Wasanii Bongo Fleva na ajenda za ushoga

Yeye ni sehem ya hao mashoga, Allah amlaani ikiwa amekusudia, lkn kama hakujua basi Allah amsamehe
Hakuna msanii awezae fanya jambo bila kujua hio ni lugha ya utetezi.
KILA kitu kuanzia mavazi, staili,vitu nk upangwa stadi na director,na asilimia kubwa ya madirector uongozwa na nguvu ya siri kupitisha ajenda fulani.
 
tru story
 
Sasa suluhisho ni lipi kuokoa kizazi, huko mashuleni na vyuoni??
Tena vyuoni sahivi ushoga ni fashion, wengine wanaishi kinyumbaa, utaskia tunabebana room, kumbe ni kulana migongo tyuuh.


[emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380] ktk ubora wake.
 
Nani alisema hio rangi ni ya mashoga ..nani alipitisha hili swala?
Upinde wa mvua una rangi 7 - ROYGBIV

Bendera rasmi ya wapenzi wa jinsia moja ina rangi 6 zilizokwenye kampangilio kama rainbow colors.

Hiyo ni bendera yao rasmi
 
Niache kuvaa nguo kisa mashoga wanavaa, hell no. Wao wavae na mimi navaa kila mtu anavaa kwa muktadha wake. Hizi rangi zinavaliwa hata kabla ya huo ushoga wenyewe sioni maana ya kuacha sasa.

Siku mashoga wakisema wavaa suruali wote ni mashoga mtaacha kuvaa suruali? Definition ya mwingine sio lazima iwe definition yako.
 
Tatizo wanaponzwa na stylist wao bwana noelgio
 
M2WAWA2 huyo mwenye nguo nyeusi ndio designer wa Ali Kiba

Itafute "behind the scene" ya video yake ya bwana mdogo.

#YNWA
 
Aliacha Physics form II uyo, achana nae.
Labda kama unajielezea wewe.Katafute kitabu cha Physics cha form 4, 2005 nenda hata hapo Tanganyika Library, msitake tufunguke mengine ambayo yapo nje ya uwezo wenu mwisho wa siku utajiona hujui.
 
Mbona mashuleni watoto wenu wanafundishwa kuhusu rangi hizo hizo na hatuwaoni mkilalamika, basi iambie na serikali kupitia wizara ya elimu nao wafute hiyo kipengele.

Kuna watu wengine miyeyusho kinyama.
 
Wewe ushawahi kuwa freemasons?? Maana kwa ushuhuda unaotoa utasema na wewe ni mwanachama mstaafu, acha kusimulia ulichosimuliwa kwa watu ambao nao wamesimuliwa
Watanzania wengi wana huu upumbavu wa ku share info za kusimuliwa as if ni first hand information.
 
Acha ujinga ww, tatizo huondolewa moja baada ya jingine, ameanza na na hilo la kwanza, likiwa solved litafuata jingine kupata utatuzi.
Sijaona impact ya yeye kuvaa koti la rainbow ninyi ndiyo mmechukulia kwamba anaunga mkono pride movement .

Kama kweli tunataka kuondoa tatizo basi tuanze kwenye mzizi na si mashinani huko tuanze na wao kuacha kuimba mziki na ukawapige da'awa haswa .

Ni kwamba he is innocent until proven guilty si mnawahi kuhukumu na wakati mziki huo huo mnasikiliza.

Nitamuasa kama akitangaza rasmi anaoa au kuolewa na mwanamume mwenzake.

Na bado akiamua kufuata atafuata ila akiendeleza ni yeye na mungu wake uzuri ujumbe atakuwa kaupata ila si kumuhumu mtu .
 
Mbona mashuleni watoto wenu wanafundishwa kuhusu rangi hizo hizo na hatuwaoni mkilalamika, basi iambie na serikali kupitia wizara ya elimu nao wafute hiyo kipengele.

Kuna watu wengine miyeyusho kinyama.
Mtoto anasoma upinde wa mvua shuleni na rangi zote anazijua hii haimaanishi shuleni wanafundisha ushoga . sasa jamaa kuvaa kakoti tu wanamhusisha na pride movement 😂😂
 
Kuna subliminal messages zinapita kwenye video zao na hatuzioni miaka nenda miaka Rudi.....
#Funga milango ya kupokea jumbe zao uwe salama😂.
 
Kwahiyo ndo umeona ni njia sahihi ya kuwaepusha? Je wanapokuwa shule huoni wanasimuliana na wenzao, kikubwa wape elimu ya kijinsia wafahamu yapi mabaya na yapi mazuri ya kufanya.
Hata hilo pia ni muhimu kuanza nalo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…