Wasaidizi wa kazi kutembea na Baba wenye nyumba kuna madhara. Dada wa Arusha apokonyea Mwili wa marehemu

Binadamu wanapenda vya bure. Lakini sababu za mume kuzaa nje wakati mwingine husababishwa na kiburi, dharau na kutowajibika kwa mke.
FB_IMG_1719999129468.jpg

Ukiona tabia za mwenzi wako zimekushinda kabisa kumvumilia na kumchukulia; m-divorce then katafute mwenzi mwingine. Hakuna justification ya kuchepuka
 
Arusha Mfanyabiashara tajiri wa mawe ndugu Temu amefariki dunia na kuacha kizaazaa nyuma. Bwana huyo ana migodi, magari sita, mashamba, majumba na mahoteli na maviwanja.
Alioa mke aitwae Yasinta ndoa ya kanisani.

Akazaa nae watoto 5 Kama kawa huko chuga hawa mabilionea hua wanapenda chovyachovya.

Baba akazaa nje mtoto wa kwanza akaleta home mke alee, akanogewa akazaa mwingine tena akapeleka nyumbani mkewe alee. Mke akawa hana namna. Kiroho safi analea.
Mke nae amezaa watoto watano tena mmoja mchanga, ukijumlisha wawili wa baba wanakuwa saba.

Mama akaleta housegirl, baba alivyo na tamaa akaanza kutembea na housegirl mpaka akapata mimba. Baba akamfanya mke mdogo, akamjengea na akazaa naye watoto wawili. Yule housegirl ndo akawa na nguvu, mke mkubwa akawa anadharauliwa.

Mke kikawa kinamuuma lakini sasa ndo ashazaa watoto watano akaamua avumilie.

Mara paaap, tajiri kaumwa. Kapelekwa Muhimbili, kwa mapenzi ya Mungu akatwaliwa. Picha ndo ilianzia hapo, mke mkubwa akafika Muhimbili akashangaa anaambiwa na binamu wa mume eti kaa pembeni tutasimamia Mali za watoto na haki zao, akashangaa kiajee Sasa? Lakini kwavile yeye ndo mwenye cheti Cha ndoa akakabidhiwa mwili na cheti cha kifo.

Soma Pia: Arusha: Mfanyabiashara wa madini auawa mlima wa maombi, wauwaji watuma meseji

Ndugu na jamaa na marafiki wakaleta mwili Arusha mochwari ya Mt meru. Mke mkubwa akaelekeza mume azikwe wapi.

Sasa ndugu, marafiki na mke mdogo wakapanga pa kuzika na wakamweka kando bi mkubwa.

Siku ya kuzika bi mkubwa akaingia mahakamani kwa hati ya dharura kuomba zuio na akafanikiwa, issue ilikuwa serious kaburi lishachimbwa, mapadre ikabidi wakafanye Dua pale ya kufunga kaburi tupu na Ile pilau ya msiba wadudu waliifakamia sana.

Sasa leo amri imetolewa na mahakama mke halali amzike mume wake... Housegirl na wale ndugu hawaamini kilichotokea. Eti ndugu na marafiki wanapanga kususia maziko.

Na mke mkubwa amesema mume wangu ni mkristu na ana mke mmoja tu. Akimaliza kuzika anakusanya mali za mumewe baada ya kufungua mirathi.

Housegirl ataambulia simu na cheni za marehemu na nguo..ambazo hata hivyo bi mkubwa anaulizia vipo wapi. Housegirl amegeuka suria..ila wanae watapata mgao wa mali

Wadada wa kazi mnapoenda kufanya kazi kwenye nyumba za watu acheni tamaa kwani hamjui baba na mama wameanzia wapi na wamesotaje kupata mali. Pia ndugu na marafiki acheni upumbavu wa kuingilia mali za marehemu ikiwa ana mke na watoto

Mwanzo wa chuki, mauaji, Kesi, mapambano na Maisha ya tabu, Namshukuru Mungu Mali haijawahi niendesha
 
Hao ndugu wa mume ambao walikuwa wanataka kumzika ndugu yao bila kumshirikisha mke wake; ndiyo wangeandika muhtasari na kumpitisha mke wa marehemu kama msimamizi kwa urahisi tu? Ndiyo hao atawategemea kumsaidia kulea watoto wake? Ndugu wakigoma kukaa kikao; mahakama itampa tu mke go ahead; ni mke halali.

