Washkaji wamejipata mimi niko vilevile

sahihi chief
 
Kuna mshkaji amejipata sanaaa,nikimwomba ani assist kidogo anasema hamna shida but hakuna utekelezaji.Ila kila siku ni kunisimulia nimenunua hiki,kile n.k. tena kwa gharama kubwaaa.

Na mimi naomba msaada kidogo tu.Hamna shida na mimi napambana ipo siku yangu.
 
wana wana nunua vitu kwa bei chafu. huku washkji ambao maisha yametuegemea awatupi hta Abc za kutokea.

zaidi zaidi,anakumbushia stori za mademu zetu wa zamani
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kama una Afya endelea kupambana ila Kwa kuwa uko weak emotianally ni vyema ukawa mbali na hao Jamaa na kwenu pia ikibidi usiende hata huko kanisani maana utakuja kujitundika Bure kisa ujinga wa kujilinganisha na kujikataa.

Mwisho kama kweli mchungaji wenu aliyasema hayo maneno Sina neno jingine zaidi ya kumwita mpumbavu.
 
ufukara ni fedheha, hauvumiliki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…