Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hajui hata anafanya niniKwenye suala zima la Tozo, ishu tata ya 'ugaidi' wa Mbowe na yale mahojiano na Salim Kikeke, yamempunguzia sana credits Rais wetu kipenzi! ☹️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajui hata anafanya niniKwenye suala zima la Tozo, ishu tata ya 'ugaidi' wa Mbowe na yale mahojiano na Salim Kikeke, yamempunguzia sana credits Rais wetu kipenzi! ☹️
Kuna hii ‘narrative’ inayoendelea sasa hivi kuwa Rais Samia anashauriwa vibaya.
Kila jambo linaloonekana kwenda mrama, lawama wanapewa hao washauri wake!
Yeye hakosei [kwa maneno yake mwenyewe aliwahi kunena kuwa Rais hakosei]. Ikitokea kuonekana kafanya makosa, wapenzi wake wanakimbilia kuwalaumu washauri wake.
Sasa Ngabu anauliza: hao washauri wa Rais Samia ni akina nani hasa?
Majina yao ni nani na nani?
Sura zao zikoje? Jinsia zao ni zipi?
Wana vyeo gani serikalini? Nani aliwafanya wawe washauri wa Samia?
Nataka kuwajua hao washauri wa Samia wanaomshauri vibaya.
Kubwa zaidi, Rais mstaafu Nyerere aliwahi kusema kwenye moja ya hotuba zake, hii nadhani ilikuwa ni ya mwaka 1995 akiwahutubia wafanyakazi huko Mbeya kwenye sherehe ya Mei Mosi, kuwa, mtu mwenye akili, anayejua kwamba na wewe una akili, akikupa mawazo/ ushauri wa kipumbavu na wewe ukaukubali, basi mtu huyo atakudharau kabisa.
Video yake hii hapa. Anzia dakika ya 1:00 mpaka 2:00.
Huyu Rais wetu mpya hana uwezo wa kuchuja ushauri ulio mzuri na ushauri ulio wa kipumbavu?
Mimi napenda kuwa na Rais ambaye yuko ‘engaged’. Sipendi kuwa na Rais anayeshauriwa tu bila ya yeye kuweka input yake.
Je, Rais wetu huyu mpya, yeye ni Rais wa aina gani? Kila anachoshauriwa kufanya yeye anaendanacho tu?
Hapa sasa ndio unamaanisha huyu mama hafai kuwa raisiYAANI...Kuna wakati najikuta naamini sana kuwa huyu mama anategemea zaidi Watu/ washauri waamue badala yake kisha wanamuambia tu amua hivi/fanya hivi naye hana jinsi
Kwasababu nikiangalia mfano msimamo wake juu ya tozo wanazolipishwa watanzania kupitia miamala...yeye binafsi hakuliafiki kwasababu alisema litazamwe upya, Mara paaap ni kama limelazimishwa na Mwigulu Nchemba na kupitishwa then mama akakaa kimya kumaanisha amelikubali
Hata Suala la kukamatwa kwa Mbowe ni kama vile mama anakuja kushirikishwa mambo baada ya kufanyika...
LAKINI pia kuna mambo mengine naamini anafanya kwa utashi wake, kwa mfano uteuzi wa hawa watoto / vibinti vya CCM kuteuliwa katika nafasi za Ukuu wa wilaya au Ukurugenzi, hapa naamini hajashauriwa ni ameamua yeye kama yeye kupitisha majina hayo.
Kifupi, yeye kama Rais kuna lawama nyingi anapaswa kuzipokea kutokana na nafasi aliyo nayo.
Raisi na Amiri jeshi mkuu sio MUNGU, atatukanwa atabezwa na atadhihakiwa tu iwe hadharani au sirini.Hii jeuri ya Kumtukana kama si Kumdhihaki Rais na Amiri Jeshi Mkuu umeitoa wapi Ndugu? Kuwa makini sana tafadhali.
Hizo mbona za kitambo sana,usitishe watu dogo.Ndugu usijidanganye kuwa makini sana.
Ina maana yeye hana akili ya kujua hili linafaa na hili halifai?Washauri ni pamoja na mawaziri na wakuu wa vyombo vingine sasa ww angalia jambo lina shida wap mana yake kiongozi mwenye dhamana hio sehem ndio mshauri na mpendeezi wa jambo fulani.
na SirroWashauri wake ni Mpango na Mwigulu Nchemba
Hizi code ni zaidi ya coronaTabasamu Fisadi & Company Limited,
Baba Mzazi
Kusoma hujui, hata rangi huoni?
Kuna hii ‘narrative’ inayoendelea sasa hivi kuwa Rais Samia anashauriwa vibaya.
Kila jambo linaloonekana kwenda mrama, lawama wanapewa hao washauri wake!
Yeye hakosei [kwa maneno yake mwenyewe aliwahi kunena kuwa Rais hakosei]. Ikitokea kuonekana kafanya makosa, wapenzi wake wanakimbilia kuwalaumu washauri wake.
Sasa Ngabu anauliza: hao washauri wa Rais Samia ni akina nani hasa?
Majina yao ni nani na nani?
Sura zao zikoje? Jinsia zao ni zipi?
Wana vyeo gani serikalini? Nani aliwafanya wawe washauri wa Samia?
