Acha unafiki wewe jamaa!! Wapanga mikakati wote wa chama mliwafukuza kwa kuwaita wasaliti, Zitto, Kitila, Kafulila, Mdee na wenzake, Slaa, Baregu, Safari, Kubenea, Komu nk nk! Mkabaki na hawa wapayukaji majukwaani akina Henje na Lema nanyi mkiwaita MAKAMANDA, Siasa haihitaji ukamanda, inahitaji akili MINGI! Kifupi kwa sasa chama chenu kwa sasa wamejaa wapayukaji tu wasiojua modern politics zinaendaje, NDIYO MAANA IKASHANGAZA KURUHUSIWA KWA MIKUTANO YA HADHARA LEO HATA WEEK MBILI HAZIJAPITA WAKAANZA, HATA BILA KUJIPANGA KWA HOJA.