johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Haya subirini hapo hapo!Na kila kitu chetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya subirini hapo hapo!Na kila kitu chetu
Haya subirini hapo hapo!
Wapi Chadema imesema itashiriki uchaguzi mkuu kabla ya katiba mpya? Una clip au press release Mbowe akisema hivyo?Inawezekana Lissu keshastukia kuwa baadhi ya wenzie ndani ya Chadema wapo after Ubunge tu, kwao katiba mpya ni muhimu kama ubunge wao umeporwa, ila kama ubunge wao wanapewa basi hewala hata katiba hii ya sasa iliendelea kuwepo kwa miaka zaidi ya 100 kwao siyo ishu.
Sisi tunayo Katiba PendekezwaWa kusubiri siyo sisi tena, ila nyie ndiyo subirini hapo hapo!
Huwezi kupata Katiba Mpya kabla ya 2025 labda iwe Katiba ya VirakaWapi Chadema imesema itashiriki uchaguzi mkuu kabla ya katiba mpya? Una clip au press release Mbowe akisema hivyo?
Kama ni hivyo Kulikua na haja gani ya kususia task force ya Rais maana ndio ilitaka tume huru kabla ya uchaguzi!! Then katiba ifuate baadae.
Kapeleka samaki yenye ndoano in it?Joseph 30 aka Paroko yuko Ubelgiji
Wamelewa na Umati uliokuwa staged na hivyo kuamini kuwa ule umati uko nao mpaka 2025 kwenye boksiMbowe aliwahi kusema kuna timu itaundwa kila mkoa kwa ajili ya kutoa elimu hiyo, sijui itaundwa lini.
Inavyoonekana kuondoka kwa Lissu ghafla sasa kunaanza kuzua maswali
CHADEMA kutoshiriki kwao chaguzi ni kukiua chama.Kwa ufupi|
=
Hili ni bandiko kuwahusu CHADEMA, chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania. Baada ya uchaguzi mkuu wa 2020, kamati kuu ya chama hicho ilisema kuwa hawatahudhuria uchaguzi wowote ujao bila katiba mpya yenye tume huru ya uchaguzi. Hata hivyo, viongozi wa CHADEMA sasa wanabadili msimamo huo na kuongea juu ya kushiriki uchaguzi wa mwaka 2025 bila uwepo wa katiba mpya. Wakati mwingine, wanaonekana kubadili msimamo mara kwa mara na kukumbatia mambo ya kupita yenye manufaa ya muda mfupi kwa nchi na chama chao.
=
Ila mleta mada bado anatuachia maswali mengi zaidi.
Si tuliwaambia, Kiko wapi sasa? Machadema huwa hamna akiluMbowe aliwahi kusema kuna timu itaundwa kila mkoa kwa ajili ya kutoa elimu hiyo, sijui itaundwa lini.
Inavyoonekana kuondoka kwa Lissu ghafla sasa kunaanza kuzua maswali
Principle hazichange.It's not necessarily kuwa, msimamo wa jana uwe ni wa milele..
People change, environment changes too..
Lakini lililo muhimu ni hili:
Kwamba, Kuna mazungumzo (maarufu kama maridhiano) ya kurekebisha mambo na makosa mbalimbali yaliyosababisha ugumu na machungu ya maisha kijamii na kisiasa tangu mwaka 2016 na kilele chake kuwa mwaka 2020 Kwa kilichoitwa "UCHAFUZI MKUU" chini ya yule mtu mbaya John P. Magufuli yamefanyika na bado wanaendelea kuzungumza..
Na kwenye maridhiano huwa kuna KUPATA na KUPOTEZA (lose & get). Kwa hiyo, si ajabu kabisa kama kuna kubadilikq Kwa msimamo..
And honestly, kwa muda uliobaki mpaka kufika 2025 si rahisi sana Kuanza na kuumaliza mchakato wa kupata katiba mpya na Kisha iwe tayari kutumika Kwa uchaguzi mwaka 2025..
Ila kunaweza kufanyika mambo fulani fulani yatakayohakikisha ingalau uchaguzi mkuu wa 2025 unakuwa at least free and fair..
Ni kama mambo yamekuwa mengi na kuwazidi uwezo, nikitazama kauli aliyotoa Lema kuwataka wanachadema wasimpinge Samia, kuwepo na ukimya juu ya Katiba Mpya, kuondoka kwa Lissu ghafla, naona inawezekana kuna jambo inawezekana halipo sawa, muda utaamua.Ninadhani pana ombwe la kukosekana chief strategist wa chama. Chief strategist si kiungozi huyo ni mpanga mikakati kama ilivyokuwa kocha wa mpira.
Kiongozi wa chama hawezi kuwa mpanga mikakati. Kiongozi huweka malengo ya chama.
Magumu yetu Viongozi wa Upinzani mkwepe lawama vipi?
Tufike mahala tumfunge paka kengele.
