Wasimamizi mirathi ya Mengi wabanwa Mahakamani kuhusu matunzo ya watoto wa mjane Jacqueline Ntuyabaliwe

Muhimu hapa ni kuwaombea pande zote mbili wawe wamoja ...hao watoto hawapaswi kuteseka kwa namna yoyote hawana hatia
 
Hata mie naliona hili.
 
Regina na abdiel hawapokei mabilioni Ya shilingi toka bonite kama faida kila mwaka? Wanashindwa je kuwapa hela wadogo zao? rikiboy
 
Hv mban nasikia huyo Regina na kaka ake hawajaoa Wala kuolewa Ni ya kweli hayo
 
Hivi unyanyasaji wa Wajane tutaacha lini sisi Waafrica halafu watu hao hao wanahubiri Upendo na kukatazana Mabaya wakati wanadhulumu Wajane na Mayatima,

Vitabu vinavyopinga Ushoga havijaeleza na dhuluma za Wajane na Yatima au hayo sio ya muhimu kama Ushoga?
 
Hamka usingizini utajikojolea😹😹😹😹😹ulitaka wakaishi na kyln na Baba yao ndio uone kua wanamjali baba Yao ?

Eti .. "Mtamjua jackline ni Nan unadhani mapacha kazaa Kwa bahati mbaya na ni pesa zile ni mkakati mtajua TU kama hamjui".......🤣🤣🤣 Hawa WANAWAKE WA NGUVU FEKI hawaishi vituko...
 
Upendo uko na pande mbili, usitegemee kuupata kama huutoi.. Na kama hupewi si lazima kuutoa.
 
Sasa mkuu kwa umri ule wa Jack unataka asipate kumbatio jipya, halafu ni sheria gani inayomkataza mjane asiishi mahali popote Duniani zaidi ya Nchi yake
 
Hao wasimamizi wa miradhi wanafanya makosa.
Hata marehemu watamuudhi.
 
Kwani jukumu la kulea watoto ni la mama peke yake?
Mali za baba yao zinafanya Nini?
Mnyonge mnyongeni haki Yake mpeni.
Kwa hili la kulea watoto namtetea jackline.
Hao wasimamizi wa miradhi wameshaanz kuwa wabinafsi mwisho watawadhulumu hao watoto
Sijaelewa, ni jukumu la wazazi? Sasa kama mzazi mwenye mchango mkuu kafariki, si mali zake zinatakiwa ziwatunze au? Anyway, K-Lynn kama mzazi, kashindwa kuhudumia wanae?
 
Hyo kesi atashinda sasa kibata yupo kazini atawasaidia.
 
Kwani jukumu la kulea watoto ni la mama peke yake?
Mali za baba yao zinafanya Nini?
Mnyonge mnyongeni haki Yake mpeni.
Kwa hili la kulea watoto namtetea jackline.
Hao wasimamizi wa miradhi wameshaanz kuwa wabinafsi mwisho watawadhulumu hao watoto
Na ndio mimi nimeuliza kitu hicho hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…