Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Teh teh 😃 😃 huyu anataka eti kuwakomoa washabiki wa muziki huko Mbeya.Sasa unachowazidi cha maana ni kipi? Bila hiyo burudani unayoifikiria, unadhani watakufa??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh 😃 😃 huyu anataka eti kuwakomoa washabiki wa muziki huko Mbeya.Sasa unachowazidi cha maana ni kipi? Bila hiyo burudani unayoifikiria, unadhani watakufa??
Kigezo Cha nice restaurant NJ kipi labda? Sema hujui ziliko 🙄Mbeya huwezi kukuta a nice restaurant, kwa nini? Mji umejaa washamba.
Mwambie Mbeya haikomoleki ,wenye njaa watajileta tuu wenyewe 🤣🤣Teh teh 😃 😃 huyu anataka eti kuwakomoa washabiki wa muziki huko Mbeya.
Ustaarabu kuruhusu ndoa za jinsia mojaChakula anakula mzungu aliyekufundisha ustaarabu
Moja ya watu wajinga wapumbavu wasiokuwa na uelewa ni wewe.Nimeshangaa sana wasanii bado wanapeleka burudani kwenye mji wa Mbeya uliojaa binadamu washamba kupindukia.
Acheni kupeleka burudani kwa watu wasiostaarabika kama wakati ule mlivyofanya kwa Arusha.
Watu wa Mbeya bado wapo kwenye ujanja 1980s ule usela nondo, fujo za kinyani.
Kwanza mji wenyewe wanaita jiji lakini kuna nyumba za tope mpaka leo mjini, mji vumbi tupu, mji hauna hotel ya 3 star, hauna malls wala burger points, hakuna hata international office moja. Wakipata jengo lenye lift wanaita mpaka spika akazindue.
Watu wa burudani achaneni na huo mkoa waendeleee kumsikiliza na kuburudishwa na Awilo wao.
Mtu anatoka kwake anaenda kwenye burudani kufanya vurugu, kutupa chupa, kutukana matusi kama kalazimishwa kwenda vijana wa Mbeya wanaona kuwa wahalifu ni ujanja.
Takataka wewe 🚮🚮Hakuna hotel ya nyota 3 utachemshiwa viazi asubuhi na chai rangi as BnB. Ile sio hotel ni guest house iliyochangamka.
Huyu sio Bw Naseeb Abdul kweli? Maana kaandika kwa simanzi isiyo na mfano. Shukuru tu Zuchu wako yupo salama salmini ingawa kitendo kile si cha kiungwana watu hawapaswi kufanya namna ile sio Mbeya tu yaani popote pale.Nimeshangaa sana wasanii bado wanapeleka burudani kwenye mji wa Mbeya uliojaa binadamu washamba kupindukia.
Acheni kupeleka burudani kwa watu wasiostaarabika kama wakati ule mlivyofanya kwa Arusha.
Watu wa Mbeya bado wapo kwenye ujanja 1980s ule usela nondo, fujo za kinyani.
Kwanza mji wenyewe wanaita jiji lakini kuna nyumba za tope mpaka leo mjini, mji vumbi tupu, mji hauna hotel ya 3 star, hauna malls wala burger points, hakuna hata international office moja. Wakipata jengo lenye lift wanaita mpaka spika akazindue.
Watu wa burudani achaneni na huo mkoa waendeleee kumsikiliza na kuburudishwa na Awilo wao.
Mtu anatoka kwake anaenda kwenye burudani kufanya vurugu, kutupa chupa, kutukana matusi kama kalazimishwa kwenda vijana wa Mbeya wanaona kuwa wahalifu ni ujanja.
Huyo ana matizo yake ya uelewa kichwani hamna kitu.
Watu wanamtaka mke wa pdidi aje kutumbuiza acheni longolongoNimeshangaa sana wasanii bado wanapeleka burudani kwenye mji wa Mbeya uliojaa binadamu washamba kupindukia.
Acheni kupeleka burudani kwa watu wasiostaarabika kama wakati ule mlivyofanya kwa Arusha.
Watu wa Mbeya bado wapo kwenye ujanja 1980s ule usela nondo, fujo za kinyani.
Kwanza mji wenyewe wanaita jiji lakini kuna nyumba za tope mpaka leo mjini, mji vumbi tupu, mji hauna hotel ya 3 star, hauna malls wala burger points, hakuna hata international office moja. Wakipata jengo lenye lift wanaita mpaka spika akazindue.
Watu wa burudani achaneni na huo mkoa waendeleee kumsikiliza na kuburudishwa na Awilo wao.
Mtu anatoka kwake anaenda kwenye burudani kufanya vurugu, kutupa chupa, kutukana matusi kama kalazimishwa kwenda vijana wa Mbeya wanaona kuwa wahalifu ni ujanja.
Usijisumbue huyu nae wameshampididi ndo maana ukitukana wasafi anakumaindHuyu unaye mtetea na kuona watu wa mbeya ni washamba yamkini mshamba niwewe na watu wa aina Yako.
Mwambie mbeya hakuna mapunga kama daslam huko
Jaribu kuficha upumbavu wakoHuwezi kuwa mji una wajanja alafu mnakula viazi maharage na maparachichi tu 😂😂
Ujui burger imebeba nini kwenye kwenye lishe?
😂😂😂 eti bonde la ufa hiyo siyo sababu ya msingi ya watu kutokujenga majengo marefu ishu ni watu hawana hela ña kuna mhandisi aliliongelea hilo kwenye azam tv,mbona NHC wana jengo la ghorofa 9Tulia kidogo tueleze unataka kusema nini,Hilo ni bonde la ufa,kujenga majengo marefu Kuna restrictions sasa wewe unapayuka tuu,nenda kafanye biashara mbeya ndo utajua Kuna pesa au la,watu wanalisha Congo,Malawi na Zambia kwa ubunifu wewe unaleta manyoka.Urefu au udongo wa mjini utalinganisha na hali ngumu kawe,manzese,na Tandika,jitahidi sana kulipa tozo ili maisha yasonge.
Tulia kidogo tueleze unataka kusema nini,Hilo ni bonde la ufa,kujenga majengo marefu Kuna restrictions sasa wewe unapayuka tuu,nenda kafanye biashara mbeya ndo utajua Kuna pesa au la,watu wanalisha Congo,Malawi na Zambia kwa ubunifu wewe unaleta manyoka.Urefu au udongo wa mjini utalinganisha na hali ngumu kawe,manzese,na Tandika,jitahidi sana kulipa tozo ili maisha yasonge.
Mbeya hawependi ujinga hasa baada ya kujua Pdiddy ni nabii wa mafuta...wasafi mnaloNimeshangaa sana wasanii bado wanapeleka burudani kwenye mji wa Mbeya uliojaa binadamu washamba kupindukia.