Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
angebaki tu na cheo chake cha siku zote "Mwenyekiti wa misiba" kule anafit vema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mgogoro kwa sababu kuna malumbano yaliyozaa Wabunge wa vimemoMigogoro? Seriously unajadili hii kitu?
Kwani nchi zote zina wasemaji?
Aliesema hiko cheo cha maana Sana Hadi kielete migogoro nani?
Why mnaleta siasa kila sehemu?
Au ndoto za hao wanaolalamika ni kuwa ma dc na wabunge?Na sio successful musicians?
Ili uwe successful artist huhitaji yeyote apewe cheo chochote..
Unamjua msemaji wa wasanii Nigeria au south Africa?Au Drc?Hawana but nyimbo zao si tunazijua na tunatoa pesa kupata burudani?
Hiko cheo ni mzaha na kinamfaa Sana stivu
Makelele mengine yote upumbavu
Una chuki mbaya Sana, kemea haraka Hivi wewe KWA akili Yako unapata wapi? Uwezo wa kuongelea rumors za mitandaon kiasi hiko.Kumjadili mjinga na wajinga wenzake walimchagua ni kupoteza muda, tuna mambo mengi ya kufanya, jamaa hata hajui muziki ukoje mbali ya kuigiza sauti ya baba wa taifa hana kingine kipya zaidi ya kuishi mjini kwa kujikomba na kujipendekezakwa wanasiasa, kufanya ukuwadi kwa pisi za bongo movie, zaidi ya hapo hana kazi yoyote inayomuweka mjini ,sana sana anakuwa mweka hazina asiye rasmi wa misiba ya nyota wa filamu. Kajitu ka hovyo sana haka kajamaa na kana jiona kana connection ya kuingia na kuonana na vigogo wa kisiasa mbalimbali
Nasikia alipigiwa pande na Fid Q,sasa huyo mteuaji ndo hajulikaniView attachment 2161034
Ni vema tukamfahamu mtu huyo na cheo chake, huenda tutafahamu pia vigezo alivyotumia, na bila shaka tutaijua hata akili yake ilivyo.
Ni aibu sana kuteua mtu asiye na vigezo na anayepingwa na watu wote, Je huyu mteuaji alilenga nini kuteua mtu asiyetakiwa hata kwao?
Kwanini tunatengeneza migogoro ya kijinga isiyo na tija yoyote?
Farid Kubanda Fid Q a.k a Afidilile MwaijumbaView attachment 2161034
Ni vema tukamfahamu mtu huyo na cheo chake, huenda tutafahamu pia vigezo alivyotumia, na bila shaka tutaijua hata akili yake ilivyo.
Ni aibu sana kuteua mtu asiye na vigezo na anayepingwa na watu wote, Je huyu mteuaji alilenga nini kuteua mtu asiyetakiwa hata kwao?
Kwanini tunatengeneza migogoro ya kijinga isiyo na tija yoyote?
Alijiteua huyoView attachment 2161034
Ni vema tukamfahamu mtu huyo na cheo chake, huenda tutafahamu pia vigezo alivyotumia, na bila shaka tutaijua hata akili yake ilivyo.
Ni aibu sana kuteua mtu asiye na vigezo na anayepingwa na watu wote, Je huyu mteuaji alilenga nini kuteua mtu asiyetakiwa hata kwao?
Kwanini tunatengeneza migogoro ya kijinga isiyo na tija yoyote?
Siasa kiongozi, alipogusia mwenyewe kuwa wapo wenye itikadi za kisiasa hawampendi basi nikaona ngoja nipitie na humu kujiridhisha km kuna kaharufu ka-kisiasa. Aisee Yuko sahihi, anapondwa kiasi kikubwa na 'makamanda'!Migogoro? Seriously unajadili hii kitu?
Kwani nchi zote zina wasemaji?
Aliesema hiko cheo cha maana Sana Hadi kielete migogoro nani?
Why mnaleta siasa kila sehemu?
Au ndoto za hao wanaolalamika ni kuwa ma dc na wabunge?Na sio successful musicians?
Ili uwe successful artist huhitaji yeyote apewe cheo chochote..
Unamjua msemaji wa wasanii Nigeria au south Africa?Au Drc?Hawana but nyimbo zao si tunazijua na tunatoa pesa kupata burudani?
Hiko cheo ni mzaha na kinamfaa Sana stivu
Makelele mengine yote upumbavu
Kumbe ule moto ulianzia huku
Shirikisho la Muziki Nchini Tanzania ambalo Fid Q Ni katibu Mkuu, lilimtangaza Steve Nyerere kuwa Msemaji wa Wanamuziki Wote nchini.
Wasanii wamaupinga huu uteuzi na kudai wanataka Kusemewa na Mtu anaejua Changamoto zao na sio Steve ambae ni Mwanasiasa na Muigizaji.
Wasanii Wameonekana kutokua na imani na Steve kwa kigezo kuwa Haujui Muziki wa Tanzania na nafasi hiyo inamfaa mtu ambae yupo relevant na Muziki,
Wasanii waliopinga ni pamoja na Nay Wa Mitego, Diamond, Wakazi, Adam Mchomvu, Q Chief, Afande Sele, n.k
Imependekezwa Mchakato Urudiwe ili apatikane mtu sahihi wa kuwasemea wanamuziki
Hata Adv. Addo Mwasongwe ninamjua vyema, ni mtu mvivu mnoo nimefanya nae kazi Nssf Legal Department Ujanja mwingi Mnoo.Ni issue ndogo lakini ina siasa ndio maana inakuwa kubwa! Kama unajua kazi za Steve unajua nini kinafata! Bushoke aligusia jana! Rais wa shirikisho aliongea pia kwamba wanaomkataa Steve ni wanaharakati ambao pia wanaotusi serikali! Sasa hapo kuna mipango ya wasanii au mipango ya kisiasa?
Tid??? Are u serious?Binafsi naona msemaji ni bora angekuwa ashawahi kujihusisha na mziki, ingependeza awe Mike tee, Tid, P funk, Master J, lady jay dee, Enika, n.k.
Huyu Steve hapana kwakweli, njaa kali sana hadi ikafika kipindi kila msiba ukitokea anajipa cheo cha kukusanya rambi rambi, pia ni mtu ambae hupenda kutumia watu kama ngazi.