Wasichana kuwaburuza kaka zao ktk 10 bora za matokeo ya NECTA ni uwezo wao, wanawezeshwa kijinsia au wavulana wamepunguza bidii

PCB zamani ilikuwa kazi sana kuongoza, PCM ndiyo ilikuwa rahisi sasa ni tofauti.
 
Orodha hiiya matokeo ya leo kuna wavulana watatu pekee

𝐖𝐚𝐧𝐚𝐟𝐮𝐧𝐳𝐢 𝟏𝟎 𝐛𝐨𝐫𝐚 𝐤𝐢𝐭𝐚𝐢𝐟𝐚 𝟐𝟎𝟐𝟐 𝐤𝐢𝐝𝐚𝐭𝐨 𝐜𝐡𝐚 𝐬𝐢𝐭𝐚

1. Catherine Alphonse Mwakasege (PCB) – St. Mary’s Mazinde Juu Tanga.

2. Lucy Magashi (PCB) Shule ya St. Mary’s Mazinde Juu Tanga.

3. Mhewa Charles Kamando (PCB) – Tabora Boys

4. Minaeli Simon Mgonja (PCB) St. Mary’s Mazinde Juu Tanga.

5. Norah Eliaza Kidijoiti (PCB) – Shule ya St. Mary’s Mazinde Juu Tanga.

6. Jennifer Martin Chuwa (PCB) St. Mary’s Mazinde Juu Tanga

7. Paulina Aldephonce Mabamba (PCM) St. Mary’s Mazinde Juu Tanga.

8. Rachel Joachim Moshi (PCM) St. Mary’s Mazinde Juu Tanga

9. Kurwa Mbizo Elias (PCB) Tabora Boys

10. Oscar Eliakimu Marabe (PCB) Tabora boys
Naona PCB wameipatia kweli. Hongera sana kwao
 
Hata wakati ule Geita na Chato zilitoa wanafunzi bora na shule bora

Kila zama na kitabu chake, japo wanaharibu maisha ya wengi, tunakuwa na wasomi wa kufaulu tu
 
Enzi za JIWE mbona walikuwa hatambi?
 
nilizoea miaka ya nyuma wanaoongoza ni Hgk,hgl ila sasaivi Pcb,Pcm wanatusua balaa mpaka naogopa baada ya miaka 15 mbele hawa madocta watatutibu vizuri kweli
Hakuna kitu hapo, bongo elimu imeingiliwa sana na siasa. Watumishi asilimia kubwa ni watu wenye ufaulu wa wastani.
 
Hata hivyo mkuu, PCB kila somo linajitegemea, tofauti na PCM ambapo Maths ipo pia kwenye physics.enzi zile PCB miaka ya 90 ilikiwa kazi kupata divion 1 point 3
Wazee elimu siku hz inarahisishwa sana zaman mtu aliyekua anapata one alkua yuko competent kila idara.. ckuhz mtoto anapata one uwezo still mdogo..
Serikali itoe siasa kwenye elimu tunazalisha wataalam wa ovyo miaka ijayo
 
Orodha hiiya matokeo ya leo kuna wavulana watatu pekee

𝐖𝐚𝐧𝐚𝐟𝐮𝐧𝐳𝐢 𝟏𝟎 𝐛𝐨𝐫𝐚 𝐤𝐢𝐭𝐚𝐢𝐟𝐚 𝟐𝟎𝟐𝟐 𝐤𝐢𝐝𝐚𝐭𝐨 𝐜𝐡𝐚 𝐬𝐢𝐭𝐚

1. Catherine Alphonse Mwakasege (PCB) – St. Mary’s Mazinde Juu Tanga.

2. Lucy Magashi (PCB) Shule ya St. Mary’s Mazinde Juu Tanga.

3. Mhewa Charles Kamando (PCB) – Tabora Boys

4. Minaeli Simon Mgonja (PCB) St. Mary’s Mazinde Juu Tanga.

5. Norah Eliaza Kidijoiti (PCB) – Shule ya St. Mary’s Mazinde Juu Tanga.

6. Jennifer Martin Chuwa (PCB) St. Mary’s Mazinde Juu Tanga

7. Paulina Aldephonce Mabamba (PCM) St. Mary’s Mazinde Juu Tanga.

8. Rachel Joachim Moshi (PCM) St. Mary’s Mazinde Juu Tanga

9. Kurwa Mbizo Elias (PCB) Tabora Boys

10. Oscar Eliakimu Marabe (PCB) Tabora boys
Kiserikali zaidi... Darasa la PCB Tabora Boys safari hii lilikuwa la moto sana duh. Salute
 
Hata wakati ule Geita na Chato zilitoa wanafunzi bora na shule bora

Kila zama na kitabu chake, japo wanaharibu maisha ya wengi, tunakuwa na wasomi wa kufaulu tu
Kuna point naiona hapa ambayo inaukweli kabisa yani wanaleta siasa kwenye taaluma ikitokea rais katoka mtwara basi best school na best students watatoka mtwara haya zamisheni taifa tutazama wote mnaleta siasa kwenye taaluma yani what a coincidence rais alipokuwa magufuli chato ikangara yani mmeshindwa tu kumtoa mzanzibari kwasababu kelele zingekuwa nyingi ila nyie hamshindwi hamna aibu mmeona mama mumpendelee angalau jinsia yake baada ya kuona uzanzibari wake utaleta kwere!
 
Back
Top Bottom