Wasimamizi wa mirathi ya Mengi wagoma kuhudumia watoto, waburuzwa mahakamani

Wanakosoma watoto ni makubaliano na sponsor au uamuzi wa Mama yao
 
Mali na pesa ni shida sana sana duniani. Labda wanaume tuwekeze kwenye elimu za watoto sana. Yawezekana kweli hawahudumiwi. Ila huyu dada alitumia hela vibaya sana kabla mume hajafa. Angewekeza asingekimbilia mahakamani kihivi. Fundisho kwa kina dada.
Ila watoto hawana hatia. Wapewe stahiki zao.
Kuna maswali mengi ya kujiuliza. Je biz za Mengi ziko vizuri kama alipokuwepo hai?
Hii kesi trust us itakwisha watoto hao wakiwa wazee!
 
Demu ana akili za kijiko kweli๐Ÿ˜… yani ni sawa na mtu upewe bahari halafu ufe njaa licha ya samaki na vitoweo vilivyojazana baharini. Ikumbukwe mazingira ya kupata vifaa vya uvuvi alikuwa nayo enzi za mzee.

Ni nani angekataa kukata Bima kwao? Nani angekataa kununua dawa kwenye pharmacy yao kubwa? Nani angekataa kupanga kwenye apartments zao? Nani angekataa kutibiwa kwenye health centre yao? Nani angekataa kusoma kwenye shule yao? Licha ya kifo cha mzee ila hizo investment zingeendelea kuwepo tu ni investment endelevu ile biashara ya fenicha ni sawa na mke wa bhakresa kuomba kufunguliwa kaduka ka Mangi shop.

Utagundua K Lyn ni mwanamke ambaye akili alikuwa hana hata kidogo ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Kumbe ishu ni strategy, mama wawili hakuwa na strategy! Mara kumi angefungua kampuni ya bima tu๐Ÿ˜… angeendelea kumenya tu now
Wadada wa mjini wanataka kufungua biashara ambayo haitamchafua, atakaa ofisini akiwa smart na lipstick, handbag na kiatu cha mchuchumio.

Wakati hata Jeff Bezos wa Amazon alianza kufunga mabox ya kupeleka kwa wateja.
 
Wadada wa mjini wanataka kufungua biashara ambayo haitamchafua, atakaa ofisini akiwa smart na lipstick, handbag na kiatu cha mchuchumio.

Wakati hata Jeff Bezos wa Amazon alianza kufunga mabox ya kupeleka kwa wateja.
Hahahahahah wanataka biashara za kuuzia sura zile. Aonekane kajipost ofisi kali ila kimsingi income generation hamna.

Biashara ilikuwa hamna mle ila sifa tu๐Ÿ˜… na watu walinunua kwa heshima y mzee Mengi tu
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Hela ya sponsa huwa mnaitapanya na mashostito na kuonekana wewe ndio cheerleader ila wanawake hampendani, sidhani kama kwenye misala hii faraja na nancy wanashiriki kumpooza shoga yao!

Ukute wamekaa wanamnanga huko kwenye vilinge na wamemtenga sababu kishaumana๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Ulishawahi ilw biashara ya furniture zake ikiboom...alifumgua kuzugia tu..mzee kapoteza mtaji bure pqle
Biashara ni mikakati mrembo! Usione biashara za watu zinaenda na kukua mpaka watu wananunua ma VX V8 na kujenga majumba na apartments ukadhani ni rahisi๐Ÿ˜…

Biashara lazma uipange kiakili na uiwekee mifumo thabiti ili ijiendeshe. Kinachouma kwa Klyn hilo lilikuwa linawezekana in a blink of an eye tu. Sema akili hana. Maskini tunaua biashara sababu ya njaa ni kali unawekeza 2M matatizo yanakuandama mpaka unaanz kudokoa mtaji biashara inasua sua hadi kufa.
 
Tako pia nasikia Hana! Hasara tupu!
 
Hata hao wanaong'ang'ania mali za Mengi nao ni watoto tu kama hawa watoto wa klyn
Ni watoto na wamekuwa kwenye sehemu ya umiliki kwa miaka mingi! Iweje leo uwanyangโ€™anye kizembe yani? K lynn kakosa adabu wacha nao wamkosee adabu tu.

Mama wa kambo tena yanki kutaka kuwapanda kichwani watoto ambao ni age mates wako ni ukichaa kuliko tafsiri yenyewe. Wangemaliza msiba vyema na kuzungumza kwa busara tu kuwa tunafanyaje jamani. Ya Mungu yametimia wadogo zenu ndio hawa hapa.

Hamna mtu ambaye hana uelewa ukimu approach kwa busara. Ila ukijifanya much know hata mie nakunyoosha๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