Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Na kama ukibatizwa ikoje hiyo?Na kama atasilimu, ukoje Sheihk ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kama ukibatizwa ikoje hiyo?Na kama atasilimu, ukoje Sheihk ??
Kwa kweli sijui mimi nimemuuliza yule Sheihk ??Na kama ukibatizwa ikoje hiyo?
Basi nitakuambia.Utakuwa safi kabisa.Umeondolewa dhambi ya asili.Utakuwa clean, clean!Kwa kweli sijui mimi nimemuuliza yule Sheihk ??
Sawa ahsante saaana kwa kunijuzaBasi nitakuambia.Utakuwa safi kabisa.Umeondolewa dhambi ya asili.Utakuwa clean, clean!
nimeliongelea kwa upana kwamba ukiwa na kazi bongo wanawake ni wengi watakaokuzonga wakitamani uwaoe ila ukiwa huna hali ni tofauti.Mimi sitafuti wanawake sasa nitawakimbia nini ??
Hao ndo mademu wa kileo, ukimwambia tu we ni machinga ujue utakwama na zoezi la mahusiano linaishia hapo hata kama lengo ni kupewa mbunye hutapewa 😂😂😂!Yuko mwngine jana nlichapa saundi....ila nkaona anaelekea sema sasa tulikuwa tunachat tu na yuko active kureply....akaanza na maswali yake ya kichoko"unafanya kazi gani",?nlijifanya sijaona.hyo msg nkaskip na kujibu nyingine tu cz sipend kabxa kuulizwa hayo maswali.:.ila nliona anakazia tu kwmba kwa nini sitaki kumwambia kazi nnayofanya......nliamua kumdanganya tu kuwa nasukuma tu toroli hapo stand na kujipatia chochote kitu....cha ajabu alianza nambia kwa nini nafanya kazi za hivyo?mara ananambia sifananii kufanya kazi kusukuma toroli na baada ya hapo akawa hajibu tena msg...nikajua tu wanaweka wengi wa ss hivi wanapenda mwanaume ambaye tayar anajiweza...nlimshangaa sanaa cz hata maisha yake ni.ya kuunga na anaish kwa dada yake ila anadharau kazi wanazofanya wanaaume na kuwaingizia kipato.....ki ujumla tu wanawake wa ss iv ni rahic kujua hili dish ni zuku au continental cz wana expose ujinga wao mapena sanaa hata kabla haujaingia nao kweny mahusiano
We unataka mumeo awe na kazi tu, hata kama hakupendi we hujali ila awe na kazi tu au sio?Sio kweli kabisa, yote ni maisha
Tumeshawasoma ....ni mwendo wa kufunua tu na kufunika kwa hawa wenye akili za kushikizwaa...yaan mtu anakuuliza unafanya kazi.gani wkt yy nI housegirl mtaa wa pili...na ukimwambia kazi yako anaanza idharau as if yey anafanyia UNHao ndo mademu wa kileo, ukimwambia tu we ni machinga ujue utakwama na zoezi la mahusiano linaishia hapo hata kama lengo ni kupewa mbunye hutapewa 😂😂😂!
Ila we sema ni manager masoko wa sigara au serengeti breweries. Utaona jinsi anavyozidisha bashasha juu yako.
Tukiwa jobless mnatubeba sababu tunachakalika ndani ya nyumba. Mkuu utafurahi mkeo awe na ajira halafu wewe uwe baba wa nyumbani na kufanya zile kazi zote za ndani?kusaidiana mwaliongea humu tu ila wengi wenu mmejiwekea kuwa mwanaume lazma akuhudumie while unacho offer ni mbunye tu. Yani as long as unampa mbunye yeye ndio akufanyie kila kitu, alipe kodi, akufungulie biashara, akupe pocket money, akukojoze, akutoe outing n.k. wakati huo wewe ni jobless.
Ila ikitokea kinyume wewe ndio una kazi kuyafanya hayo kwa umpendaye huwezi. Yet mnazungumzia kusaidiana kupi huko? Nyie mkiwa jobless tunawabeba ila sisi tukiwa jobless utaskia siwezi kulea mwanaume 😂😂😂
hauna haraka?, muda unakimbiaSina haraka
Nimeupokea with smile,niko poa Sana nilifurahi kukuona. Mie hapa napita kwa mwendo kasi kidogo....Be well MalcomAaaah, Prishaz wangu unaendeleaje jamani......
Upendo ukurudie mara dufu na zaidi......
Nini faida ya kuchelewa kuzaa?Sitaki mume asiye zalisha.
Aliyekuoa alishakupa talaka? Na mlidumu kwa muda gani?Niliolewa sina tatizo kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umfundishe wewe kureply
Mimi niliolewa kwa miaka 5. Talaka huku unapewa serikalini tayari ninayo.Aliyekuoa alishakupa talaka? Na mlidumu kwa muda gani?
Hilo ni neno, ndio nikasema asiwe mvivu, atapata tu kazi. Kazi ni kazi muhimu ni ya halali.Sasa mwanaume asiye na chanzo Cha mapato atamudu vipi majukumu ya kifamilia?