T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Na utajiri wao hauvuki miaka 30 kwa sababu ya hiyohiyo shule unayoipuuzia. Mtu mwenye elimu, hekima na busara akiwa na utajiri wa milioni 200 miaka 60 baadae huo utajiri utakuta umekuwa reflected kwa kizazi chake.Matajiri wote wa madini ni watu ambao hawajaenda shule. Ni kama wale kina Bilionea laizer mmasai.
Huwezi kwenda shule ukawa tajiri. Maana shule inakufunga kiakili uwe muoga ku take risk
Ni sawa na Wakinga huwa wanaishia la saba tu. Kisha wanaanza kuutafuta utajiri.
Mtu anayepuuzia elimu, limbukeni anazalisha kila mwanamke, anazaa na house maid mara ana list ya waganga wa jadi wampe utajiri eti ni "ku-take risk" akifa tu na utajiri wake hata uwe billions unamfuata.
Mtazunguka kote ila mkijashtuka elimu na maarifa havikimbiwi.