Washington Post: Hakuna namna Rais Magufuli anaweza kujitenga na uwajibikaji kutokana na matendo ya Makonda

Mwandishi anadai kuna madhambi mengi sana yanatokea nje ya Dar lakini hayaripotiwi na vyombo vya habari.
Ok umesema weee. Unanukuu mwandishi anasema anasema, wewe unasemaje? Matendo gani mabayya yanayofanyika? Au ni yale yale ya kuwinda mashoga.
 
Mwandishi anadai kuna madhambi mengi sana yanatokea nje ya Dar lakini hayaripotiwi na vyombo vya habari.

Mkuu Asante sana kwa tafsiri ya Lugha ,kwa kifupi umenisaidia kuelewa baadhi ya yaliyo andikwa humo.
 
Paskali, kuna kuongozi wetu mmoja aliwahi kunukuliwa akisema wazazi wa watoto wa kike wataopata mimba wakiwa shule wakamatwe! Hapa unaelewa nini?

Hata hivyo haiondoi umadhubuti wa hoja yako kuwa kuna mambo yameongezewa chumvi lkn kwa kuwa mwandishi anadai amefanya utafiti, tumpe benefit of doubt.

Vv

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ilivyo, wakiona maji yanataka kuzidi unga watamtoa huyo Makonda kafara kama akina Moi walivyomtoa kafara Hezekiah Oyugi (Rip) baada ya kufaulisha njama za kumuua Dr. Robert Ouko nchini Kenya mwaka 1990.

Makonda aangalie sana Magufuli akiona pressure inazidi atamgeuza Sacrificial Lamb lkn kwa wale watakaokuwa wamebaki kama mashuhuda watakuwa wamepata darasa itakayowasaidia kwa siku zijazo.
 
Hawa jamaa wana taarifa nyingi sana. Na hili la Makonda ni kama tu kumbeep jiwe. Ila huwa hawakurupuki hawa wakishaanza mambo yao ni kuwa makini sana. Huwa wana calculations za hali ya juu. Wakisema kitu ujuwe kazi imeanza.

Wanasubiria waropoke wakione cha moto si wanajua wanapenda kuropoka wataweka documentary nje na simu walivyokua wanipigiana


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa wako very tactical.. Wanaenda hatua kwa hatua...

Jr[emoji769]
Ni kweli kabisa! Hapa wanamsikilizia jiwe maamuzi yake kwasababu wanadhani kuwa yeye ndiye yuko nyuma ya Makonda. Kuna mambo kama matatu hivi...
#1. Kumtumbua Makonda, kutaonekana ni mwelekeo mzuri. Lakini kwa rais wetu kuna “issues with ego”, maana alishawahi kusema kuwa hapangiwi, na ukimpangia unaharibu. Na pia kumtumbua, itaonekana kama siyo tu kuwa ame surrender kwa mabeberu, bali pia itaonekana kuwa aliwadharau wananchi wengi wanaotaka atumbuliwe.

#2. Akiacha kumtumbua, itaonekana pia ni kiburi na itahalalisha hoja yao kuwa yuko nyuma ya Makonda kwenye maovu yote anayotuhumiwa nayo. Lakini pia kuna risk ya “escalation”, kwa maana kwamba ya hatua zaidi kufuatia dhidi yetu nk.

📝: Kuna risks zinazoambatana na hatua yoyote itakayochukuliwa na rais, mfano...

I) Hata akimtumbua, kuna uwezekano mkubwa akaanza kuchukuliwa hatua ikiwemo kufunguliwa mashtaka endapo hakutakuwepo na maridhiano yoyote. Kwasababu hatakuwa tena na kinga kama alizonazo kwa sasa kutokana na cheo chake cha ukuu wa mkoa.

ii) Napia asipomtumbuwa, wananchi wengi watazidi kujiuliza kuhusu huu ushusiano walio nao wawili hawa. Na kama ulivyosema, hawa ni watu wa “tactics”, kwa maana kwamba wanafahamu ugumu wa mkuu kumtumbua Makonda, wanaufahamu ukaribu wao wa hali ya juu! Hata kwenye makala hii wamesema hilo. Lakini pia asipomtumbua, wananchi watazidi kuwa na tetesi nyingi. Maana kuna wale wanaohusisha mahusiano yao na nguvu za giza. Hao watapata hoja zaidi.

Lakini baya zaidi, ni kuweka maslahi ya Taifa rehani kwasababu ya mahusiano binafsi.
 
Tena ina mwaka na upukupuku, tena wanajiona wasafi, huku Democrats wanadai Russia wamehusika katika uchaguzi wao, bado kuna swala la vitisho kwa Ukraine na viongozi wa FBI na wengineo, kweli nyani haoni kundule...
Nini kimekutokea mkuu?😀tujuzane mkuu.
 
Ole Sabaya, Ally Hapi watch out!
Hao tayari wako kwenye list maana wametajwa, sema majina hayajatajwa kama ilivyo kwa Makonda. Ila wanafahamika na pengine wanafutiliwa matendo yao. Dunia ya sasa si kama ya zamani.
 
Sasa kama Taifa tufanye nn kuuzima kabla moto haujakolea??

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ni swali zuri sana. Rais itabidi asikilize vilio vya wananchi kuhusu tume huru ya uchaguzi, kuhakikisha uchaguzi mkuu ujao unakuwa huru na wa haki. Kuhakikisha unakuwa uchaguzi wa amani na bila kutumia vyombo vya dola. Uhuru wa kisiasa, maandamano, mikusanyiko nk bila upendeleo kwa chama tawala nk nk.
 


Uki click author utaona mwandishi ameishi na kufanya kazi Tanzania.

Hiyo nakala imetokana na Phd Dissertation aliyofanya kuhusu uchaguzi katika nchi zisizo na demokrasia or something like that akitumia Tanzania kama case study.

Kwakuwa nakala imetokana na dissertation you can argue kuna chumvi (zenye chembe za ukweli) all in all ni bias yenye lengo la ku justify his premise. Mfano unreported crimes za wakuu wa mikoa/wilaya nje ya Dar from the media, kuuwawa kwa viongozi wa upinzani (can she give specific examples).

Isitoshe much of the research is based on qualitative data therefore the quality of the sources could be questioned.

Anyway tayari alishashinda tuzo kwa sababu ya hizo porojo zake zenye nusu ukweli; hila si vibaya serikari ikarudisha mashambulizi kwa kumzuia huyu mzungu kuingia Tanzania that is proportionate to their sanction.
 
Umeona mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari kama hizi ndizo wanazitumia wanapofanya maamuzi.

Kuhusu ushahidi wa viongozi waliouwawa mbona upo? Au umeshasahau?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…