Naona suala la Katiba Mpya halihitaji kuremba, kwasababu madai ya Katiba Mpya ni sawa na kukimbizana na muda, ili lifanyike before 2024, kabla ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, kwasababu baada ya hapo utakuwa umebaki mwaka mmoja pekee kufanyika uchaguzi mkuu, sidhani kama ndani ya huo mwaka mmoja.Katiba Mpya inaweza kupatikana.Mbona una presha sana, ziara iliyobaki Bado magharibi, Kanda ya kati, kusini, kaskazini n.k wakishazindua mikutano Kila Kanda ndio Sasa hizo timu za katiba mpya zitaundwa.
What's the rush, everything is under control.
Msimamo wa Lissu nauunga mkono, ni Bora tusiende bungeni, kuliko kwenda bungeni na Katiba hii, hakuna maajabu tutayofanya, Bali tutakuwa sehemu ya tatizo na tutaendelea kulalamika
"People change, environment changes too"It's not necessarily kuwa, msimamo wa jana uwe ni wa milele..
People change, environment changes too..
Lakini lililo muhimu ni hili:
Kwamba, Kuna mazungumzo (maarufu kama maridhiano) ya kurekebisha mambo na makosa mbalimbali yaliyosababisha ugumu na machungu ya maisha kijamii na kisiasa tangu mwaka 2016 na kilele chake kuwa mwaka 2020 Kwa kilichoitwa "UCHAFUZI MKUU" chini ya yule mtu mbaya John P. Magufuli yamefanyika na bado wanaendelea kuzungumza..
Na kwenye maridhiano huwa kuna KUPATA na KUPOTEZA (lose & get). Kwa hiyo, si ajabu kabisa kama kuna kubadilikq Kwa msimamo..
And honestly, kwa muda uliobaki mpaka kufika 2025 si rahisi sana Kuanza na kuumaliza mchakato wa kupata katiba mpya na Kisha iwe tayari kutumika Kwa uchaguzi mwaka 2025..
Ila kunaweza kufanyika mambo fulani fulani yatakayohakikisha ingalau uchaguzi mkuu wa 2025 unakuwa at least free and fair..
Hilo la No katiba mpya no Uchaguzi mbona limepita hasa baada ya Rais Samia kasema wanifanyia kazi serikali na upande wa pili.Ni dhahiri ndani ya CHADEMA watu wanachekeana usoni ila mioyoni mwao watu wanapiga mahesabu ya 2025.
Baada ya uchaguzi wa 2020, Kamati kuu ya chama hicho ilitoa msimamo kuwa hakuna kushiriki uchaguzi wowote ujao bila uwepo wa Katiba mpya yenye Tume huru ya Uchaguzi.
Mwanzoni kabisa, msimamo huu ulitetewa kwa nguvu zote na makada na viongozi wa juu wa chama hiki. Lakini kadri siku zinavyosogea, Sura halisi ya viongozi hawa imeanza kuonekana. Wameanza kama kawaida yao kubadili msimamo huo taratiiib kwa kutuma meseji kuwa watashiriki ktk uchaguzi huo bila hata ya uwepo wa Katiba Mpya.
Hili limedhihirika katika ziara ambazo viongozi hawa wakubwa wa CHADEMA wataka ubunge wanazofanya mikoani. Sasa hivi hawaongei tena suala la kupatikana kwa Katiba Mpya kwanza ili kushiriki uchaguzi, Sasa hivi wanaongea namna watakavyorudi Bungeni mwaka 2025!
Hapo awali katika kutetea uamuzi wa kamati kuu wa kutoshiriki uchaguzi mkuu bila Katiba Mpya, walisema kuwa practically katika nchi hii haiwezekani kufanya uchaguzi huru na haki bila katiba mpya iliyobora kuliko ya sasa. Lakini cha ajabu ni kwamba CHADEMA sasa inadhani raia wamesahau "elimu" hii waliyoitoa, wanadhani raia mwaka 2025 wanaweza kuwachagua achilia mbali kujitokeza kwa wingi kushiriki uchaguzi ambao wameshaambiwa na haohao CHADEMA kuwa hauwezi kuwa huru na haki.
Kiongozi mkubwa wa CHADEMA aliyeshiriki kutoa elimu ya ubovu wa katiba ya sasa na kutofaa kwake katikauchaguzi ni Tundu Lissu, alifanya kazi hiyo kwa moyo mmoja na kwa weledi kabisa, Lakini inavyoonekana ni kwamba kuna kundi la viongozi wenzie ndani ya CHADEMA wanaona kuwa mwaka 2025 wana nafasi ya kurudi bungeni, na hawa ndo wanachombezachombeza kama siyo kushinikiza chama kiingie katika uchaguzi ili wapate ubunge tena ili wakalambe asali kama wenzao wa CCM.
