Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Ndio tumemshauri hivyoOoh hapo achukue tu vinavyomuhusu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio tumemshauri hivyoOoh hapo achukue tu vinavyomuhusu.
Watoto wanapata kisheriahuyo mwenye cheti atawashinda wote mahakamani. aende tu kisheria. bimdogo naye kama hakufunga ndoa ya bomani au kama ndoa ya mke mkubwa ilikuwa ya kikristo, imekiula kwake. hana chake, ila watoto wanaweza kupata.
Hahajah kazi kweli. Na watafia ndoa kweli.Unategemea mke angefanya nini kama hakuwa na uwezo wa kumuacha? Amezaa watoto wawili nje na akawaleta kwa mkewe, na anawalea hadi sasa. Bado akaenda tena kuanzisha familia na house girl....
Kuna wanawake wanajali sana kuitwa mke kuliko kitu chochote hapa duniani. Na sio kwamba wote hawana hela; ni Ile tu title "Mrs"; washaamua kufia ndoa.
Mpumbavu ni mwanaumeArusha Mfanyabiashara tajiri wa mawe ndugu Temu amefariki dunia na kuacha kizaazaa nyuma. Bwana huyo ana migodi, magari sita, mashamba, majumba na mahoteli na maviwanja.
Alioa mke aitwae Yasinta ndoa ya kanisani.
Akazaa nae watoto 5 Kama kawa huko chuga hawa mabilionea hua wanapenda chovyachovya.
Baba akazaa nje mtoto wa kwanza akaleta home mke alee, akanogewa akazaa mwingine tena akapeleka nyumbani mkewe alee. Mke akawa hana namna. Kiroho safi analea.
Mke nae amezaa watoto watano tena mmoja mchanga, ukijumlisha wawili wa baba wanakuwa saba.
Mama akaleta housegirl, baba alivyo na tamaa akaanza kutembea na housegirl mpaka akapata mimba. Baba akamfanya mke mdogo, akamjengea na akazaa naye watoto wawili. Yule housegirl ndo akawa na nguvu, mke mkubwa akawa anadharauliwa.
Mke kikawa kinamuuma lakini sasa ndo ashazaa watoto watano akaamua avumilie.
Mara paaap, tajiri kaumwa. Kapelekwa Muhimbili, kwa mapenzi ya Mungu akatwaliwa. Picha ndo ilianzia hapo, mke mkubwa akafika Muhimbili akashangaa anaambiwa na binamu wa mume eti kaa pembeni tutasimamia Mali za watoto na haki zao, akashangaa kiajee Sasa? Lakini kwavile yeye ndo mwenye cheti Cha ndoa akakabidhiwa mwili na cheti cha kifo.
Soma Pia: Arusha: Mfanyabiashara wa madini auawa mlima wa maombi, wauwaji watuma meseji
Ndugu na jamaa na marafiki wakaleta mwili Arusha mochwari ya Mt meru. Mke mkubwa akaelekeza mume azikwe wapi.
Sasa ndugu, marafiki na mke mdogo wakapanga pa kuzika na wakamweka kando bi mkubwa.
Siku ya kuzika bi mkubwa akaingia mahakamani kwa hati ya dharura kuomba zuio na akafanikiwa, issue ilikuwa serious kaburi lishachimbwa, mapadre ikabidi wakafanye Dua pale ya kufunga kaburi tupu na Ile pilau ya msiba wadudu waliifakamia sana.
Sasa leo amri imetolewa na mahakama mke halali amzike mume wake... Housegirl na wale ndugu hawaamini kilichotokea. Eti ndugu na marafiki wanapanga kususia maziko.
Na mke mkubwa amesema mume wangu ni mkristu na ana mke mmoja tu. Akimaliza kuzika anakusanya mali za mumewe baada ya kufungua mirathi.
Housegirl ataambulia simu na cheni za marehemu na nguo..ambazo hata hivyo bi mkubwa anaulizia vipo wapi. Housegirl amegeuka suria..ila wanae watapata mgao wa mali
Wadada wa kazi mnapoenda kufanya kazi kwenye nyumba za watu acheni tamaa kwani hamjui baba na mama wameanzia wapi na wamesotaje kupata mali. Pia ndugu na marafiki acheni upumbavu wa kuingilia mali za marehemu ikiwa ana mke na watoto
Kaandika kiushabiki mwili umetoka dar na mkewe na msiba uko kwa mke moshono....yeye mkewe ndio anadai cheni,pete magari yaletwe kwake ndio azike,mara akabadili gia angani apewe doc za mali....marehemu alikimbia kwake mwaka mzima kwa vile mke malaya na watoto wawili mabodaboda wamemzalisha....ukiowa changu tegemea matatizo kwenye maisha yako....istoshe mke hana document yeyote hapo anapiga kelele tuUmeandika mambo mengi ila umeandika pumba, eti ''dada wa kazi apokonyea mwili wa marehemu''!
