Washington Post: Hakuna namna Rais Magufuli anaweza kujitenga na uwajibikaji kutokana na matendo ya Makonda

Ok umesema weee. Unanukuu mwandishi anasema anasema, wewe unasemaje? Matendo gani mabayya yanayofanyika? Au ni yale yale ya kuwinda mashoga.
Kwani wewe unasemaje?
 
Habari kama hizi ndizo wanazitumia wanapofanya maamuzi.

Kuhusu ushahidi wa viongozi waliouwawa mbona upo? Au umeshasahau?
That I can’t deny to their perspective her work falls into credible source. Na ndio maana hiyo dissertation imempatia tuzo ya kisiasa.

But the credibility of research design is still questionable, if you are on the government side and want to challenge her work you’d want to know the quality of (qualitative and quantitative sample data) used to make the conclusion.
 
Tena balaa kubwa, katuharibia Jumapili yetu, kwa bad news, wahusika ni hakuna kulala, unaingia huku na kule, hata maombezi this time na kulia madhabahuni, yamegoma!.
P
Utaambiwa utangulie kituo chochote Cha polisi wewe na ukifika umwambie utakayemkuta kwamba makonda amesema nije hapa! Ya dodoma hayakukutosha?
 
Tena kwasababu ni research iliyokubaliwa ndo maana ikapata nafasi kwenye gazeti la The Washington Post. Mkuu hili ni gazeti linaloheshimika vibaya mno. Hata ma senators na wawakilishi huwa wanatumia makala zao kama reference wanapojenga hoja zao ndani ya bunge.

Kingine cha muhimu, ni mwitikio wa wananchi. Je wewe kama mwananchi, haya unayoyasikia ni ya uongo? Mengi aliyoyaandika yanafahamika ama yamekuwa yakizungumzwa sana mitandaoni.

Serikali inapata shida kuwajibu wamarekani kwasababu walikwishawadharau wananchi walipokuwa wakihoji.
 
Mkuu Kilatha , umesahau Alphonce Mawazo? Pia wengine waliuwawa kwa mashoka kule Arusha etc
 
Usually I condemn what I think is morally wrong or things of undemocratic nature, air my opinion on devisive matters (depending on my values, doesn’t mean I’m always on the right side but that’s what I believe) and praise government acts on merit.

And any government will provoke thoughts from all of the above scenario.

Juzi tu ilikuwa wiki ya sheria Tanzania (mwaka mpya kwao) na moja ya jambo walilokuwa wanakumbushana ndani ya serikari ni swala la medical negligence; kwa ivyo hilo kosa linatambulika kisheria but how many lawyers do you know seize on that opportunity. Na unadhani hilo tatizo litaisha if lawyers don’t take on cases kuwakumbusha medical proffesionals they are watching them.

Similarly kwenye undemocratic issues za siasa the government is getting away easily kwa sababu wanasheria haven’t exploited that avenue enough that is my view point.
 
Huyu mpumbavu anatuletea habari ya mwaka 2018??! jinga kabisa, angalia hiyo link ya mwaka gani
We boya kwani Ben Saanane mmemuua mwaka huu? Jibu hizo hoja, ni kweli ama wamewasingizia? Una mdhalilisha Baba wa Taifa, puumbavu.
 
inadaiwa yaani?

hauna uhakika na hili mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe ndiye Israel mtoa roho na ndiyo sababu anawadharau hata makamu wa rais na waziri mkuu kwakua na yeye yumo kwenye top three ya uongozi wa nchi.
Mkuu, huyo ndiye "MaliyaMungu" wa Tanzania. Ni mtu hatari sana huyo kijana.
 
Huyu Zitto,mtahangaika sana
 
Nature ya Wananchi ipi Mkuu wakati suala la wizi wa kura lipo wazi? Mkivimbiwa kodi zetu muwe na adabu kidogo aisee.
 
Afadhali umekiri hilo la ukweli kuhusu MAUAJI kama akina Saa Nane, Azory Gwanda na wengineo. Naona tunakwenda pamoja sasa.
 
Mungu alibariki gazeti la The Washington Post
Na lilaaniwe lile la kufungia vitumbua la Tanzanite
 
Ningependa kujua mwandishi wa makala hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…