CHADEMA inajulikana vyema kwenye kubadili gia angani, pale inapokana misimamo thabiti yenye maana na kukumbatia vitu vya kupita vyenye manufaa ya muda mfupi kwa nchi na chama chao. Walifanya hivyo pale walipoikana ajenda yao ya Ufisadi pale walipomkabidhi kijiti mtu waliyemuita fisadi kwa miaka zaidi ya Nane kuwa mgombea urais wa chama chao. Wao walikuwa wanawaza kutwaa madaraka tu kwa udi na uvumba bila kujali wanayetaka kumuweka madarani ni nani hata kama Chadema wanajua wazi kuwa ni fisadi na pia waliutangazia umma wao wenyewe hilo suala.
Leo wanatambua kabisa kuwa bila uwepo wa katiba mpya uchaguzi ujao bado utakuwa feki lakini wao kwa sababu wanadhani kuwa wana chance ya kurudi bungeni kula baada ya JPM kufariki, hata hizo conditions za kutoshiriki uchaguzi mpaka ipatikane katiba mpya yenye tume huru ya uchaguzi hawana mpango nazo tena.
Leo CHADEMA inasound kama chama cha ACT, viongozi wake wanasema kuwa ili washiriki uchaguzi "Mchakato" wa katiba uanze lakini Tuanze na Tume huru ya uchaguzi kwanza. Ningependa kuwauliza viongozi wa CHADEMA hasa Tundu Lissu, ni nani alimwambia kuwa "Mchakato wa katiba" ndo katiba mpya yenyewe?.
Pili nani kawawmbia CHADEMA kuwa uwepo wa mchakato wa katiba bila katiba mpya ndo guarantee ya Uchaguzi Huru na haki mwaka 2025?
Mimi ningewaona CHADEMA wako serious na wana nia njema kabisa ya kusimamia kile walichokitangaza kwa umma baada ya uchaguzi wa hovyo wa 2020 kwa kusema kuwa ni heri katiba ya sasa ibadilishwe, Uchaguzi wa 2025 usogezwe mbele, ili tutafute katiba mpya kwanza halafu sote tuje tushiriki uchaguzi chini ya Katiba Mpya iliyobora.
Lakini hizi habari za kuuambia umma kuwa bila katiba mpya uchaguzi hauwezi kuwa huru na haki halafu baadae baada ya Rais Samia kuanza kuwapetipeti wanakuja kutwambia jinsi Samia alivyo raisi mzuri na hivyo basi kubadili gia angani na kusema uchaguzi unawezekana chini ya katiba hii mbovu ni kuwacheza shere wananchi, kudharau wanachama wake na kutokujua unapigania nini.
CHADEMA imekuwa ikisema kuwa hata kama una tume huru ya uchaguzi lakini as long as hakuna mahakama huru, Jeshi la Polisi huru huwezi kupata uchaguzi huru na haki chini ya katiba hii. Nashangaa sasa wazee wa kubadili gia angani wameshasahau nondo walizokuwa wakishusha kuelimisha watu juu ya hili.
Watanzania makini tunasema, bila Katiba Mpya Uchaguzi wowote ujao ni feki.
Ni kama mambo yamekuwa mengi na kuwazidi uwezo, nikitazama kauli aliyotoa Lema kuwataka wanachadema wasimpinge Samia, kuwepo na ukimya juu ya Katiba Mpya, kuondoka kwa Lissu ghafla, naona inawezekana kuna jambo inawezekana halipo sawa, muda utaamua.
Siamini kama ni suala la kulewa au vinginevyo, kwasababu Chadema kujaza "nyomi" kwenye mikutano yao haliwezi kuwa suala la kujadili na kubishana, ile ni fact, ambayo kila mwenye macho haambiwi tazama.Wamelewa na Umati uliokuwa staged na hivyo kuamini kuwa ule umati uko nao mpaka 2025 kwenye boksi
PROF. LIPUMBA: KUPIGWA RISASI HAIKUONGEZEI SIFA YA KUWA RAIS WA TANZANIA
Prof. Lipumba wakati anajibu maswali mbalimbali ya waandishi wa habari amemlipua Tundu Lisu kuwa ajue kupigwa risasi siyo sifa ya kukufanya uchaguliwe kuwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Prof Lipumba amesema kwenye sifa za mtu kuwa Rais wa Tanzania kupigwa risasi haipo, hivyo Lisu angeendeleza sera za kuwaunganisha watanzania na kuwaletea maendeleo na siyo kuimba kupigwa risasi kila siku.
Nina imani kama kiti kingekuwa bado kinakaliwa na shetani mkuu, chadema wasingetamani kushiriki uchaguzi wowote. Kabla ya shetani kukalia kiti chaguzi zilikuwa zinafanywa at least kwa 60% zilikuwa zina ukweliNi dhahiri ndani ya CHADEMA watu wanachekeana usoni ila mioyoni mwao watu wanapiga mahesabu ya 2025.