Sio kwamba mke anapigania mali; ni haki yake kabisa na watoto wake.
Hao ndugu wenye tamaa ndiyo waliomdanganya house girl; wakihisi labda wataambulia chochote kupitia house girl. Na hii issue inatokea mara nyingi tu; mume anapokuwa na watoto kwa wanawake wengine. Most of times ndugu wa mume huwa wana-side na michepuko na sio mke; na huwa close na watoto wa mchepuko kuliko wa ndoani.
*Mke na aheshimiwe na ndugu wa mume.
*Wanaume muache kuzaa hovyo;
*Na ndugu wa mume muache tamaa kwenye mali za wajane. Mnatia aibu
Nadhani mwanaume alikuwa mbabe ndio maana kazaa na house girl watoto wa 2 bila mke kufanya chochote. Mali hizi zinafanya wanawake tukae na wanaume tu hata kama wanatunyanyasa.
 
sababu za mume kuzaa nje wakati mwingine husababishwa na kiburi, dharau na kutowajibika kwa mke.
 
View attachment 3114007
Ukiona tabia za mwenzi wako zimekushinda kabisa kumvumilia na kumchukulia; m-divorce then katafute mwenzi mwingine. Hakuna justification ya kuchepuka
Kuna wanaume wanavumilia mpaka wanakopa. Kama ni kazi tungesema amefanya mpaka overtime bila malipo. Mwanaume ananyimwa huduma zote mpaka za unyumba. Akitafuta faraja analaumiwa,, ndiyo maana wangine hukatisha uhai au kuondoka na vyeti na briefcase tu.
 
Nadhani mwanaume alikuwa mbabe ndio maana kazaa na house girl watoto wa 2 bila mke kufanya chochote. Mali hizi zinafanya wanawake tukae na wanaume tu hata kama wanatunyanyasa.
Unategemea mke angefanya nini kama hakuwa na uwezo wa kumuacha? Amezaa watoto wawili nje na akawaleta kwa mkewe, na anawalea hadi sasa. Bado akaenda tena kuanzisha familia na house girl....
Kuna wanawake wanajali sana kuitwa mke kuliko kitu chochote hapa duniani. Na sio kwamba wote hawana hela; ni Ile tu title "Mrs"; washaamua kufia ndoa.
 
Kuna wanaume wanavumilia mpaka wanakopa. Kama ni kazi tungesema amefanya mpaka overtime bila malipo. Mwanaume ananyimwa huduma zote mpaka za unyumba. Akitafuta faraja analaumiwa,, ndiyo maana wangine hukatisha uhai au kuondoka na vyeti na briefcase tu.
Ewaa hapo mwisho; ukimshindwa mtu, unatambaa zako mbele. Kaanzishe maisha mengine ya amani. Kuchepuka sio suluhu.
 
Chukua cash at bank gawa kwa idadi ya watoto kila mtoto apate zake. Sheria ya mirathi kama baba hakuacha wosia wa maandishi mtoto wa kiume mkubwa wa mke wa ndoa ndo msimamizi wa mirathi kama mke wa ndoa hana mtoto wa kiume wataangalia ni mke gani mwenye mtoto wa kiume mkubwa.
Nitajie kifungu kinachompa mtoto wa kiume mamlaka ya kusimamia mali za baba yake.
 
sababu za mume kuzaa nje wakati mwingine husababishwa na kiburi, dharau na kutowajibika kwa mke.
Sasa ukizaa nje ndiyo kiburi cha mke kinaisha au ndiyo kinachachamaa? Wanawake wengi wameshahalisha cheating; so wanaishi nayo kwa amani tu. Zaa uchoke
Cheating is a choice; some people choose not to cheat no matter how bad it is. And others choose to cheat, no matter how good it is.
 
