Wasaidizi wa kazi kutembea na Baba wenye nyumba kuna madhara. Dada wa Arusha apokonyea Mwili wa marehemu

Hahajah kazi kweli. Na watafia ndoa kweli.
 
Mpumbavu ni mwanaume
 
Umeandika mambo mengi ila umeandika pumba, eti ''dada wa kazi apokonyea mwili wa marehemu''!
Kaandika kiushabiki mwili umetoka dar na mkewe na msiba uko kwa mke moshono....yeye mkewe ndio anadai cheni,pete magari yaletwe kwake ndio azike,mara akabadili gia angani apewe doc za mali....marehemu alikimbia kwake mwaka mzima kwa vile mke malaya na watoto wawili mabodaboda wamemzalisha....ukiowa changu tegemea matatizo kwenye maisha yako....istoshe mke hana document yeyote hapo anapiga kelele tu
 
Hiyo mirathi sio nyepesi.

Nawaza tu muhtasari wa kikao cha mirathi. Utasainiwa vipi na ukoo wa mume na hao watoto wa nje. Maana mahakama watauitaji kwenye mirathi
Hapo ndio atajua hajui marehemu docs zote ziko kwa mwanasheria wake nyumbani hakuna lolote...kaacha watoto 12 pia kaka zake wako vizuri kiuchumi watagawanya mali kwa watoto
Siyo kosa la Mahouse girl! Ni makosa ya Mama wenye nyumba!
Mama ukiruhusu housegirl tayari jua huyo ni mke mwenza wako!
mke alikua mlevi anapigwa miti mpka kuzaa watoto wawili na mabodanoda...jamaa amehama kwake mwaka mzima hajafika mpka mauti yamemkuta,mke anamtoto mchanga wa mwezi mmoja kazaa na bodaboda
 
M
marehemu ni ndgu yangu kabisa ninafanya nae kazi...hakuna superwoman hapo yeye kapoteza cz mali nyingi hazijui tena ni ardhi za pesa ndefu....ndgu wa mume wanamuangalia tu hana hata hati moja kuanzia nyumba,viwanja,magari,mashamba
 
Hiki ndio kiini. Ni rahisi kumlaumu marehemu, kwa vile hayupo alishakufa. Hata angekuwepo, wanaume hawana tabia ya kulalamika. Mke wa watoto watano usikute alimtibua mme kiasi akaamua kutafuta faraja nje ya ndoa.
 
Kama kweli basi msala. Ukiona mtu anakimbilia mahakamani kuzuia mtu uzikwe ujue kuna mengi nyumz ya pazia
 
Hiki ndio kiini. Ni rahisi kumlaumu marehemu, kwa vile hayupo alishakufa. Hata angekuwepo, wanaume hawana tabia ya kulalamika. Mke wa watoto watano usikute alimtibua mme kiasi akaamua kutafuta faraja nje ya ndoa.
Shida ilianzia mtoto wa 4 jamaa alijua kapigwa akamfumania na bodaboda akakoswa risasi 2 mtaa mzima unajua hilo...mama alikua mpiganaji nguli marehemu aliingia cha kike yani alikua barmaid wa songambele bar mirerani
 
Hizi ndoa zina majanga. Ku.a watu wana miaka zaidi ya saba wanalala vyumba tofauti, na kila mmoja ana mpenzi wake nje.

Huu ni unafiki mkubwa sana mbele za Mungu.
Haya mambo bila kupata ukweli kutoka pande mbili unaweza kutoa lawama bure.
 
Hao ndugu na Mke mdogo ni wapumbavu.

Pamoja na kwamba kutakuwa na shida Kwa bimkubwa Hadi Tajiri kaoa housegirl ila lazima busara itumike.

Huyo Mke mdogo alitakiwa awe ameshambana bwanake Tajiri ampe Mali zake na Watoto wake mapema kabisa maana baada ya kifo mwenye Haki ni bimkubwa na Watoto wake.

Ndio maana Mimi Huwa Sina ratiba za kufunga ndoa na hao mapadre njaa walienda vipi msibani wakati Mke aliyeozeshwa na ana cheti hayupo?
 
Mkewe ni matatizo makubwa mlevi na mzinzi kitambo
Kweli Mungu anakupa wa kufanana nawe. Maana hata mumewe na yeye si alizaa watoto wengine wawili nje akamletea mkewe? Bado akahamia kwa house girl kabisa.

Na kwa nini hakumpa mkewe talaka, akaachana naye mazima? Angeishi na house girl wake kwa amani. Mwisho wa siku, ameacha mamlaka kubwa kwa mke wa ndoa.

Btw ahsante kwa taarifa za ziada; huwa nakuaminia sana kwa taarifa za ndani za watu wa Moshi/Arusha
 
Hata Sauli angekuwa wa Arusha,tungeshayasikia

BTW:Muhtasari wa kikao cha ukoo Wala haihitajiki idadi Fulani ya washiriki kwa hiyo siyo rahisi bimkubwa kususiwa na wote
 
Kama kweli basi msala. Ukiona mtu anakimbilia mahakamani kuzuia mtu uzikwe ujue kuna mengi nyumz ya pazia
Mwaka hajafika kwake wala kulala na mkewe....la ajabu anamtoto mchanga wa mwezi mmoja mpka marehemu alikua anatuuliza mtoto wa nani,smke alikua barmaid wa bar maarufu inaiywa songambele iko mirerani. Ilikua inasifika kwa wahudumu wazuri wajasiria mwili
 
Mume kazaa 7 nje na mke kazaa wawili hpo unapomuona anakichanga cha mwezi mmoja,na mume kahama nyumbani mwaka na mwezi...kazaa na bodaboda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…