Wasikilizaji wa Radio Imani: Ole wake atakayewalisha watoto wetu mchele wa msaada wenye virutubisho

mambo ya vyakula tz tuna vyakula vya asili ambavyo vimejaa virutubisho kibao , na vimetukuza vizuri tu
Kwanini hivyo vyakula havipelekwi mashuleni mnawaacha watoto wanashinda njaa na kudumaa kwa utapiamlo? Acha unafiq mkuu.
 
Je chakula hicho kinawafikia walengwa wote?
 
Hicho chakula chako cha Marekani kinatosha kwa shule zote nchini Tanzania au kwa majiji tu?Je kipindi ambacho hicho chakula chako hakikuwepo watoto hawakusoma?Zaidi ya yote baada ya kuleta mchele kutoka Marekani division zero zitaisha?
Kitasaidia kwa kiasi fulani kwenye maeneo yaliyobainika kuathirika zaidi na Changamoto hiyo wakati Taifa au Wazazi husika wanajipanga kuona ni kwa namna gani Tatizo/Changamoto ya Utapiamlo uliokithiri kwa watoto mashuleni litashughulikiwa na kuondoshwa kabisa.
Je, unataka watoto waendelee kusoma huku wana njaa? Nadhani wamevumilia sana vya kutosha kusoma kipindi ambapo chakula hakikwepo.
Mchele haujaletwa kama mwarobaini wa kumaliza uwepo wa Division zero.
Je, ww (kama ulipitia huko) ulipata division gani kwa sababu hukuula mchele wa Marekani?
 
Hicho chakula chako cha Marekani kinatosha kwa shule zote nchini Tanzania au kwa majiji tu?Je kipindi ambacho hicho chakula chako hakikuwepo watoto hawakusoma?Zaidi ya yote baada ya kuleta mchele kutoka Marekani division zero zitaisha?
Mkuu hujatulia kabisa; naona unachanganya mada na unakwepa kujibu swali.
Wewe unasema NCHI INA CHAKULA CHA KUTOSHA. Je, UMEWAHI KUWAPELEKEA WANAFUNZI HATA GUNIA MOJA LA MCHELE WAKAPIKIWE?
 
Watu wameshakula sana Tende na nyama ya kondoo ya misaada kutoka nje ya nchi, pia bado wanatafuna sana vidonge vya ARVs.
 
Mkiletewa tende walimu wa madrasa wanawachangamkia wanafunzi wao, tukio la Nzega ni moja kati ya matukio mengi ya aina hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…