Wasichana na wanawake tafuteni waume siyo wafanyakazi

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Kama hawataki ugumu wa maisha,wanaogopa kuteseke wanatakiwa kuongeza bidii katika kufanya kazi ili maisha yawe rahisi
Ukimpata Ke mfanyakazi/mfanyabiashara wa kukujuza pesa zake huwa zinaenda wapi mara tu akiwa ktk ndoa na mumewe niite chap nikupe zawadi nono nimekaa pale...[emoji3]
 
Kumbe nawe huwa unaandika hoja kiurefu namna hii [emoji848][emoji1]

Ndiyo mara yangu ya kwanza kushuhudia sms yako ndefu tangu 2017 niingie JF kwa nguvu kuubwa ya kuhamasishwa na rafiki yangu mmoja kuwa JF ni mtandao wenye maadili tofauti na Facebook, Instagram, Badoo, Telegram, Twitter n.k ambayo pia niliapa kutoitumia kamwe maishani.
 
Wazazi nao utawasikia ".......utuletee mtu wa maana.......",huyo mtu wa maana hawamaanishi mtu mwenye tabia nzuri, mcha Mungu bali wana maanisha mtu mwenye hela.
 
Samahani kama sikukuelewa vizuri, nisamehe.
Nakushauri ufute comments zote ulizo changia kwenye thread hii kisha kaa kimya. Najuwa maoni ya mleta mada na wachangiaji wengi ni kama yamekugusa na kukukera.
Kwa vile umejitambulisha ID yako kuliko inavvyotakiwa mitandaoni basi usiwape faida watu wasiojua kama umeleta tangazo lenye vigezo kama vilivyokosolewa.
Naamini utapata mwenza wa hitaji lako kwa wakati sahihi na mtu sahihi.

Haya ni maoni yake tu anaweza kuwa siyo sahihi. Unaweza usiweke vigezo hivyo na ukakosa mume. Unaweza kutaja vigezo hivyo na ukapata mume.
 
Nakushauri kuweni wastarabu na acheni kuonea watu.
 
Aaaah, Prishaz wangu unaendeleaje jamani......
Upendo ukurudie mara dufu na zaidi......
Sasa nimeisoma vizuri na kukuelewa, ahsante saana kwa ushauri wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…