Wasichana na Kizazi hiki wamekuwa hatari sana

Wamejiwekea hadi madaraja wanataja dau......huu ni upunguani mkubwa kwa mtoto wa kike, mtoto wa kike unajifanya kama bidhaa inayouzwa sokoni! sitaki kutaja makabila lakini mjiangalie sana kama mnatunza hadhi ya mtoto wa kike ambaye anategemewa kuwa mama wa familia na taifa kiujumla.
 
Maisha yanaendesha watu ovyo, hata baadhi ya wanaume nao wanaolewa na vikongwe.
"Kila mtu atasimama mbele ya kiti cha ukumu na kujibia madhambi yake"
 
[emoji28][emoji28][emoji23]mkuu hii sio kweli ukubwa wake hautegemei kudanga ni maumbile Tu vipi kuhusu walozaa watoto wengi?
Kuna wanawake wakizaa baada ya muda papuchi inarudi kwenye quality yake..kuna hormonal modification inatokea.

Ikiongezeka kisa ya mikuyange,aisee inakuwa hamna taste kabisa..
 
Ndo maana wanawake wengi hawawi submissive kwa waume zao, yaani utii zero........unaongea mwanamke anajibu, unaongea tena anajibu tena kwa sauti ya juu, wameshakuwa na waume wengi saaaaaana hawaoni tena maajabu kwa mwanaume. Yaani wanaume wa kizazi hiki tujihurumie kwa kweli, maana probability ya kuangukia kwenye kuoa dangaji ipo juu sana, zaidi ya asilimia tisini...
 
Zile kauli za bwanae tusichoshane πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Wa uswahilini utasikia na kusoma SMS "my" "my" "my".....

CHEAPEST and DESPERATE.....🀣
 
Aaaamin.....

Kuwa nao karibu zaidi ya mama yao.....hata wakiwa na umri wa kupevuka.....

Tafiti bubu inasema....watoto wa kike walio karibu na baba zao...mfano kwenda mipirani ..kudiscuss nao...kucheza nao games tofauti huwafanya wawazoee wanaume(hata kwa kuwaona tu ) na kutokuwa MATEKA WA HILA ZAO....hilo hupelekea kujiamini kuliko kukubwa na kuongezeka UFAHAMU WA KUYATAWALA MAZINGIRA yao zaidi ya kutawaliwa na MAZINGIRA ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…