Washauri wa Rais Samia ni akina nani?

Viongozi wa Chadema na wafuasi walimtizama kwa makengeza!!
kisha wakajidanganya!!

Wakaona mteremko huu tusiuachie ukapita!! walidhani huu sasa ndio muda wa kufanya yao!!

Nawashauri Chadema na wafuasi rudini palepale mlipobkuwa mara baada ya uchaguzi mkuu 2020, kamwe msithubutu kujaribu kuendelea kupima kina cha maji kwa miguu!!

Sisi wananchi wazalendo wa Tanzania ndio washauri wakuu wa Rais wetu.

Rais anasikiliza wananchi wenye nia ya dhati ya kulijenga Taifa sio wahuni wenye uchu wa madaraka na vyeo!!

Rais hawezi kusikiliza ushauri wa vibaraka!!

Rais hawezi kusikiliza wanafiki na wazandiki!!

Rais hawezi kusikiliza wenye nia ya kumkwamisha.

Viongozi wa Chadema kwa sasa wanatapatapa wamekosa pa kushika, kona zote zimedhibitiwa na Jemedari Mkuu, Amiri Jeshi Mkuu.
 
Washauri wake ni akina nani?
Hatujui hasa, ila inaweza kuwa ni Mwigulu, Mpango, Zungu, J. Ndugai na wengine wote wanaoonekana kuwa na uzoefu wa kudeal na wananchi moja kwa moja kumzidi yeye
 
Wewe si ndio ulisema wanawake wa CHADEMA wanaolalamika kunyimwa ped mahabusu watumie makaratasi?

Kama unafurahia matendo haya, hapa unahoji nini?

Acheni kuwa wanafiki!

Endeleeni kumpa kichwa huyo Mama ataona matokeo yake.
Nitag kwenye huo uzi nisome
 
Chadema wanatakiwa kuwa very reconciliatory,,,character assassination dhidi ya amiri jeshi mkuu haitawasaidia,,
 
Nafikri mwanzoni alibadilisha sana watu ikulu na aliteua wasaidizi na washauri kila idara kuna siasa , uchumi na n,k

nafikiri tukitafuta press release za mwanzo kabisa anaingia basi utaona majina yao na nafasi zao
 
Chadema wanatakiwa kuwa very reconciliatory,,,character assassination dhidi ya amiri jeshi mkuu haitawasaidia,,
hiyo akili Chadema hawana,
Chadema kwa sasa wanategemea kichwa cha Lema kutoka Canada!!!
Lema anakishauri chama kutokea Canada!

walikuwa wanategemea huruma za wahisani lkn mama kaupiga mwingi!!
 

Washauri ni pamoja na mawaziri na wakuu wa vyombo vingine sasa ww angalia jambo lina shida wap mana yake kiongozi mwenye dhamana hio sehem ndio mshauri na mpendeezi wa jambo fulani.
 
Ukifatilia hotuba yake nafikiri akiaapisha mawaziri akasema kuwa yeye hana kipawa kama kile alichokuwanacho hayati kwamba akifika sehemu anauwezo wa kujua hapa tumepigwa au lah lakini yeye ni mtu wa graph tu zimepanda zimeshuka basi.

Maanaake ni nini? Yeye analetewa tu hataki kuhangaisha ubongo wake kuwaza nje ya boksi.
 
Mabeo na siro ndo wanaendesha bus mama kakalia siti ya dereva mfano wa dereva.
 
Duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…