Wasichana wengi mitandaoni njaa, ukimcheki tu anakulilia shida

Nitakufa na shiida zangu lakinii sii kumlilia shida mwanaume wa mtandaoni... Wengi wana dharau halafu huwa wanadhani kila mwanamke aloko mtandaoni ni mhuni sijui, huwa nashindwaga kuelewa....
Shikamoo dada
 
Leo sijui kala maharagevya wapi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] witnessj ni miongoni mwa wadada wanaojitambua lkn hapo kachemka
Hamna mkuu...unajua hebu mwenyewe nambie! Vitu vingine sio kuteteana kisa wanaume bana..

Hivi elfu 15 ya kuja kulia lia huku jukwaani!??[emoji15] [emoji15] like serious?

Cc. Husna the bosslady

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitakufa na shiida zangu lakinii sii kumlilia shida mwanaume wa mtandaoni... Wengi wana dharau halafu huwa wanadhani kila mwanamke aloko mtandaoni ni mhuni sijui, huwa nashindwaga kuelewa....
Sijawahi ona Mahusiano ya mtandaoni yakawa serious!

Mi naonaga michorano tuu

Akuchoreee weeee badae aje akutangaze humu.....mfyuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi ona Mahusiano ya mtandaoni yakawa serious!

Mi naonaga michorano tuu

Akuchoreee weeee badae aje akutangaze humu.....mfyuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni kwa nini wanakosa uvumilivu kiasi hicho...

Tutataniana humu ila sio kuleta userious kabisaa... Unaweza iona dunia chungu sababu ya mtu mmoja.... Halafu ukichunguza kwa makini wote wako hivyo hivyo
 
Kaka na wewe uwe unawapa tu.
Kuwapa sio tatizo, but bila papuchi kweli[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Kuna wimbo wa taarab unaitwa "nipe nikupe", muimbaji Othman Soud, au ule wa Prezzo na Ay, ukizisikiliza hizo nyimbo raha sana.

nafight with my weather[emoji23][emoji23]
 
Ila kaka ake si unaanza kwanza kutoa hayo mengine baadae au unaogopa mizinga ambayo mwisho wake unaweza kuambulia patupu.

Mzima lakini?
 
una mpenzi??? kama huna naomba nije pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…