GreenLight
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 300
- 542
Mkuu life haipo sawa kwa wote. Kitambo naunga wana kama ww hivyo wananipita na disco 3 ma prado lakini sikati tamaa najitafuta kila mtu na wakati wake bwanaahsante chief, tatizo ni rika yangu kabisa .
tumesoma primary na o level pamoja . tumecheza ndondo pamoja
Sometime lazima mtu ajichanganye nao kibishi ili apate akili mpya kiutafutaji. Madon wanazijua njia lazima tuishi naoUsipende kwenda sehemu unayojua utakuna na waliokuzidi mafanikio utajiuwa bure
duuh , sahihi chiefMkuu life haipo sawa kwa wote. Kitambo naunga wana kama ww hivyo wananipita na disco 3 ma prado lakini sikati tamaa najitafuta kila mtu na wakati wake bwana
Ndio life. Kikubwa tusikate tamaaduuh , sahihi chief
nimejishusha, nimesambaza Cv kwao nasubiria updatesJishushe wafuate wana uingie ktk cycle utatoboa trust me wakikufungia vioo mshukuru Mungu pita ivi utatoboa pia
Wenye mafanikio hasa vijana wanapenda sifa sana hivvyo nikuwakimbia tu [emoji3][emoji3]sahihi chief, nilihis kukejeliwa
kwa vile ninanuka shida
nimejishusha, nimesambaza Cv kwao nasubiria updates
Nje ya nyeto bro una akili !!!kwakuwa una smatifoni wewe siyo fukara
fanya nilichokuambia hapo, juu utaona kwamba una utajiri nambari moja duniani
Kwann uriludi maskan bro ?mkuu not such easy to sustain under abject poverty condition.
kula yangu ni MUNGU saidia, milo yangu ni miwili nayo kwa mbinde.
Amen mdogo wangu.Demi you're so smart.
Ha haa kwa kweli mimi nimeshaacha kutegemea kuombewa. Naomba kivyangu inatosha.Mchungaji yeye anaombewa na nani!?? .... Ajiombee tu amkumbuke Mungu wake kila wakati inamtosha.... Akikosa mchungaji hatoombewa Daima!?? Siku hizi nao chenga tu .... Naona hata Roma napo huku kwetu kamtindo kanaanza kuota mizizi kaku"jali" wanaotoa sana sadaka na majitoleo mbalimbali michango kibao sadaka mpaka nne Misa Moja , mara mtaa wa askofu , mara ujenzi wa Jimbo kuu mara Nini yaani kidogo sadaka .... Misa zinakuwa kama harambee .....
Ahsante kwa kututia moyo!Polee sana kaka endelea kupambania maisha yako ipo siku utatoboa kama mmiliki wa kfc alitoboa akiwa na miaka 70 wewe nani ushindwe
Kumbe, fanya kazi yoyote hata kubeba zege na uzitumie hela kwa utaratibu wa kujiandaa na biashara yoyote ya mtaji mdogo inayolipa maeneo uliopo. Usichague kazi.mm ni mwalimu kwa taaaluma.
sina ajira
"Hakika ibada ilifaana sana, mchungaji aliwaita wazazi wa wale washikaji pale madhabahuni na kutamka kwamba hakika mumezaa chema sana na MUNGU amebariki uzao wenu."
"Mungu why najitafuta lakini sijipati? Dunia hii ni ya wachache? Wazazi wangu wataishi katika umasikini huu wa kutisha hadi lini?"
By Objective footballwakati narudi nyumbani na mama yangu kwa mguu, nikawa napitwa na wana wakiwa kwenye tinted za Black athlete crown, Ford ranger, Subaru nk, wakati mimi naendelea kupita kando ya barabara kukwepa tope la mvua hizi.
Mpaka hapo ni DK ya 85. Nikupambana TU37 mkuu