Kabisa... ...Watoto wakubwa sio rizki, mzee akaona isiwe tabu manake nisipoangalia kizazi changu kinaishia hapa...bora hata alivyowapata hao twins.
Haki inaanzia hapo. Yani mama na baba yangu wachume mali halafu from no where mchepuko uzae na baba (na ile ndoa yao fake) halafu watoto wa mchepuko wafaidi kama sisi?? Hapo hata kuloga watalogana. Arudishe watoto Tanzania angalau afikiriwe. Huko dubai asomeshe mwenyeweUnachanganya madesa topic ni watoto wapate haki yao
Wasimamizi walio chaguliwa hawamtendei Haki mjane.Watoto hawapati haki kwa mirathi kusimamiwa na mama yao tu. Hata mtu baki anaweza watunzia as long as mahakama imeona si sahihi mama kupewa. Mahakama itaamua.
Si kashitaki? Mahakama itaamua kama hawatunzwi. Hakuna janja janja.Hawatunzwi sasa ndiyo tatizo
We unaweza kwenda kununua sofa ya laki 8 kwa million 8? Tuanzie hapo mkuu😅Kwani show room yake haiingizi pesa tena au mbao za kutengenezea samani hazipatikani? Kama imekufa basi biashara nyingi za wanawake ni za mchongo
Mfumo dume au utapeli Jike. Lolote linawezekana. Janja janja hakuna, mahakama itampa haki yake.Wasimamizi walio chaguliwa hawamtendei Haki mjane.
watoto wa Marehemu ni wadogo hawawezi kutetea wala kudai Haki zao bali Mama yao (Mjane) ndiye anawazungumzia watoto wake ambao wanadhulumiwa Haki zao.
Hapa kuna mfumo dume ambao unamkandamiza Haki za mjane.
Shangaa weweWe unaweza kwenda kununua sofa ya laki 8 kwa million 8? Tuanzie hapo mkuu[emoji28]
Cha mtu hakiliki kirahisiMfumo dume au utapeli Jike. Lolote linawezekana. Janja janja hakuna, mahakama itampa haki yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]Haki inaanzia hapo. Yani mama na baba yangu wachume mali halafu from no where mchepuko uzae na baba (na ile ndoa yao fake) halafu watoto wa mchepuko wafaidi kama sisi?? Hapo hata kuloga watalogana. Arudishe watoto Tanzania angalau afikiriwe. Huko dubai asomeshe mwenyewe
Nasubiri jibu la huyo mpambe wake maana anajitoa akili anajikutaga Ana haki sawa na mercy mengi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
hapo umechemka kaka! kama watoto baba yao aliacha mali hana budi kuhakikisha watoto wanapata yale mahitajo ya msingi kupitia mali za baba yao....hao hawasomi shule za milion 2 kakahuyo dada anashindwaje yeye kuwalea watoto wake...Yeye si amebaki na mikono, miguu, macho na ule uzuri wake aendelee tu kulea watoto vizuri kama alivyokuwepo baba yao, Huo ndio utakuwa upendo otherwise hata kwa baba yao alifuata mali tu..
Basi msilalamike. Kwani mama yao si amepata danga la kizungu wako dubai. Basi apambane na hali yake. Wakati mke wa mengi na mengi wanachuma yeye hakuwepo sasa asubirie tu akipatiwa sawa ...kikiwa cha masharti pia sawa... kisipokuwepo pia sawa. Anakamia mali aliyochuma mwenzake kama yake vile. Halafu kama mali ingechumika kirahisi basi yeye vile alivyoanzisha akiwa na mengi visingekufa kibudu ikiwemo ile show roomHela ipo watasoma popote
Hawajakataa kusomesha pia nafikiri anataka wasome Dubai kwenye shule za kina sheikh Khalifa Sultaani za kifalme za kiboss boss!!hapo ndo anafeliBasi msilalamike. Kwani mama yao si amepata danga la kizungu wako dubai. Basi apambane na hali yake. Wakati mke wa mengi na mengi wanachuma yeye hakuwepo sasa asubirie tu akipatiwa sawa ...kikiwa cha masharti pia sawa... kisipokuwepo pia sawa. Anakamia mali aliyochuma mwenzake kama yake vile. Halafu kama mali ingechumika kirahisi basi yeye vile alivyoanzisha akiwa na mengi visingekufa kibudu ikiwemo ile show room
Haki ya watoto wake watoto wasiiokose ila kuna miwanawake ni mijambazi ipo radhi kuweka hata mtoto kwenye wheel chair akampa na bakuli wazunguke nae mtaani na igizo kuwa hawajala siku mbili ili tu apate pesa.....Cha mtu hakiliki kirahisi
Kama alizaa akijua ameokota gunia la hela basi hana bahati
hapo umechemka kaka! kama watoto baba yao aliacha mali hana budi kuhakikisha watoto wanapata yale mahitajo ya msingi kupitia mali za baba yao....hao hawasomi shule za milion 2 kaka
baba asingeacha mali ingekuaje?... binti inabidi atuonyeshe sasa hakufuata mali kwa kulea na kusomesha watoto mwenyewe maana wamekitana ukubwani...wakikua watapata haki yao tu, wale ni ndugu zao hawawezi kuwatupa.... anatakiwa aionyeshe dunia sasa, anaweza mwenyewe bila mali za marehemu baba yao...
Tamaa ndo zinamponzaHawajakataa kusomesha pia nafikiri anataka wasome Dubai kwenye shule za kina sheikh Khalifa Sultaani za kifalme za kiboss boss!!hapo ndo anafeli
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Huyu kuna mahali wanagongana kwenye maamuzi. Yeye anataka wakasomee dubaiHaki ya watoto wake watoto wasiiokose ila kuna miwanawake ni mijambazi ipo radhi kuweka hata mtoto kwenye wheel chair akampa na bakuli wazunguke nae mtaani na igizo kuwa hawajala siku mbili ili tu apate pesa.....
Sitashangaa kama mahakama ikitupilia mbali madai haya iwapo yana chembechembe za janja janja za utapeli maana mwanamke mwenye kiu ya utapeli hashindwi kutunga tunga igizo.
Ila kama ni kweli basi naamini mahakama itasaidia watoto wapewe haki yao.
Huwa hawaongeiOkey haya tuwasikie upande wa pili
U gold digger wa mama yao ndo unawakostHata hao wanaong'ang'ania mali za Mengi nao ni watoto tu kama hawa watoto wa k lyn