Zanzibar2014
JF-Expert Member
- Nov 13, 2022
- 743
- 591
Wapo kwa nini na kama suala kwa nini sitafuti huku, sikutano nao ni miji tofauti pia niko bizi na kazi sio mtu wa kutoka saana.Hapo London diospora wakiume wapo au hawapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo kwa nini na kama suala kwa nini sitafuti huku, sikutano nao ni miji tofauti pia niko bizi na kazi sio mtu wa kutoka saana.Hapo London diospora wakiume wapo au hawapo
Sio kweli mimi nina kazi yanguWanatafuta PESA sio Mapenzi,
Oh yeah, okay wewe ni vizuri kwa upande wako ila wengine hawapo hivyo katika 10 utatoka wewe tu 9 wote majangaSio kweli mimi nina kazi yangu
🙏🙏Muhuni aliyezeeka anakuwa "experienced muhuni"[emoji3][emoji3][emoji3]
See the attached below
View attachment 2417628
Kwa kweliOh yeah, okay wewe ni vizuri kwa upande wako ila wengine hawapo hivyo katika 10 utatoka wewe tu 9 wote majanga
Chukua likizo Rudi bongo kilimo kimenitinga ningekuja mwenyewe Nile ugali ipasavyo nandoa juu utarudi LondonSio sawa kabisa, yote ni majaaliwa ya M/Mungu.
Kwa hiyo unacheka wanaume walio kuwa hana uzazi. Hivyo sio sawa wewe sio MunguChukua likizo Rudi bongo kilimo kimenitinga ningekuja mwenyewe Nile ugali ipasavyo nandoa juu utarudi London
Kunamahusiano gani wewe kuja Tz na mwanaume kutokua na uwezo kurutubisha yaoKwa hiyo unacheka wanaume walio kuwa hana uzazi. Hivyo sio sawa wewe sio Mungu
Mimi sina tatizo la uzazi, sijafahamu suala lako.Kunamahusiano gani wewe kuja Tz na mwanaume kutokua na uwezo kurutubisha yao
Kusema la ukweli ulizemi mujibiwe. Sio sawa kabisa kunijaji au kunitukana pia.
Acheni kujaji watu na kutukana watu, ulizeni mtajibiwa. Sio tabia njema hiyo kabisa.
Mimi sitaki kijana pia, vile vile acheni kutukana na kuhukumu sio sawa kabisa.
Ukifikisha miaka 50 utanikuta pale nimekaa Inshaa Allaah... Nafasi zitakuwa zimejaa.Na kama umesoma vizuri profile yangu, sitaki kuwa mke wa 2 wala 12
Nimekusikia SawaNani ana muda wa kukuongelea wewe.
Hili bandiko liko general halijamlenga mtu.
Madhumuni ya thread hii ni kutaka kujua kwa nini mnatafuta mtu mwenye kazi na si mwanaume au mume.
Kumbuka kazi inaweza kupotea au kufika mwsho kwa hyo na mapenzi yenu yataishia hapo?.
Halafu kitu kimoja nimekuwa najibu thread sio zangu, nimeomba radhi kwa sababu hapa ni mgeni kama zilikuwa hazinihusu mimi.Nimekusikia Sawa
Halafu kitu kimoja nimekuwa najibu thread sio zangu, nimeomba radhi kwa sababu hapa ni mgeni kama zilikuwa hazinihusu mimi.Nani ana muda wa kukuongelea wewe.
Hili bandiko liko general halijamlenga mtu.
Madhumuni ya thread hii ni kutaka kujua kwa nini mnatafuta mtu mwenye kazi na si mwanaume au mume.
Kumbuka kazi inaweza kupotea au kufika mwsho kwa hyo na mapenzi yenu yataishia hapo?.
🙏🙏Ukifikisha miaka 50 utanikuta pale nimekaa Inshaa Allaah... Nafasi zitakuwa zimejaa.
Mimi sina kiu. Na nawafahamu vizuri mnoooZanzibar2014 take it easy dada yangu japo una kiu ya ndoa hutakiwi kuionyesha sana ,utapata wazushi watakuumiza ukaona bora ulivyokuwa single zamani.
Ndoa ya mkataba dada??Mimi niliolewa kwa miaka 5. Talaka huku unapewa serikalini tayari ninayo.
Mkataba gani ??
Kwa nini uliachana na mumeo??Mkataba gani ??