Wasanii Jifunze kwa yaliyompata Irene Uwoya. Ni baada ya Malezi mabovu, watu wamempandia hewani hadi kutoa machozi

Wasanii Jifunze kwa yaliyompata Irene Uwoya. Ni baada ya Malezi mabovu, watu wamempandia hewani hadi kutoa machozi

Mleta mada umevembewa maharage! au ni ke wako???? unasema mambo ya kijinga sana pumbaf
 
Hivi na yule wa ray ni wa kiume au wa kike mpaka hereni avishwa yule dawa kwenye nywele hivi ni ulimbukenia au ni nini halafu mtoto akiwa shoga unaanza kufa taratibu
Yaani watoto was wasanii wanapatabtatu sana. Kila kukichwa vichwa vinashikwa shikwa kutengenezwa urembo. Yani wanawafundisha kupapaswa. Hawawezi kucheza kwa raha huku wakijitupa mchangani. Wanachungwa mno mbuzi afadhali.ustaa wa kufosi utawafanya wapapaswe mapema.
 
Back
Top Bottom