Tafadhali ondoa ukabila.Wasukuma wawili toka kolomije na chato hawafuati katiba ya Nchi ndiyo maana Daud Bashite ana nguvu kulilko makamu wa Rais na waziri mkuu
Jonarilsts wa huko mtoni wanajielewa sana aisee.Mwandishi pia anadai kuwa Maghufuli ameweza kufanya matendo mengi maovu kwa kuwatumia wasaidizi wake bila ya wao kuhusishwa na uhalifu huo...Mfano kumtumia Makonda kufanya mambo machafu nje ya yale ya kiofisi! Na kwamba huwa anajiweka mbali na matendo yao ya kikatili, lakini kumbe yeye ndo yuko nyuma yao! Nimemnukuu hapo chini...
The Washington Post
Pascal Mayalla
Huu wa kwako ndio utumwa wenye wa kiakili.Wacha kuweweseka, sisi kama taifa tutaendelea kuwaamini USA maana bila wao hatuwezi kuishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini huyo sio msukuma na hilo liko wazi kabisa.Tafadhali ondoa ukabila.
Kama Magufuli na Makonda hawafuati katiba, kinachowafanya wasifuate katiba si Usukuma, ni akili zao.
Tuna wasukuma wengi tu waliotumikia taifa hili kwa uadilifu.
Watu kama Jaji Francis Nyalali, Mzee Paulo "Kishamapanda" Bomani, David Kidaha Makwaia, na wengine wengi sana.
Tunapokosoa mambo, tujikite kwenye hoja. Ukianza kuleta habari za ukabila, unajiondoa kwenye hoja na kujikita kwenye viroja.
Kuna wasukuma wengine wengi tu hatupendi anavyofanya Magufuli. Na tunamsema kwamba anavyofanya si sawa na mafunzo na utamaduni wa Wasukuma. Kwa mfano, Wasukuma hatujafundishwa kupiga wanawake. Magufuli anasema atapiga wapinzani wake mpaka Shangazi zao. Sasa utaona hapo, anasema hivyo kwa utashi wake tu, si kwa Usukuma.
Ondoa mawazo ya ukabila. Ukabila ni sumu itakayokutafuna na kukumaliza mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu wa kwako ndio utumwa wenye wa kiakili.
Marehemu Mengi akitumia maneno “ulemavu wa fikra”.
Nyani sisi ni CCM hatusemani hivyo hahahMagufuli and Makonda are Tweedledee and Tweedledum.
Hakuna maelezo yoyote yale yenye kuingia akilini kwa nini mpaka sasa Makonda hajatumbuliwa ilhali kuna wengine wengi tu ambao wametumbuliwa kiajabuajabu.
That is a logical proposition, not a statement.
If loop.
If this, then that.
Sent using Jamii Forums mobile app
Food for thought.Yes it is a loop expression, but there must be a way of getting out of the loop.
if....:
then....;
else...:
Wee boya tu mchaga wa chadema. Hakuna wa kukiondoa chama cha mapinduzi hata mfanye nini. Rais ni magufuli tu tena na chama ni ccm. Fisadi na wanyonyaji mumebanwa mbavu kinoma watamzania sio wajinga. Kwanza hawashtuki na washtong post kuandika chochote dhidi ya magufuli. Nyie nendeni tu mkasemewe na mashoga wa ulaya na amerika mkidhani watanzania watatetereka.Wanajamvi, hiki kipengele hapo chini, kimo kwenye hii makala ya Washington post inayosema “Democracy Dies in Darkness” ya mwaka 2018
“Makonda and Magufuli are too closely linked for the president to escape responsibility.“-The Washington Post.
Katika makala hiyo ambayo link nimeiweka, mwandishi huyo Rachael Mclellan, amechambuwa vilivyo. Pia wanasema issues ya ushoga CCM wanaitumia kama njama za kisiasa.
Matendo yote mabaya mfano kupotea kwa Ben Saanane, Azory Gwanda, kushambuliwa kwa Lissu nk vyote vimeorodheshwa humo. Hata CCM kununua Wapinzani, ubambikiaji wa kesi kwa upinzani na wafanyabiashara vimetajwa.
Nimeona makala hii ni intersting zaidi baada ya ban aliyopigwa Makonda kuingia US
Kwa vyovyote vile, kumtarget Makonda ni kama vile ujumbe kwa Maghufuli(kwa wale waliokuwa wakijiuliza). Kwa maoni yangu, uchaguzi ujao utakuwa wenye changamoto kubwa sana kwa Taifa letu. Na wafadhili sasa wameshaanza kuona kuwa ccm siyo chama kizuri. Someni wenyewe...
Source: https://www.washingtonpost.com/news...g-schoolgirls-and-killing-opposition-leaders/
Magufuli anatumia Iphone inayotengenezwa na hao unao waita mabeberu, siku wakitaka kupenya watapenya kwa kupitia iphone ya jiwe.Mabeberu Wajanja Sana Ila Sasa Hivi Tanzania Tupo Salama
Hakuna Nafasi Ya Wao Wenyewe Kupenya. [emoji1][emoji28]
Hiyo “k” yako kweli ina mbwembwe dada kmbwembwe 🤦🏾♂️Wee boya tu mchaga wa chadema. Hakuna wa kukiondoa chama cha mapinduzi hata mfanye nini. Rais ni magufuli tu tena na chama ni ccm. Fisadi na wanyonyaji mumebanwa mbavu kinoma watamzania sio wajinga. Kwanza hawashtuki na washtong post kuandika chochote dhidi ya magufuli. Nyie nendeni tu mkasemewe na mashoga wa ulaya na amerika mkidhani watanzania watatetereka.
Bado wenzetu hawatumii mauwaji, utekaji wala ukandamizaji wa demokrasia kwenye siasa. Tafadhali linganisha chungwa kwa chungwa.Wa
Wanajadili ya JPM wakati ya kwao yamewashinda. Si wapambambane na trumpet wao.
Nashangaa kuna watu eti wanafurahia kwasababu EU wametoa msaada wao, wakidhani kuwa ni dalili kwamba wako safi tu. Hapo watakuwa wameshindwa kuwafahamu vyema hao wanaowaita mabeberu.Usiwaamini sana wamarekani. Ni hivi hivi walivyojenga hoja mpaka wakamfanyia unyama Ghaddaffi halafu baadae Obama akaomba radhi kinafiki.
Umeongea vyema mkuu.Huyu alifaa sana nafasi ya Uwaziri Mkuu lakini basi tena mimi nimehamia CHADEMA napiga kazi usiku na mchana na ningependa sana Wapinzani tukishinda kihalali tuunde Serikali ya mseto