Wasichana na wanawake tafuteni waume siyo wafanyakazi

Zanzibar2014 take it easy dada yangu japo una kiu ya ndoa hutakiwi kuionyesha sana ,utapata wazushi watakuumiza ukaona bora ulivyokuwa single zamani.
 
Kusema la ukweli ulizemi mujibiwe. Sio sawa kabisa kunijaji au kunitukana pia.
Acheni kujaji watu na kutukana watu, ulizeni mtajibiwa. Sio tabia njema hiyo kabisa.
Mimi sitaki kijana pia, vile vile acheni kutukana na kuhukumu sio sawa kabisa.

Nani ana muda wa kukuongelea wewe.
Hili bandiko liko general halijamlenga mtu.
Madhumuni ya thread hii ni kutaka kujua kwa nini mnatafuta mtu mwenye kazi na si mwanaume au mume.

Kumbuka kazi inaweza kupotea au kufika mwsho kwa hyo na mapenzi yenu yataishia hapo?.
 
Nimekusikia Sawa
 
Halafu kitu kimoja nimekuwa najibu thread sio zangu, nimeomba radhi kwa sababu hapa ni mgeni kama zilikuwa hazinihusu mimi.
 
Mkataba gani ??
Kwa nini uliachana na mumeo??
Je mlifunga ndoa za mikataba mfano miaka mitano mitano

Je unampango wa kuja bongoland??

Naomba nijibu maswali yangu then tuendelee

Samahan lkn nakufanyia screening hapa
Inaonesha wewe ni wife material



Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…