Wasichana wengi mitandaoni njaa, ukimcheki tu anakulilia shida

Si bora huyo 15000
Mimi niligundua mwanaume wa mtandaoni ukitaka umkatae kijanja mpe jiwe
huwa sikukatai ila ukisogea tu naanza na iphone [emoji23]
Wengi huishia matusi tu....mie roho yangu burudanii
Akufukuzae hakwambii toka! JIongeze dogo
Hakuna habari ya mtandaoni wala nini. Njaa ni kali sana kwa wanawake walio wengi. Kwa ujumla hii ni aibu kubwa sana
 
mamaee mpaka wnyooke[emoji35] [emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasichana ni wadogo zetu tuwapende tuwathamini na tuwalinde

Mtoa mada huna Dada?

Kama unae jua nae anaomba hivyo hivyo !

Hawa watu ni wenzetu wengi ni wavivu wa kutafta hela so kama unakuwa nayo MPE tu usimnyime

Najua wengi hawana mapenzi ya dhati ila nadhani wanaume kama wew mtoa mada ndo mnafanya wasiwe na mapenzi ya dhati

Ukimpa hela siyo lazima akupe papuchi !wew MPE tyu zijae pochi hio papuchi ataitoa mwenyew bila hata kuomba

Ila kama una hela za mawazo ndo pale unapoombwa na kujibu bado mapema ukiogopa kuliwa na usipate kitu

Najua wavulana wengi vihela vyetu ni vya kuunga unga hasa kama huna kazi yakueleweka ila Acheni ubahili toeni hela tupate heshima Kwa warembo wetu kwani hawa ndo pumziko LA nafsi zetu

NAWAPENDA WANAWAKE WOTE POPOTE MLIPO AGIZENI NITALIPA KWA BLUETOOTH

acha uongo
 
Nina mashaka na mtazamo(ushauri) wako kama unaweza kuwa positive kwa vijana,I thik ni destructive rather than constructive.
 
Nina mashaka na mtazamo(ushauri) wako kama unaweza kuwa positive kwa vijana,I thik ni destructive rather than constructive.
we nae hujaelewa tu kama ni promo at work..... lol

me nae nitasutwa sasa [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Si bora huyo 15000
Mimi niligundua mwanaume wa mtandaoni ukitaka umkatae kijanja mpe jiwe
huwa sikukatai ila ukisogea tu naanza na iphone [emoji23]
Wengi huishia matusi tu....mie roho yangu burudanii
Akufukuzae hakwambii toka! JIongeze dogo
[emoji28] [emoji28] [emoji28] nimekumiss dogo, nichek watsap no yako sijui imekuaje siioni
 
we nae hujaelewa tu kama ni promo at work..... lol

me nae nitasutwa sasa [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Jiandae mdogo wangu. [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…