cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Haswaaaah tena hapa kwetu n risk kubwa mnoooh.yaan mi ndio maana sipendi kuanika watoto mtandaoni maana unawaumiza kiakili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haswaaaah tena hapa kwetu n risk kubwa mnoooh.yaan mi ndio maana sipendi kuanika watoto mtandaoni maana unawaumiza kiakili
That’s what I saidAnaye mtesa mtoto ni huyo anayempost na kumrekodi kila mara.
A child has a right to privacy.Yeye anamuweka kwenye spotlight.Awe tayari kwa sifa,matusi na kukosolewa.
Inategemea na utakavyomlea ukimpeleka ki mayai mayai anakuwa shoga weliYaan bongo katoto kakiwa kazuri wanakaita shoga loo
Hivi na yule wa ray ni wa kiume au wa kike mpaka hereni avishwa yule dawa kwenye nywele hivi ni ulimbukenia au ni nini halafu mtoto akiwa shoga unaanza kufa taratibuUmeonaee wazuri wapo wengi hatutaki kuwaposti
Yaani watoto was wasanii wanapatabtatu sana. Kila kukichwa vichwa vinashikwa shikwa kutengenezwa urembo. Yani wanawafundisha kupapaswa. Hawawezi kucheza kwa raha huku wakijitupa mchangani. Wanachungwa mno mbuzi afadhali.ustaa wa kufosi utawafanya wapapaswe mapema.Hivi na yule wa ray ni wa kiume au wa kike mpaka hereni avishwa yule dawa kwenye nywele hivi ni ulimbukenia au ni nini halafu mtoto akiwa shoga unaanza kufa taratibu
Hahaha I think soIrene Uwoya na yule dada wa Ghana aliepiga picha uchi na mwanae ni ndugu?