Wasanii msipeleke burudani Mbeya, ule mji wa washamba

Nimeshangaa sana wasanii bado wanapeleka burudani kwenye mji wa Mbeya uliojaa binadamu washamba kupindukia.

Acheni kupeleka burudani kwa watu wasiostaarabika kama wakati ule mlivyofanya kwa Arusha.

Watu wa Mbeya bado wapo kwenye ujanja 1980s ule usela nondo, fujo za kinyani.

Kwanza mji wenyewe wanaita jiji lakini kuna nyumba za tope mpaka leo mjini, mji vumbi tupu, mji hauna hotel ya 3 star, hauna malls wala burger points, hakuna hata international office moja. Wakipata jengo lenye lift wanaita mpaka spika akazindue.

Watu wa burudani achaneni na huo mkoa waendeleee kumsikiliza na kuburudishwa na Awilo wao.

Mtu anatoka kwake anaenda kwenye burudani kufanya vurugu, kutupa chupa, kutukana matusi kama kalazimishwa kwenda vijana wa Mbeya wanaona kuwa wahalifu ni ujanja.
Moja ya watu wajinga wapumbavu wasiokuwa na uelewa ni wewe.
Umefikiria ni nini kitawapa hasara mbeya wasipo peleka hizo laana wewe unaita burudani?

kipi unawazidi watu mbeya wewe? Mbeya wanajielewa sio kama wewe msanii anawaonyesha dole la kati halafu mna mshangilia sijui ndo ujanja unao u promote hapa?
nyimbop zenyewe ndo hizo za chapati chapati?

ungejiuliza kwanza kwanini atupiwe chupa yeye tu wengine wasifanyiwe hivyo?
Huna point wewe ni kundumu tu
 
Hakuna hotel ya nyota 3 utachemshiwa viazi asubuhi na chai rangi as BnB. Ile sio hotel ni guest house iliyochangamka.
Takataka wewe 🚮🚮

Hii ni nyota ngapi? 👇👇
20240909_071753.jpg
20240527_183033.jpg
 
Nimeshangaa sana wasanii bado wanapeleka burudani kwenye mji wa Mbeya uliojaa binadamu washamba kupindukia.

Acheni kupeleka burudani kwa watu wasiostaarabika kama wakati ule mlivyofanya kwa Arusha.

Watu wa Mbeya bado wapo kwenye ujanja 1980s ule usela nondo, fujo za kinyani.

Kwanza mji wenyewe wanaita jiji lakini kuna nyumba za tope mpaka leo mjini, mji vumbi tupu, mji hauna hotel ya 3 star, hauna malls wala burger points, hakuna hata international office moja. Wakipata jengo lenye lift wanaita mpaka spika akazindue.

Watu wa burudani achaneni na huo mkoa waendeleee kumsikiliza na kuburudishwa na Awilo wao.

Mtu anatoka kwake anaenda kwenye burudani kufanya vurugu, kutupa chupa, kutukana matusi kama kalazimishwa kwenda vijana wa Mbeya wanaona kuwa wahalifu ni ujanja.
Huyu sio Bw Naseeb Abdul kweli? Maana kaandika kwa simanzi isiyo na mfano. Shukuru tu Zuchu wako yupo salama salmini ingawa kitendo kile si cha kiungwana watu hawapaswi kufanya namna ile sio Mbeya tu yaani popote pale.
 
Tatizo watu hamfanyi research, Mbeya wanapenda mziki wa hiphop sio hyo miziki yenu lain lain.

Sasa nyie mnampandisha zuchu & mbosso jukwaani ili awaburudishe akina mwaisa kweli?
tumieni akili aisee, hao jamaa wanataka wasanii jamii ya Ney, Roma, J moo etc.
Sasa zuchu atawaimbia nyimbo zipi wale jamaa mpaka wamuelewe au ndo zile za haniiiiii hahahaha
 
Huyu unaye mtetea na kuona watu wa mbeya ni washamba yamkini mshamba niwewe na watu wa aina Yako.

Mwambie mbeya hakuna mapunga kama daslam huko
 
Attachments

  • Screenshot_20240929-195222_1.jpg
    Screenshot_20240929-195222_1.jpg
    359.2 KB · Views: 4
Nimeshangaa sana wasanii bado wanapeleka burudani kwenye mji wa Mbeya uliojaa binadamu washamba kupindukia.

