wa mume. Tumemuambia ili uishi kwa amani achana na mali ulizozikuta. Chukua ambacho kina majina yako then kaanze maisha.
Utapotezwq na hawa watu wenye tamaa
Asante kwa kutuhabarisha vyema. Maana wengine washaanza kumuona mama wa watu ni ana roho mbaya kumbe ana haki.Arusha Mfanyabiashara tajiri wa mawe ndugu Temu amefariki dunia na kuacha kizaazaa nyuma. Bwana huyo ana migodi, magari sita, mashamba, majumba na mahoteli na maviwanja.
Alioa mke aitwae Yasinta ndoa ya kanisani.
Akazaa nae watoto 5 Kama kawa huko chuga hawa mabilionea hua wanapenda chovyachovya.
Baba akazaa nje mtoto wa kwanza akaleta home mke alee, akanogewa akazaa mwingine tena akapeleka nyumbani mkewe alee. Mke akawa hana namna. Kiroho safi analea.
Mke nae amezaa watoto watano tena mmoja mchanga, ukijumlisha wawili wa baba wanakuwa saba.
Mama akaleta housegirl, baba alivyo na tamaa akaanza kutembea na housegirl mpaka akapata mimba. Baba akamfanya mke mdogo, akamjengea na akazaa naye watoto wawili. Yule housegirl ndo akawa na nguvu, mke mkubwa akawa anadharauliwa.
Mke kikawa kinamuuma lakini sasa ndo ashazaa watoto watano akaamua avumilie.
Mara paaap, tajiri kaumwa. Kapelekwa Muhimbili, kwa mapenzi ya Mungu akatwaliwa. Picha ndo ilianzia hapo, mke mkubwa akafika Muhimbili akashangaa anaambiwa na binamu wa mume eti kaa pembeni tutasimamia Mali za watoto na haki zao, akashangaa kiajee Sasa? Lakini kwavile yeye ndo mwenye cheti Cha ndoa akakabidhiwa mwili na cheti cha kifo.
Soma Pia: Arusha: Mfanyabiashara wa madini auawa mlima wa maombi, wauwaji watuma meseji
Ndugu na jamaa na marafiki wakaleta mwili Arusha mochwari ya Mt meru. Mke mkubwa akaelekeza mume azikwe wapi.
Sasa ndugu, marafiki na mke mdogo wakapanga pa kuzika na wakamweka kando bi mkubwa.
Siku ya kuzika bi mkubwa akaingia mahakamani kwa hati ya dharura kuomba zuio na akafanikiwa, issue ilikuwa serious kaburi lishachimbwa, mapadre ikabidi wakafanye Dua pale ya kufunga kaburi tupu na Ile pilau ya msiba wadudu waliifakamia sana.
Sasa leo amri imetolewa na mahakama mke halali amzike mume wake... Housegirl na wale ndugu hawaamini kilichotokea. Eti ndugu na marafiki wanapanga kususia maziko.
Na mke mkubwa amesema mume wangu ni mkristu na ana mke mmoja tu. Akimaliza kuzika anakusanya mali za mumewe baada ya kufungua mirathi.
Housegirl ataambulia simu na cheni za marehemu na nguo..ambazo hata hivyo bi mkubwa anaulizia vipo wapi. Housegirl amegeuka suria..ila wanae watapata mgao wa mali
Wadada wa kazi mnapoenda kufanya kazi kwenye nyumba za watu acheni tamaa kwani hamjui baba na mama wameanzia wapi na wamesotaje kupata mali. Pia ndugu na marafiki acheni upumbavu wa kuingilia mali za marehemu ikiwa ana mke na watoto
huyo mwenye cheti atawashinda wote mahakamani. aende tu kisheria. bimdogo naye kama hakufunga ndoa ya bomani au kama ndoa ya mke mkubwa ilikuwa ya kikristo, imekiula kwake. hana chake, ila watoto wanaweza kupata.Arusha Mfanyabiashara tajiri wa mawe ndugu Temu amefariki dunia na kuacha kizaazaa nyuma. Bwana huyo ana migodi, magari sita, mashamba, majumba na mahoteli na maviwanja.
Alioa mke aitwae Yasinta ndoa ya kanisani.
Akazaa nae watoto 5 Kama kawa huko chuga hawa mabilionea hua wanapenda chovyachovya.
Baba akazaa nje mtoto wa kwanza akaleta home mke alee, akanogewa akazaa mwingine tena akapeleka nyumbani mkewe alee. Mke akawa hana namna. Kiroho safi analea.
Mke nae amezaa watoto watano tena mmoja mchanga, ukijumlisha wawili wa baba wanakuwa saba.
Mama akaleta housegirl, baba alivyo na tamaa akaanza kutembea na housegirl mpaka akapata mimba. Baba akamfanya mke mdogo, akamjengea na akazaa naye watoto wawili. Yule housegirl ndo akawa na nguvu, mke mkubwa akawa anadharauliwa.
Mke kikawa kinamuuma lakini sasa ndo ashazaa watoto watano akaamua avumilie.
Mara paaap, tajiri kaumwa. Kapelekwa Muhimbili, kwa mapenzi ya Mungu akatwaliwa. Picha ndo ilianzia hapo, mke mkubwa akafika Muhimbili akashangaa anaambiwa na binamu wa mume eti kaa pembeni tutasimamia Mali za watoto na haki zao, akashangaa kiajee Sasa? Lakini kwavile yeye ndo mwenye cheti Cha ndoa akakabidhiwa mwili na cheti cha kifo.
Soma Pia: Arusha: Mfanyabiashara wa madini auawa mlima wa maombi, wauwaji watuma meseji
Ndugu na jamaa na marafiki wakaleta mwili Arusha mochwari ya Mt meru. Mke mkubwa akaelekeza mume azikwe wapi.
Sasa ndugu, marafiki na mke mdogo wakapanga pa kuzika na wakamweka kando bi mkubwa.
Siku ya kuzika bi mkubwa akaingia mahakamani kwa hati ya dharura kuomba zuio na akafanikiwa, issue ilikuwa serious kaburi lishachimbwa, mapadre ikabidi wakafanye Dua pale ya kufunga kaburi tupu na Ile pilau ya msiba wadudu waliifakamia sana.
Sasa leo amri imetolewa na mahakama mke halali amzike mume wake... Housegirl na wale ndugu hawaamini kilichotokea. Eti ndugu na marafiki wanapanga kususia maziko.
Na mke mkubwa amesema mume wangu ni mkristu na ana mke mmoja tu. Akimaliza kuzika anakusanya mali za mumewe baada ya kufungua mirathi.
Housegirl ataambulia simu na cheni za marehemu na nguo..ambazo hata hivyo bi mkubwa anaulizia vipo wapi. Housegirl amegeuka suria..ila wanae watapata mgao wa mali
Wadada wa kazi mnapoenda kufanya kazi kwenye nyumba za watu acheni tamaa kwani hamjui baba na mama wameanzia wapi na wamesotaje kupata mali. Pia ndugu na marafiki acheni upumbavu wa kuingilia mali za marehemu ikiwa ana mke na watoto
Cheating ni dhambi,, sawa. Ila adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake.Ewaa hapo mwisho; ukimshindwa mtu, unatambaa zako mbele. Kaanzishe maisha mengine ya amani. Kuchepuka sio suluhu.