Hapo ndio atajua hajui marehemu docs zote ziko kwa mwanasheria wake nyumbani hakuna lolote...kaacha watoto 12 pia kaka zake wako vizuri kiuchumi watagawanya mali kwa watotoHiyo mirathi sio nyepesi.
Nawaza tu muhtasari wa kikao cha mirathi. Utasainiwa vipi na ukoo wa mume na hao watoto wa nje. Maana mahakama watauitaji kwenye mirathi
mke alikua mlevi anapigwa miti mpka kuzaa watoto wawili na mabodanoda...jamaa amehama kwake mwaka mzima hajafika mpka mauti yamemkuta,mke anamtoto mchanga wa mwezi mmoja kazaa na bodabodaSiyo kosa la Mahouse girl! Ni makosa ya Mama wenye nyumba!
Mama ukiruhusu housegirl tayari jua huyo ni mke mwenza wako!
Khaaa na huyo mume anayemuacha mkewe ndani na kwenda kutafuta wanawake wengine nje; yeye ndiyo rafiki wa kweli wa mke wake? Huyo mume asingekwenda kutongoza huko nje; hao wanawake wa nje wangembaka?Cheating ni dhambi,, sawa. Ila adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake.
marehemu ni ndgu yangu kabisa ninafanya nae kazi...hakuna superwoman hapo yeye kapoteza cz mali nyingi hazijui tena ni ardhi za pesa ndefu....ndgu wa mume wanamuangalia tu hana hata hati moja kuanzia nyumba,viwanja,magari,mashambaMke wa marehemu ndio super woman sasa, safi sana.
Haya mambo ya wanawake kukubali watoto wa kuletewa ndio mimi huwa sitaki, mume alinogewa alipoleta watoto wawili wote wakapokelewa ndio akaamua ajitwalie na house girl wakazae na kulea wengine wenyewe.
Mwanaume ukiamua kuoa tulia na mkeo na familia yako, kuacha mambo kama haya baada ya kufariki ni fedheha!
Hiki ndio kiini. Ni rahisi kumlaumu marehemu, kwa vile hayupo alishakufa. Hata angekuwepo, wanaume hawana tabia ya kulalamika. Mke wa watoto watano usikute alimtibua mme kiasi akaamua kutafuta faraja nje ya ndoa.Kaandika kiushabiki mwili umetoka dar na mkewe na msiba uko kwa mke moshono....yeye mkewe ndio anadai cheni,pete magari yaletwe kwake ndio azike,mara akabadili gia angani apewe doc za mali....marehemu alikimbia kwake mwaka mzima kwa vile mke malaya na watoto wawili mabodaboda wamemzalisha....ukiowa changu tegemea matatizo kwenye maisha yako....istoshe mke hana document yeyote hapo anapiga kelele tu
Mkewe ni matatizo makubwa mlevi na mzinzi kitamboKhaaa na huyo mume anayemuacha mkewe ndani na kwenda kutafuta wanawake wengine nje; yeye ndiyo rafiki wa kweli wa mke wake? Huyo mume asingekwenda kutongoza huko nje; hao wanawake wa nje wangembaka?
Kama kweli basi msala. Ukiona mtu anakimbilia mahakamani kuzuia mtu uzikwe ujue kuna mengi nyumz ya paziaHapo ndio atajua hajui marehemu docs zote ziko kwa mwanasheria wake nyumbani hakuna lolote...kaacha watoto 12 pia kaka zake wako vizuri kiuchumi watagawanya mali kwa watoto
mke alikua mlevi anapigwa miti mpka kuzaa watoto wawili na mabodanoda...jamaa amehama kwake mwaka mzima hajafika mpka mauti yamemkuta,mke anamtoto mchanga wa mwezi mmoja kazaa na bodaboda
Shida ilianzia mtoto wa 4 jamaa alijua kapigwa akamfumania na bodaboda akakoswa risasi 2 mtaa mzima unajua hilo...mama alikua mpiganaji nguli marehemu aliingia cha kike yani alikua barmaid wa songambele bar mireraniHiki ndio kiini. Ni rahisi kumlaumu marehemu, kwa vile hayupo alishakufa. Hata angekuwepo, wanaume hawana tabia ya kulalamika. Mke wa watoto watano usikute alimtibua mme kiasi akaamua kutafuta faraja nje ya ndoa.
Hao ndugu na Mke mdogo ni wapumbavu.Arusha Mfanyabiashara tajiri wa mawe ndugu Temu amefariki dunia na kuacha kizaazaa nyuma. Bwana huyo ana migodi, magari sita, mashamba, majumba na mahoteli na maviwanja.
Alioa mke aitwae Yasinta ndoa ya kanisani.
Akazaa nae watoto 5 Kama kawa huko chuga hawa mabilionea hua wanapenda chovyachovya.
