Wasichana na wanawake tafuteni waume siyo wafanyakazi

Yuko mwngine jana nlichapa saundi....ila nkaona anaelekea sema sasa tulikuwa tunachat tu na yuko active kureply....akaanza na maswali yake ya kichoko"unafanya kazi gani",?nlijifanya sijaona.hyo msg nkaskip na kujibu nyingine tu cz sipend kabxa kuulizwa hayo maswali.:.ila nliona anakazia tu kwmba kwa nini sitaki kumwambia kazi nnayofanya......nliamua kumdanganya tu kuwa nasukuma tu toroli hapo stand na kujipatia chochote kitu....cha ajabu alianza nambia kwa nini nafanya kazi za hivyo?mara ananambia sifananii kufanya kazi kusukuma toroli na baada ya hapo akawa hajibu tena msg...nikajua tu wanaweka wengi wa ss hivi wanapenda mwanaume ambaye tayar anajiweza...nlimshangaa sanaa cz hata maisha yake ni.ya kuunga na anaish kwa dada yake ila anadharau kazi wanazofanya wanaaume na kuwaingizia kipato.....ki ujumla tu wanawake wa ss iv ni rahic kujua hili dish ni zuku au continental cz wana expose ujinga wao mapena sanaa hata kabla haujaingia nao kweny mahusiano
 
Hao ndo mademu wa kileo, ukimwambia tu we ni machinga ujue utakwama na zoezi la mahusiano linaishia hapo hata kama lengo ni kupewa mbunye hutapewa 😂😂😂!

Ila we sema ni manager masoko wa sigara au serengeti breweries. Utaona jinsi anavyozidisha bashasha juu yako.
 
Tumeshawasoma ....ni mwendo wa kufunua tu na kufunika kwa hawa wenye akili za kushikizwaa...yaan mtu anakuuliza unafanya kazi.gani wkt yy nI housegirl mtaa wa pili...na ukimwambia kazi yako anaanza idharau as if yey anafanyia UN
 
Upo sahihi mkuu. Mwanaume akiwa jobless atateseka sana ndani ya nyumba. Ila teso kubwa ni ile kuanza zamu ya kuosha vyombo,kudeki,kupika,etc ni bora tu mwanaume abaki kubeba na na sio kubebwa
Tukiwa jobless mnatubeba sababu tunachakalika ndani ya nyumba. Mkuu utafurahi mkeo awe na ajira halafu wewe uwe baba wa nyumbani na kufanya zile kazi zote za ndani?
 
Wanawake wa ckuiz Wana vigezo vya ajabu Sana kwa wanaume wanaotaka wawaoe.

Utasikia limwanamke likisema Mimi nataka mwanaume tall,black, handsome & rich.Eti kwa vigezo hivi ukikosa tu kimoja Basi imekula kwako.

Ndio maana wengi wao bado wanaishi kwao na wazazi wait eti kisa hawajapata mwanaume anayekidhi vigezo vyao.Unakuta dada wa watu Ana miaka 26+ na bado anaishi kwao.

Ladies,learn not to be too much " selective"
 
Sasa mwanaume asiye na chanzo Cha mapato atamudu vipi majukumu ya kifamilia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…