Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikimuangalia Jacinda Arden au Angela Merkel….nabaki kusikitika tu!Ninachokiona ni kuwa huyu Mama hatoshi kwenye hii nafasi. Anachoendekeza ni uzanzibari tu.
Hatujui hasa, ila inaweza kuwa ni Mwigulu, Mpango, Zungu, J. Ndugai na wengine wote wanaoonekana kuwa na uzoefu wa kudeal na wananchi moja kwa moja kumzidi yeyeWashauri wake ni akina nani?
Nitag kwenye huo uzi nisomeWewe si ndio ulisema wanawake wa CHADEMA wanaolalamika kunyimwa ped mahabusu watumie makaratasi?
Kama unafurahia matendo haya, hapa unahoji nini?
Acheni kuwa wanafiki!
Endeleeni kumpa kichwa huyo Mama ataona matokeo yake.
Yeye hana uzoefu wa ku-deal na wananchi moja kwa moja?Hatujui hasa, ila inaweza kuwa ni Mwigulu, Mpango, Zungu, J. Ndugai na wengine wote wanaoonekana kuwa na uzoefu wa kudeal na wananchi moja kwa moja kumzidi yeye
Chadema wanatakiwa kuwa very reconciliatory,,,character assassination dhidi ya amiri jeshi mkuu haitawasaidia,,Viongozi wa Chadema na wafuasi walimtizama kwa makengeza!!
kisha wakajidanganya!!
wakaona mteremko huu tusiuachie ukapita!! walidhani huu sasa ndio muda wa kufanya yao!!
nawashauri Chadema na wafuasi rudini palepale mlipobkuwa mara baada ya uchaguzi mkuu 2020, kamwe msithubutu kujaribu kuendelea kupima kina cha maji kwa miguu!!..........................................
Sisi wananchi wazalendo wa Tanzania ndio washauri wakuu wa Rais wetu.
Rais anasikiliza wananchi wenye nia ya dhati ya kulijenga Taifa sio wahuni wenye uchu wa madaraka na vyeo!!
Rais hawezi kusikiliza ushauri wa vibaraka!!
Rais hawezi kusikiliza wanafiki na wazandiki!!
Rais hawezi kusikiliza wenye nia ya kumkwamisha.
Kijana tayari simu yako tuna itrap, tutakufikia..😂😂Acha mikwara ya kizamani we lofa. Wenzako tulishahama huko zamani.
Tunamchana tu huyo bibi yako kwa kujiachia sana. Na kumtukana pia.
Haya njoo unikamate. Niko chumbani.
Njoo na chupi.
hiyo akili Chadema hawana,Chadema wanatakiwa kuwa very reconciliatory,,,character assassination dhidi ya amiri jeshi mkuu haitawasaidia,,
Kazungukwa na mafisi. Ilifaa atafute washauri binafsi wasio na personal interest.Kwenye suala zima la Tozo, ishu tata ya 'ugaidi' wa Mbowe na yale mahojiano na Salim Kikeke, yamempunguzia sana credits Rais wetu kipenzi! ☹️
Kuna hii ‘narrative’ inayoendelea sasa hivi kuwa Rais Samia anashauriwa vibaya.
Kila jambo linaloonekana kwenda mrama, lawama wanapewa hao washauri wake!
Yeye hakosei [kwa maneno yake mwenyewe aliwahi kunena kuwa Rais hakosei]. Ikitokea kuonekana kafanya makosa, wapenzi wake wanakimbilia kuwalaumu washauri wake.
Sasa Ngabu anauliza: hao washauri wa Rais Samia ni akina nani hasa?
Majina yao ni nani na nani?
Sura zao zikoje? Jinsia zao ni zipi?
Wana vyeo gani serikalini? Nani aliwafanya wawe washauri wa Samia?
Nataka kuwajua hao washauri wa Samia wanaomshauri vibaya.
