Marekebisho hayo yatagusa kipengele Cha matokeo ya Urais kupingwa mahakamani na kurudiwa uchaguzi ikiwa zitabainika kasoro kama ilivyokuwa KATIBA ya Kenya?2025 Mungu akijaalia tutafanya uchaguzi kabla ya Katiba mpya ila yatafanyika marekebisho kadhaa kwny Katiba ya sasa