Kuna ndugu yangu kafiwa na mume juzijuzi, wameishi muda mfupi tu, kamkuta mume na kila kitu. Uhasama umeshaanza na ndugu wa mume. Tumemuambia ili uishi kwa amani achana na mali ulizozikuta. Chukua ambacho kina majina yako then kaanze maisha.
Utapotezwq na hawa watu wenye tamaa
Ooh hapo achukue tu vinavyomuhusu.
 
Arusha Mfanyabiashara tajiri wa mawe ndugu Temu amefariki dunia na kuacha kizaazaa nyuma. Bwana huyo ana migodi, magari sita, mashamba, majumba na mahoteli na maviwanja.
Alioa mke aitwae Yasinta ndoa ya kanisani.

Akazaa nae watoto 5 Kama kawa huko chuga hawa mabilionea hua wanapenda chovyachovya.

Baba akazaa nje mtoto wa kwanza akaleta home mke alee, akanogewa akazaa mwingine tena akapeleka nyumbani mkewe alee. Mke akawa hana namna. Kiroho safi analea.
Mke nae amezaa watoto watano tena mmoja mchanga, ukijumlisha wawili wa baba wanakuwa saba.

Mama akaleta housegirl, baba alivyo na tamaa akaanza kutembea na housegirl mpaka akapata mimba. Baba akamfanya mke mdogo, akamjengea na akazaa naye watoto wawili. Yule housegirl ndo akawa na nguvu, mke mkubwa akawa anadharauliwa.

Mke kikawa kinamuuma lakini sasa ndo ashazaa watoto watano akaamua avumilie.

Mara paaap, tajiri kaumwa. Kapelekwa Muhimbili, kwa mapenzi ya Mungu akatwaliwa. Picha ndo ilianzia hapo, mke mkubwa akafika Muhimbili akashangaa anaambiwa na binamu wa mume eti kaa pembeni tutasimamia Mali za watoto na haki zao, akashangaa kiajee Sasa? Lakini kwavile yeye ndo mwenye cheti Cha ndoa akakabidhiwa mwili na cheti cha kifo.

Soma Pia: Arusha: Mfanyabiashara wa madini auawa mlima wa maombi, wauwaji watuma meseji

Ndugu na jamaa na marafiki wakaleta mwili Arusha mochwari ya Mt meru. Mke mkubwa akaelekeza mume azikwe wapi.

Sasa ndugu, marafiki na mke mdogo wakapanga pa kuzika na wakamweka kando bi mkubwa.

Siku ya kuzika bi mkubwa akaingia mahakamani kwa hati ya dharura kuomba zuio na akafanikiwa, issue ilikuwa serious kaburi lishachimbwa, mapadre ikabidi wakafanye Dua pale ya kufunga kaburi tupu na Ile pilau ya msiba wadudu waliifakamia sana.

Sasa leo amri imetolewa na mahakama mke halali amzike mume wake... Housegirl na wale ndugu hawaamini kilichotokea. Eti ndugu na marafiki wanapanga kususia maziko.

Na mke mkubwa amesema mume wangu ni mkristu na ana mke mmoja tu. Akimaliza kuzika anakusanya mali za mumewe baada ya kufungua mirathi.

Housegirl ataambulia simu na cheni za marehemu na nguo..ambazo hata hivyo bi mkubwa anaulizia vipo wapi. Housegirl amegeuka suria..ila wanae watapata mgao wa mali

Wadada wa kazi mnapoenda kufanya kazi kwenye nyumba za watu acheni tamaa kwani hamjui baba na mama wameanzia wapi na wamesotaje kupata mali. Pia ndugu na marafiki acheni upumbavu wa kuingilia mali za marehemu ikiwa ana mke na watoto
Asante kwa kutuhabarisha vyema. Maana wengine washaanza kumuona mama wa watu ni ana roho mbaya kumbe ana haki.
 
huyo mwenye cheti atawashinda wote mahakamani. aende tu kisheria. bimdogo naye kama hakufunga ndoa ya bomani au kama ndoa ya mke mkubwa ilikuwa ya kikristo, imekiula kwake. hana chake, ila watoto wanaweza kupata.
 
Back
Top Bottom