Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
PCB zamani ilikuwa kazi sana kuongoza, PCM ndiyo ilikuwa rahisi sasa ni tofauti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PCB zamani ilikuwa kazi sana kuongoza, PCM ndiyo ilikuwa rahisi sasa ni tofauti.
Hata hivyo mkuu, PCB kila somo linajitegemea, tofauti na PCM ambapo Maths ipo pia kwenye physics.enzi zile PCB miaka ya 90 ilikiwa kazi kupata divion 1 point 3Practical ya biology ilikuwa nyepesi sana mwaka huu
Naona PCB wameipatia kweli. Hongera sana kwaoOrodha hiiya matokeo ya leo kuna wavulana watatu pekee
𝐖𝐚𝐧𝐚𝐟𝐮𝐧𝐳𝐢 𝟏𝟎 𝐛𝐨𝐫𝐚 𝐤𝐢𝐭𝐚𝐢𝐟𝐚 𝟐𝟎𝟐𝟐 𝐤𝐢𝐝𝐚𝐭𝐨 𝐜𝐡𝐚 𝐬𝐢𝐭𝐚
1. Catherine Alphonse Mwakasege (PCB) – St. Mary’s Mazinde Juu Tanga.
2. Lucy Magashi (PCB) Shule ya St. Mary’s Mazinde Juu Tanga.
3. Mhewa Charles Kamando (PCB) – Tabora Boys
4. Minaeli Simon Mgonja (PCB) St. Mary’s Mazinde Juu Tanga.
5. Norah Eliaza Kidijoiti (PCB) – Shule ya St. Mary’s Mazinde Juu Tanga.
6. Jennifer Martin Chuwa (PCB) St. Mary’s Mazinde Juu Tanga
7. Paulina Aldephonce Mabamba (PCM) St. Mary’s Mazinde Juu Tanga.
8. Rachel Joachim Moshi (PCM) St. Mary’s Mazinde Juu Tanga
9. Kurwa Mbizo Elias (PCB) Tabora Boys
10. Oscar Eliakimu Marabe (PCB) Tabora boys
Enzi za JIWE mbona walikuwa hatambi?Orodha hiiya matokeo ya leo kuna wavulana watatu pekee