Nataka kuwajua hao washauri wa Samia wanaomshauri vibaya.
Kubwa zaidi, Rais mstaafu Nyerere aliwahi kusema kwenye moja ya hotuba zake, hii nadhani ilikuwa ni ya mwaka 1995 akiwahutubia wafanyakazi huko Mbeya kwenye sherehe ya Mei Mosi, kuwa, mtu mwenye akili, anayejua kwamba na wewe una akili, akikupa mawazo/ ushauri wa kipumbavu na wewe ukaukubali, basi mtu huyo atakudharau kabisa.
Video yake hii hapa. Anzia dakika ya 1:00 mpaka 2:00.
Huyu Rais wetu mpya hana uwezo wa kuchuja ushauri ulio mzuri na ushauri ulio wa kipumbavu?
Mimi napenda kuwa na Rais ambaye yuko ‘engaged’. Sipendi kuwa na Rais anayeshauriwa tu bila ya yeye kuweka input yake.
Je, Rais wetu huyu mpya, yeye ni Rais wa aina gani? Kila anachoshauriwa kufanya yeye anaendanacho tu?
Kuna hii ‘narrative’ inayoendelea sasa hivi kuwa Rais Samia anashauriwa vibaya.
Kila jambo linaloonekana kwenda mrama, lawama wanapewa hao washauri wake!
Yeye hakosei [kwa maneno yake mwenyewe aliwahi kunena kuwa Rais hakosei]. Ikitokea kuonekana kafanya makosa, wapenzi wake wanakimbilia kuwalaumu washauri wake.
Sasa Ngabu anauliza: hao washauri wa Rais Samia ni akina nani hasa?
Majina yao ni nani na nani?
Sura zao zikoje? Jinsia zao ni zipi?
Wana vyeo gani serikalini? Nani aliwafanya wawe washauri wa Samia?
Nataka kuwajua hao washauri wa Samia wanaomshauri vibaya.
Kubwa zaidi, Rais mstaafu Nyerere aliwahi kusema kwenye moja ya hotuba zake, hii nadhani ilikuwa ni ya mwaka 1995 akiwahutubia wafanyakazi huko Mbeya kwenye sherehe ya Mei Mosi, kuwa, mtu mwenye akili, anayejua kwamba na wewe una akili, akikupa mawazo/ ushauri wa kipumbavu na wewe ukaukubali, basi mtu huyo atakudharau kabisa.
Video yake hii hapa. Anzia dakika ya 1:00 mpaka 2:00.
Huyu Rais wetu mpya hana uwezo wa kuchuja ushauri ulio mzuri na ushauri ulio wa kipumbavu?
Mimi napenda kuwa na Rais ambaye yuko ‘engaged’. Sipendi kuwa na Rais anayeshauriwa tu bila ya yeye kuweka input yake.
Je, Rais wetu huyu mpya, yeye ni Rais wa aina gani? Kila anachoshauriwa kufanya yeye anaendanacho tu?
Afande SeleWashauri wake ni akina nani?
Ndiyo maana naamini kwa watanzania hata panya anaweza kuwa kiongoziHalafu bado utasikia watu wanasema urais ni taasisi kubwa jamani Tanzania acheni maigizo mbele ya dunia iliyostarabika
Mkuu yaelekea abiria waliokuwa kwenye gari la SASHA wameshaingiwa na hofu kubwa. Wakati wowote gari litazimika Huku Pori bado ni Nene.Wewe si ndio ulisema wanawake wa CHADEMA wanaolalamika kunyimwa ped mahabusu watumie makaratasi?
Kama unafurahia matendo haya, hapa unahoji nini?
Acheni kuwa wanafiki! Hujui unachosimamia.
Endeleeni kumpa kichwa huyo Mama ataona matokeo yake.
Toa ushauri nini kifanyike. Mimi nadai Katiba MpyaaaNinachokiona ni kuwa huyu Mama hatoshi kwenye hii nafasi. Anachoendekeza ni uzanzibari tu.
Nyani Ngabu mshauri mmoja huyu hapa, msome mshauri wa mama huyu hapa.Viongozi wa Chadema na wafuasi walimtizama kwa makengeza!!
kisha wakajidanganya!!
wakaona mteremko huu tusiuachie ukapita!! walidhani huu sasa ndio muda wa kufanya yao!!
nawashauri Chadema na wafuasi rudini palepale mlipobkuwa mara baada ya uchaguzi mkuu 2020, kamwe msithubutu kujaribu kuendelea kupima kina cha maji kwa miguu!!..........................................
Sisi wananchi wazalendo wa Tanzania ndio washauri wakuu wa Rais wetu.
Rais anasikiliza wananchi wenye nia ya dhati ya kulijenga Taifa sio wahuni wenye uchu wa madaraka na vyeo!!
Rais hawezi kusikiliza ushauri wa vibaraka!!
Rais hawezi kusikiliza wanafiki na wazandiki!!
Rais hawezi kusikiliza wenye nia ya kumkwamisha.
Viongozi wa Chadema kwa sasa wanatapatapa wamekosa pa kushika, kona zote zimedhibitiwa na Jemedari Mkuu, Amiri Jeshi Mkuu.