Kaa kwa kutulia wewe jamaa, atachoamua Mbowe nyinyi visisimizi hamuwezi kupinga! Akiamua kushiriki uchaguzi 24 and 25 bila katiba mpya mtapiga makofi na kukenua! Akiamua kumpigia kampeni Samia 2025 bado mtaendelea kumsifia na kumpigia magoti, shortly Mbowe ni kila kitu ndani ya chama chenu, Alpha and Omega