Kubwa zaidi, Rais mstaafu Nyerere aliwahi kusema kwenye moja ya hotuba zake, hii nadhani ilikuwa ni ya mwaka 1995 akiwahutubia wafanyakazi huko Mbeya kwenye sherehe ya Mei Mosi, kuwa, mtu mwenye akili, anayejua kwamba na wewe una akili, akikupa mawazo/ ushauri wa kipumbavu na wewe ukaukubali, basi mtu huyo atakudharau kabisa.
Video yake hii hapa. Anzia dakika ya 1:00 mpaka 2:00.
Huyu Rais wetu mpya hana uwezo wa kuchuja ushauri ulio mzuri na ushauri ulio wa kipumbavu?
Mimi napenda kuwa na Rais ambaye yuko ‘engaged’. Sipendi kuwa na Rais anayeshauriwa tu bila ya yeye kuweka input yake.
Je, Rais wetu huyu mpya, yeye ni Rais wa aina gani? Kila anachoshauriwa kufanya yeye anaendanacho tu?
Ukifatilia hotuba yake nafikiri akiaapisha mawaziri akasema kuwa yeye hana kipawa kama kile alichokuwanacho hayati kwamba akifika sehemu anauwezo wa kujua hapa tumepigwa au lah lakini yeye ni mtu wa graph tu zimepanda zimeshuka basi.Kuna hii ‘narrative’ inayoendelea sasa hivi kuwa Rais Samia anashauriwa vibaya.
Kila jambo linaloonekana kwenda mrama, lawama wanapewa hao washauri wake!
Yeye hakosei [kwa maneno yake mwenyewe aliwahi kunena kuwa Rais hakosei]. Ikitokea kuonekana kafanya makosa, wapenzi wake wanakimbilia kuwalaumu washauri wake.
Sasa Ngabu anauliza: hao washauri wa Rais Samia ni akina nani hasa?
Majina yao ni nani na nani?
Sura zao zikoje? Jinsia zao ni zipi?
Wana vyeo gani serikalini? Nani aliwafanya wawe washauri wa Samia?
Nataka kuwajua hao washauri wa Samia wanaomshauri vibaya.
Kubwa zaidi, Rais mstaafu Nyerere aliwahi kusema kwenye moja ya hotuba zake, hii nadhani ilikuwa ni ya mwaka 1995 akiwahutubia wafanyakazi huko Mbeya kwenye sherehe ya Mei Mosi, kuwa, mtu mwenye akili, anayejua kwamba na wewe una akili, akikupa mawazo/ ushauri wa kipumbavu na wewe ukaukubali, basi mtu huyo atakudharau kabisa.
Video yake hii hapa. Anzia dakika ya 1:00 mpaka 2:00.
Huyu Rais wetu mpya hana uwezo wa kuchuja ushauri ulio mzuri na ushauri ulio wa kipumbavu?
Mimi napenda kuwa na Rais ambaye yuko ‘engaged’. Sipendi kuwa na Rais anayeshauriwa tu bila ya yeye kuweka input yake.
Je, Rais wetu huyu mpya, yeye ni Rais wa aina gani? Kila anachoshauriwa kufanya yeye anaendanacho tu?
Naendelea kusema kuwa makini mno tu.Acha mikwara ya kizamani we lofa. Wenzako tulishahama huko zamani.
Tunamchana tu huyo bibi yako kwa kujiachia sana. Na kumtukana pia.
Haya njoo unikamate. Niko chumbani.
Njoo na chupi.
Duh!Ukifatilia hotuba yake nafikiri akiaapisha mawaziri akasema kuwa yeye hana kipawa kama kile alichokuwanacho hayati kwamba akifika sehemu anauwezo wa kujua hapa tumepigwa au lah lakini yeye ni mtu wa graph tu zinepanda zimeshuka basi.
Manaake ni nini? Yeye analetewa tu hataki kuangqisha ubongo wake kuwaza nje ya boksi.