Acheni kupeleka burudani kwa watu wasiostaarabika kama wakati ule mlivyofanya kwa Arusha.

Watu wa Mbeya bado wapo kwenye ujanja 1980s ule usela nondo, fujo za kinyani.

Kwanza mji wenyewe wanaita jiji lakini kuna nyumba za tope mpaka leo mjini, mji vumbi tupu, mji hauna hotel ya 3 star, hauna malls wala burger points, hakuna hata international office moja. Wakipata jengo lenye lift wanaita mpaka spika akazindue.

Watu wa burudani achaneni na huo mkoa waendeleee kumsikiliza na kuburudishwa na Awilo wao.

Mtu anatoka kwake anaenda kwenye burudani kufanya vurugu, kutupa chupa, kutukana matusi kama kalazimishwa kwenda vijana wa Mbeya wanaona kuwa wahalifu ni ujanja.
Watu wanamtaka mke wa pdidi aje kutumbuiza acheni longolongo
 
Kama Zuuu kaimbaa Sisiemu unafikiri Wanyakyusa wanakifuaaa sasaa🤣🤣 siwalaumu.
 
Kiukweli huu mziki wao siuelewi wala siwezi kufatilia,kuusikia
Ila kitendo cha kumrushia chupa siyo poa na tujiulize kwanini,au sababu zipi ziliwafanya hao wamrushie chupa msanii huyo

Ova
 
Attachments

  • VID-20240929-WA0009.mp4
    6.1 MB
Tulia kidogo tueleze unataka kusema nini,Hilo ni bonde la ufa,kujenga majengo marefu Kuna restrictions sasa wewe unapayuka tuu,nenda kafanye biashara mbeya ndo utajua Kuna pesa au la,watu wanalisha Congo,Malawi na Zambia kwa ubunifu wewe unaleta manyoka.Urefu au udongo wa mjini utalinganisha na hali ngumu kawe,manzese,na Tandika,jitahidi sana kulipa tozo ili maisha yasonge.
😂😂😂 eti bonde la ufa hiyo siyo sababu ya msingi ya watu kutokujenga majengo marefu ishu ni watu hawana hela ña kuna mhandisi aliliongelea hilo kwenye azam tv,mbona NHC wana jengo la ghorofa 9
 
Tulia kidogo tueleze unataka kusema nini,Hilo ni bonde la ufa,kujenga majengo marefu Kuna restrictions sasa wewe unapayuka tuu,nenda kafanye biashara mbeya ndo utajua Kuna pesa au la,watu wanalisha Congo,Malawi na Zambia kwa ubunifu wewe unaleta manyoka.Urefu au udongo wa mjini utalinganisha na hali ngumu kawe,manzese,na Tandika,jitahidi sana kulipa tozo ili maisha yasonge.

Wewe huwezi kufananisha Mafiat au Uyole na Manzese. Kule pesa hakuna, matatizo tu. Kama ni mzawa wa Dar, Mbeya labda upelekwe na serikali au kampuni. Mimi nimekaa miji mingine mikubwa ya Afrika nikaona bora nirudi Dar tu. Dar es salaam ni jiji liko karibu na Mungu, unataka kufananisha na Mbeya? Acha wewe
 
Nimeshangaa sana wasanii bado wanapeleka burudani kwenye mji wa Mbeya uliojaa binadamu washamba kupindukia.

Acheni kupeleka burudani kwa watu wasiostaarabika kama wakati ule mlivyofanya kwa Arusha.

Watu wa Mbeya bado wapo kwenye ujanja 1980s ule usela nondo, fujo za kinyani.

Kwanza mji wenyewe wanaita jiji lakini kuna nyumba za tope mpaka leo mjini, mji vumbi tupu, mji hauna hotel ya 3 star, hauna malls wala burger points, hakuna hata international office moja. Wakipata jengo lenye lift wanaita mpaka spika akazindue.

Watu wa burudani achaneni na huo mkoa waendeleee kumsikiliza na kuburudishwa na Awilo wao.

Mtu anatoka kwake anaenda kwenye burudani kufanya vurugu, kutupa chupa, kutukana matusi kama kalazimishwa kwenda vijana wa Mbeya wanaona kuwa wahalifu ni ujanja.
Mbeya hawependi ujinga hasa baada ya kujua Pdiddy ni nabii wa mafuta...wasafi mnalo
 
Back
Top Bottom