Baba akazaa nje mtoto wa kwanza akaleta home mke alee, akanogewa akazaa mwingine tena akapeleka nyumbani mkewe alee. Mke akawa hana namna. Kiroho safi analea.
Mke nae amezaa watoto watano tena mmoja mchanga, ukijumlisha wawili wa baba wanakuwa saba.
Mama akaleta housegirl, baba alivyo na tamaa akaanza kutembea na housegirl mpaka akapata mimba. Baba akamfanya mke mdogo, akamjengea na akazaa naye watoto wawili. Yule housegirl ndo akawa na nguvu, mke mkubwa akawa anadharauliwa.
Mke kikawa kinamuuma lakini sasa ndo ashazaa watoto watano akaamua avumilie.
Mara paaap, tajiri kaumwa. Kapelekwa Muhimbili, kwa mapenzi ya Mungu akatwaliwa. Picha ndo ilianzia hapo, mke mkubwa akafika Muhimbili akashangaa anaambiwa na binamu wa mume eti kaa pembeni tutasimamia Mali za watoto na haki zao, akashangaa kiajee Sasa? Lakini kwavile yeye ndo mwenye cheti Cha ndoa akakabidhiwa mwili na cheti cha kifo.
Soma Pia: Arusha: Mfanyabiashara wa madini auawa mlima wa maombi, wauwaji watuma meseji
Ndugu na jamaa na marafiki wakaleta mwili Arusha mochwari ya Mt meru. Mke mkubwa akaelekeza mume azikwe wapi.
Sasa ndugu, marafiki na mke mdogo wakapanga pa kuzika na wakamweka kando bi mkubwa.
Siku ya kuzika bi mkubwa akaingia mahakamani kwa hati ya dharura kuomba zuio na akafanikiwa, issue ilikuwa serious kaburi lishachimbwa, mapadre ikabidi wakafanye Dua pale ya kufunga kaburi tupu na Ile pilau ya msiba wadudu waliifakamia sana.
Sasa leo amri imetolewa na mahakama mke halali amzike mume wake... Housegirl na wale ndugu hawaamini kilichotokea. Eti ndugu na marafiki wanapanga kususia maziko.
Na mke mkubwa amesema mume wangu ni mkristu na ana mke mmoja tu. Akimaliza kuzika anakusanya mali za mumewe baada ya kufungua mirathi.
Housegirl ataambulia simu na cheni za marehemu na nguo..ambazo hata hivyo bi mkubwa anaulizia vipo wapi. Housegirl amegeuka suria..ila wanae watapata mgao wa mali
Wadada wa kazi mnapoenda kufanya kazi kwenye nyumba za watu acheni tamaa kwani hamjui baba na mama wameanzia wapi na wamesotaje kupata mali. Pia ndugu na marafiki acheni upumbavu wa kuingilia mali za marehemu ikiwa ana mke na watoto
Wazee wazima tulishaelewa kuwa hilo ni kosa la kiuandishi ambalo ni dogo sana. Na mtu akisoma baniko lote, kosa hilo uondoka!Umeandika mambo mengi ila umeandika pumba, eti ''dada wa kazi apokonyea mwili wa marehemu''!
Kweli Mungu anakupa wa kufanana nawe. Maana hata mumewe na yeye si alizaa watoto wengine wawili nje akamletea mkewe? Bado akahamia kwa house girl kabisa.Mkewe ni matatizo makubwa mlevi na mzinzi kitambo
Mwaka hajafika kwake wala kulala na mkewe....la ajabu anamtoto mchanga wa mwezi mmoja mpka marehemu alikua anatuuliza mtoto wa nani,smke alikua barmaid wa bar maarufu inaiywa songambele iko mirerani. Ilikua inasifika kwa wahudumu wazuri wajasiria mwiliKama kweli basi msala. Ukiona mtu anakimbilia mahakamani kuzuia mtu uzikwe ujue kuna mengi nyumz ya pazia
Kisha anakuambia ngoja nikaoge ntamalizia baadae,..😀😀Atleast wewe umeleta habari iliyo nyooka wengine walikuwa wanaleta story nusunusu na zisizoeleweka
Mume kazaa 7 nje na mke kazaa wawili hpo unapomuona anakichanga cha mwezi mmoja,na mume kahama nyumbani mwaka na mwezi...kazaa na bodabodaKweli Mungu anakupa wa kufanana nawe. Maana hata mumewe na yeye si alizaa watoto wengine wawili nje akamletea mkewe? Bado akahamia kwa house girl kabisa.
Na kwa nini hakumpa mkewe talaka, akaachana naye mazima? Angeishi na house girl wake kwa amani. Mwisho wa siku, ameacha mamlaka kubwa kwa mke wa ndoa.
Btw ahsante kwa taarifa za ziada; huwa nakuaminia sana kwa taarifa za ndani za watu wa Moshi/Arusha