Wasimamizi wa mirathi ya Mengi wagoma kuhudumia watoto, waburuzwa mahakamani

Mali walizalisha wazazi wao. Wakakua wakasoma wakarudi nchini kuziendeleza Imara kabisa. Wana uchungu nazo. Hawa siyo Gold Digger Bali ni Gold Miners. Waheshimiwe na pesa zao. Huyo Jack awe na Adabu.
Gold miners vs Gold digger
Hv hawa wanatofauti eeh maana wote naona kama wachimba dhahabu 😃😃😃
 
Peleka ujinga kule

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Duh kazi kweli waende Kayumba, nadhani huenda Jack anataka watoto walipiwe ada ya IST ambayo no tshs 45m per year mwanafunzi
 
Kwani huyo kyasaka - Jackline - mali alizoachiwa personal zimeshaliwa na wajanja wa mujini?
Kama zimeliwa, hata akipewa hazina ya nchi italiwa tu.
Upumbavu ni mzigo.
 
Doooh! Mwanamke mwenzio unamkandamiza hivyo?

Wanawake hawapendani wanaoneana wivu. Ukisoma comment za kumtetea jack ni wanaume ndio wanaomtetea.

Na ukisoma comment za kumponda jack ni wanawake ndio wanamponda na kutaka asipewe mali za mumewe.

Wanawake wanamuita jacky ni mchepuko wa mengi wakati jack alifunga ndoa na marehemu na picha tumeziona za harusi humu
 
Hizo mali ni za watoto hao mapacha wa marehemu.
Mashemeji na wapambe acheni kudhulumu haki za hao watoto wadogo....mtakuja kujutia mbele ya safari kwa kuuchezea na kuukejeli Wosia wa Marehemu Mzee Mengi.
R.I.P
Wewe ndio mahakama, mbona hawazipati basi kama zao. Kuna taratibu na busara ambayo mama yao hana na wasimamizi ndio wanazitumia
 
Aisee nimeamini
 
Una hakika gani kama wosia ulikuwa halisia
 
Una hakika gani kama wosia ulikuwa halisia
kwa sababu hakuna ushahidi ulio thibitisha kuwa hiyo saini inayo daiwa ilifojiwa.....zaidi ya maneno ya kijiweni.
Hakuna wataalamu wa mwandiko aliye thibitisha kuwa huo mwandiko wa saini uliopo kwenye wosia sio wa Mengi.....zaidi ya uzushi wa mashemeji.
nitasimama na Mjane hadi dak ya mwisho.
 
Kwani show room yake haiingizi pesa tena au mbao za kutengenezea samani hazipatikani? Kama imekufa basi biashara nyingi za wanawake ni za mchongo
Mara nyingi sana biashara ya mwanamke utegemea Sana sponsor, mume akishaachwa na hao watu wawili biashara uangukia pua, hata mkeo mpe mtaji kama siyo hulka yake ya biashara na akili ataanguka tu.
 
Huyo dada anashindwaje yeye kuwalea watoto wake...Yeye si amebaki na mikono, miguu, macho na ule uzuri wake aendelee tu kulea watoto vizuri kama alivyokuwepo baba yao, Huo ndio utakuwa upendo otherwise hata kwa baba yao alifuata mali tu..
We nae unaandika km vile umekatwa kichwa .....nawashangaa hta hai waliokupa like watakuwa na matatizo ya akili km wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…