Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,417
- 5,579
Biashara nyingi za wanawake ni za show-off tu 😅😅😅 daily utatakiwa umboost maana mambo hayaendi yani!!!Mara nyingi sana biashara ya mwanamke utegemea Sana sponsor, mume akishaachwa na hao watu wawili biashara uangukia pua, hata mkeo mpe mtaji kama siyo hulka yake ya biashara na akili ataanguka tu.
Wengi wako hivyo, ni show off tu akili hakuna, hapo mtaji umekata usikute mijamaa tayari imeshamwingiza King hana mbele wa nyuma silaha aliyo nayo ni watoto, anataka kutumia watoto kupata pesa na si vinginevyo. Kama ni chakula kulala, shule na shida ndogo ndogo pesa hipo , hila huyo mama anataka kwa sababu zake hivyo anatumia mgongo wa watoto. Na wanawake wengi waume zao wakifa hata kama angeacha mali kiasi gani huwa zinateketea tu, huyu aliachiwa furniture shop kubwa tu mbona analia Lia wakati hiyo furniture shop mtaji wake mkubwa sana. Madume yake ya zamani yameingia mitini maana jack ni.mtu wa matumizi Sana usikute keshateketeza mtaji wote anarudisha majeshi kutumia mgongo wa watoto apate pesa, ni kazi sana.Ndio akili za mwanamke mjinga, kipindi kile anaspend kwenye mahotel luxury Dubei pesa angaitumia kuiwekeza kwenye
real Estate Leo asingebaki analialia,
Wanawake wa bongo fleva na bongo movie wanapenda Sana show of wanazidiwa maarifa, ujanja na Shilole std 7 Igunga primary school?
Sasa mbona hauheshimiwiwacha kumtusi Mrehmu Mzee wetu Mengi (r.i.p), marehemu alikuwa ni mtu makini kuliko wewe na hata ndugu zake wengine, ndio maana aliweza kuuendeleza utajiri wake hadi mwisho wa uhai wake hajawahi kuyumba.
aliishi kwa furaha na amani na huyo mjane, sasa ukidai leo eti ni mdangaji ni sawa na kumtusi na kumdhalalisha marehemu jambo ambalo sio sahihi kabisa.
kinacho takiwa hapa ni Haki ya mjane kwa niaba ya watoto wake ipatikane haraka bila kucheleweshwa na wajanja.
Wosia wa Marehemu lazima uheshimiwe, kamwe usipuuzwe kwa hoja za wenye nia ya kuwadhulumu hao watoto wadogo.
Hahaha afuu kweli aseeWanawake hawapendani wanaoneana wivu. Ukisoma comment za kumtetea jack ni wanaume ndio wanaomtetea.
Na ukisoma comment za kumponda jack ni wanawake ndio wanamponda na kutaka asipewe mali za mumewe.
Wanawake wanamuita jacky ni mchepuko wa mengi wakati jack alifunga ndoa na marehemu na picha tumeziona za harusi humu
Nimekujibu mkuu, huyo dem fala kweli kawatoa watoto Internationsl School Of Tanganyika kawapeleka Dubai kwa Mwanaume wake Mpya na hile familia bado inalipa schoolfees huko dubai anataka audumiwe yeye na mzungu wake , umeona wapi 😀😀😀😀Ooohh kuna mdau humu ngoja aje atupe stori kamili Mimi.
Huyu mwanamke si alishakata rufaa juu ya usimamizi wa mirathi wa hao uliofanywa na Mahakama Kuu? Rufaa haijasikilizwa tena anapandishia kesi nyingine? Ameanza kupoteana mapema sana
Waconvert hela walokuwa wanalipa ist wampeNimekujibu mkuu, huyo dem fala kweli kawatoa watoto Internationsl School Of Tanganyika kawapeleka Dubai kwa Mwanaume wake Mpya na hile familia bado inalipa schoolfees huko dubai anataka audumiwe yeye na mzungu wake , umeona wapi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
ExactlyAnawasumbua tu anaona raha kuwapa kero , kama mwanamke kweli angebaki Tanzania hasingekimbilia Dubai
Anapenda maishs ya anasaAnataka wasome IST,vacation Dubai au Zanzibar kaaah
Tena hao watoto wa mzee mengi Ni wasitatabu Sana huyu mdangaji alitakiwa awe magereza kwa kugushi sahihi ya Mzee mengi.
Sawa ila haki,hela itoke kutokana na hali haliWatoto wana haki yao
Atakuwa anataka hela ndefuWastaarabu kweli kweli , angekua familia za kiswahili wangeshammaliza na kwa kumtupia majini ya kutosha anapewa kila kitu lakini anawasumbua na kuwachafua sana
Kylin anabwia unga ( cocaïne) ndio maana anachizika
Hawajakataa kusomesha pia nafikiri anataka wasome Dubai kwenye shule za kina sheikh Khalifa Sultaani za kifalme za kiboss boss!!hapo ndo anafeli
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Ngoja mahakama iamue. Anachonifurahisha haki yake huwa anakimbilia mahakamani. Hapo nampa big up.
Hata kama alifuata mali , maadamu walifunga ndoa huyo ni mke halali wale watoto nao wana haki na hiyo mali,,
Conclusion yangu watoto wakubwa wa mengi watakua wanatandaza milungula kama hawana akili nzuri,,,
Hii ni open and shut case,,,
Mpaka watu waanze kupelekeana mbinguni kwa ajili ya uroho wa mali ndipo watu wazinduke,
Huyo jack apewe haki yake
Kwa sheria ipi?Anakufurahisha anavyokimbilia mahakamani , anashinda case sasa? Ameenda mahakamani Mara ngapi na zote ameshindwa
Ubaya ni kwamba anapambana na familia ambayo inafahamika ilipotoka na jamii nzima, Leo nikajilengeshe kwa Dangote nizae after a while afariki then nidai Mali zote hakunaga kitu kama hiko
Kwa hiyo huo uzuri wa uislam kwenye mirathi unaangalia nani aliyekabidhiwa?Msimamiz wa mirathi wa kina mengi ni ukoo wa kina mengi. Nimeuliza watoto wa mpakanjia wamezurimiwa na ukoo wa mpakanjia ama wa ukoo wa chifupa ama ukoo wa nani ?
Unawajua au unawasikia?Huyo dada anashindwaje yeye kuwalea watoto wake...Yeye si amebaki na mikono, miguu, macho na ule uzuri wake aendelee tu kulea watoto vizuri kama alivyokuwepo baba yao, Huo ndio utakuwa upendo otherwise hata kwa baba yao alifuata mali tu..
Si ndo hapo?Yeye alipoenda kuzaa na mtu ambae tayari keshachuma mali na watoto wake wakubwa alitegemea nini? Kwanini asingezaa na kijana mwenzake wakaanza wote maisha from zero? Acheni tamaa