PostGE2025 Wasifu (CV) wa Naibu Waziri wa Elimu, Wanu Hafidh Ameir sijauelewa kabisa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mdau mkubwa wa Elimu mbalimbali na hapa na pale
 
Haitasaidia hta hao 67 milioni wote wangekuwa ni wasomi mkuu tena kwa ngazi ya professors, ni bure! Si tulishakubaliana humu kuwa ukiwa CCM ni marufuku kutumia akili kwahiyo waache wafanye wanavyoona wao inafaa yoyote atakaewekwa ni sawa tu
 
Wanataka kutuletea elimu ya Madrassa, wametuletea askari wao wakatuua na sasa wanataka kuharibu nchi yetu, wanatuletea wapumbavu wasio na akili. Wizara ya fedha amemweka mtu wake ili aendelee kuiba kama anavyofanya sasa.
 
Mtu anamaliza O-level 2000 inatakiwa Advance aingie 2001 form five then form six amalize 2003 maana advance ni two years, sasa inakuwaje yeye alimaliza advance 2002?
 
Wazenji wote elimu zao za kuunga unga kama Hangaya. Yule AG nae kasoma sheria Ukraine. Waziri wa fedha mzenji nae utasikia ana diploma ya uchumi toka Burundi huko.
Wanasomaga ng'ambo wenyewe
 
Kaunga unga kielimu hadi kafika
 
Advanced diploma mzumbe,post graduate diploma Manchester university, masters open university
Hakuna kitu hapo. Eti masters open university! Ukiona mtu amesoma Certificate kwanza, au Open University; basi tambua fika mtu huyo ni KILAZA! Na pia ana elimu ya kuunga unga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…