𝐖𝐚𝐧𝐚𝐟𝐮𝐧𝐳𝐢 𝟏𝟎 𝐛𝐨𝐫𝐚 𝐤𝐢𝐭𝐚𝐢𝐟𝐚 𝟐𝟎𝟐𝟐 𝐤𝐢𝐝𝐚𝐭𝐨 𝐜𝐡𝐚 𝐬𝐢𝐭𝐚
1. Catherine Alphonse Mwakasege (PCB) – St. Mary’s Mazinde Juu Tanga.
2. Lucy Magashi (PCB) Shule ya St. Mary’s Mazinde Juu Tanga.
3. Mhewa Charles Kamando (PCB) – Tabora Boys
4. Minaeli Simon Mgonja (PCB) St. Mary’s Mazinde Juu Tanga.
5. Norah Eliaza Kidijoiti (PCB) – Shule ya St. Mary’s Mazinde Juu Tanga.
6. Jennifer Martin Chuwa (PCB) St. Mary’s Mazinde Juu Tanga
7. Paulina Aldephonce Mabamba (PCM) St. Mary’s Mazinde Juu Tanga.
8. Rachel Joachim Moshi (PCM) St. Mary’s Mazinde Juu Tanga
9. Kurwa Mbizo Elias (PCB) Tabora Boys
10. Oscar Eliakimu Marabe (PCB) Tabora boys
Hakuna kitu hapo, bongo elimu imeingiliwa sana na siasa. Watumishi asilimia kubwa ni watu wenye ufaulu wa wastani.nilizoea miaka ya nyuma wanaoongoza ni Hgk,hgl ila sasaivi Pcb,Pcm wanatusua balaa mpaka naogopa baada ya miaka 15 mbele hawa madocta watatutibu vizuri kweli
Wengi hawatakuelewa.Hata wakati ule Geita na Chato zilitoa wanafunzi bora na shule bora
Kila zama na kitabu chake, japo wanaharibu maisha ya wengi, tunakuwa na wasomi wa kufaulu tu
Ishu ni kwamba saiv kuna wimbi kubwa la wanafunzi bora kukimbilia PCB wengi wakiamin ndo kombi yenye fursa which is viceversaPCB zamani ilikuwa kazi sana kuongoza, PCM ndiyo ilikuwa rahisi sasa ni tofauti.
Wametisha kwa kweli^St. Mary’s Mazinde Juu Tanga^
Wazee elimu siku hz inarahisishwa sana zaman mtu aliyekua anapata one alkua yuko competent kila idara.. ckuhz mtoto anapata one uwezo still mdogo..Hata hivyo mkuu, PCB kila somo linajitegemea, tofauti na PCM ambapo Maths ipo pia kwenye physics.enzi zile PCB miaka ya 90 ilikiwa kazi kupata divion 1 point 3
Watoto gani unaowazungumzia? Isijekuwa unawaongelea hao ^magrajueti^ wa shule za kata.ckuhz mtoto anapata one uwezo still mdogo..
kina muddy mmeshaanza kulalamikaAfu wote wakrsto
dah waislamu tunaonewa sana tunabaniwa
mkuu mbona unajijibu,acha michezo ya ID mbili unaumbuka.nilijua tu watu kama nyinyi hamkosenai
acha udini wewe
Kiserikali zaidi... Darasa la PCB Tabora Boys safari hii lilikuwa la moto sana duh. SaluteOrodha hiiya matokeo ya leo kuna wavulana watatu pekee
𝐖𝐚𝐧𝐚𝐟𝐮𝐧𝐳𝐢 𝟏𝟎 𝐛𝐨𝐫𝐚 𝐤𝐢𝐭𝐚𝐢𝐟𝐚 𝟐𝟎𝟐𝟐 𝐤𝐢𝐝𝐚𝐭𝐨 𝐜𝐡𝐚 𝐬𝐢𝐭𝐚
1. Catherine Alphonse Mwakasege (PCB) – St. Mary’s Mazinde Juu Tanga.
2. Lucy Magashi (PCB) Shule ya St. Mary’s Mazinde Juu Tanga.
3. Mhewa Charles Kamando (PCB) – Tabora Boys
4. Minaeli Simon Mgonja (PCB) St. Mary’s Mazinde Juu Tanga.
5. Norah Eliaza Kidijoiti (PCB) – Shule ya St. Mary’s Mazinde Juu Tanga.
6. Jennifer Martin Chuwa (PCB) St. Mary’s Mazinde Juu Tanga
7. Paulina Aldephonce Mabamba (PCM) St. Mary’s Mazinde Juu Tanga.
8. Rachel Joachim Moshi (PCM) St. Mary’s Mazinde Juu Tanga
9. Kurwa Mbizo Elias (PCB) Tabora Boys
10. Oscar Eliakimu Marabe (PCB) Tabora boys
Kuna point naiona hapa ambayo inaukweli kabisa yani wanaleta siasa kwenye taaluma ikitokea rais katoka mtwara basi best school na best students watatoka mtwara haya zamisheni taifa tutazama wote mnaleta siasa kwenye taaluma yani what a coincidence rais alipokuwa magufuli chato ikangara yani mmeshindwa tu kumtoa mzanzibari kwasababu kelele zingekuwa nyingi ila nyie hamshindwi hamna aibu mmeona mama mumpendelee angalau jinsia yake baada ya kuona uzanzibari wake utaleta kwere!Hata wakati ule Geita na Chato zilitoa wanafunzi bora na shule bora
Kila zama na kitabu chake, japo wanaharibu maisha ya wengi, tunakuwa na wasomi wa kufaulu tu