Washington Post: Hakuna namna Rais Magufuli anaweza kujitenga na uwajibikaji kutokana na matendo ya Makonda

Ikiwa ni link ya 2018 inaondoa uhalisia wa kilichoandikwa au kilichoandikwa kinakuwa kime-expire?
 

Vya uongo achana navyo, tuangalie hivyo vya kweli.
 
duhhh
 
😃😃paragraph ya mwisho
 
Ndio maana kila mtu ana macho yake.
P
Nadhani uliwahi kupitwa na baadhi ya matukio. Kuna wasichana wajawazito, kwenye baadhi ya maeneo, wamewahi kuwekwa ndani kwa kile kilichoelezwa kuwa hawakutoa ushirikiano katika kuwapata waliowapa ujauzito. Hao ni wale ambao walulishindwa kuwataja wahusika au waliwataja lakini wahusika hawakujulikana wapo wapi, huku mamlaka zikiamini kuwa labda wasichana hao wanafahamu mahali waliko.

Kilichoandikwa hapo, hakuna hata moja ambalo siyo la kweli.
 
Pascal Mayalla yeye yuko kwenye mission kama hujui. Nadhani ni wazi it’s more than Kabendera and The Economist.
 
😃😃😃wanaweza wakamtumia ofisa uhamiaji huko huko USA...kisha wakadai kadi ya kuzaliwa tz....ccm hawajawahi kuwa timamu
Hahah! Umenikumbushia issue ya EPA humu.
 
Umenifurahisha sana. Unalalamika sana kuhusu mwaka taarifa hii ilipotolewa na umejikita kwenye hilo. Lakini husemi chochote kuhusu ukweli uliopo katika taarifa yenyewe!
Amejitia upofu. Tena ni mbaya zaidi kwasababu siyo ya mwaka huu, kwasababu kama wanafuatilia kwa namna hii, ni wazi toka makala hii imeandikwa, kuna mengi zaidi yametokea na watakuwa wanayafahamu.
 
Safi Sana waendelee kumuanika yy anazani kajificha sanaaa
 

Jiwe alijifungia hapa na kudhani haonekani, Mungu mkubwa wa mbali nao waseme manake sie tayari tuko hoi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…