Wasanii wamjia juu Fid Q kwa kufanikisha Steve Nyerere kuwa Msemaji wa Wanamuziki wote Tanzania

Migogoro? Seriously unajadili hii kitu?

Kwani nchi zote zina wasemaji?
Aliesema hiko cheo cha maana Sana Hadi kielete migogoro nani?
Why mnaleta siasa kila sehemu?
Au ndoto za hao wanaolalamika ni kuwa ma dc na wabunge?Na sio successful musicians?

Ili uwe successful artist huhitaji yeyote apewe cheo chochote..

Unamjua msemaji wa wasanii Nigeria au south Africa?Au Drc?Hawana but nyimbo zao si tunazijua na tunatoa pesa kupata burudani?

Hiko cheo ni mzaha na kinamfaa Sana stivu

Makelele mengine yote upumbavu
 
Ni mgogoro kwa sababu kuna malumbano yaliyozaa Wabunge wa vimemo
 
Wanateuliwa wapuuzi watupu ili watawalike.
Kuna yule sijui mkuu wa mkoa au wilaya Chikoka mpk kavaa suti haamini km ni yeye kapewa hicho cheo.
Wengine kibao wamepewa pewa tu hawaeleweki.
Hao ndio wanatakiwa awamu hii.
 
Una chuki mbaya Sana, kemea haraka Hivi wewe KWA akili Yako unapata wapi? Uwezo wa kuongelea rumors za mitandaon kiasi hiko.
 
anayepingwa na watu wote

Kazi Sana kuendesha kundi la wajinga
 
Nasikia alipigiwa pande na Fid Q,sasa huyo mteuaji ndo hajulikani
 
Farid Kubanda Fid Q a.k a Afidilile Mwaijumba
 
Ni mgogoro na vurugu za kutengenezwa kwa makusudi. Imepengwa iwe hivyo kwa nia na madhumini mengine kabisa na watu wazima are dancing to the tune. Nchi inaulinzi barabara kabisa hii😀😀😀
 
Alijiteua huyo
 
Siasa kiongozi, alipogusia mwenyewe kuwa wapo wenye itikadi za kisiasa hawampendi basi nikaona ngoja nipitie na humu kujiridhisha km kuna kaharufu ka-kisiasa. Aisee Yuko sahihi, anapondwa kiasi kikubwa na 'makamanda'!
 
Kumbe ule moto ulianzia huku
 
Hata Adv. Addo Mwasongwe ninamjua vyema, ni mtu mvivu mnoo nimefanya nae kazi Nssf Legal Department Ujanja mwingi Mnoo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tid??? Are u serious?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…