Wasichana wengi mitandaoni njaa, ukimcheki tu anakulilia shida

Na ni kweeeli my dear.... Kila siku najifunza jipya humu
 
Oyoooooo!!! hizo ndio zenyewe!!!
 
Wanapungua kwa kasi sana mnabaki wavulana tu
He he he niombe radhi, 'wanabaki' sio 'mna'! Am past that, as a man sio ungoje kuombwa, you figure it out and try your best kumpendezesha your woman!!
 
Si bora huyo 15000
Mimi niligundua mwanaume wa mtandaoni ukitaka umkatae kijanja mpe jiwe
huwa sikukatai ila ukisogea tu naanza na iphone [emoji23]
Wengi huishia matusi tu....mie roho yangu burudanii
Akufukuzae hakwambii toka! JIongeze dogo
Twende kwenye kundi letu la whatsapp tukapige story...
 
Mimi nilishazoea hiyo hali...huwa napiga kimya.
 
Na ukafikiri atakuwa chotara kweli wakati unakuta ni Juma Mabaga wa Magomen katengeneza hiyo profile na kujidai mdada ili awalie wajinga wajinga pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…