Mahakaka gani inagawa Mali kwa taratibu za msahafuni na sio The law of marriage ActHao ndugu wa Mengi wanazingua. Watoto wa jacky na Mengi ni ndugu zao pia.
Why utata uwe mkubwa hivi.
Hapo ndipo napoipendea dini ya kiislam. Mahakama isingepata shida kugawa mali ingesoma taratibu za kwenye msaafu tu.
Wakasomee Dubai ili iwejeπ watasoma IST hapo hapo Dar! Shule za ada Million 40 kwa mwaka zipo yeye anataka mtoto akasomeshwe kwenye ada za million 300 kwa mwaka? Huyu mjane vipi aisee?Huyu kuna mahali wanagongana kwenye maamuzi. Yeye anataka wakasomee dubai
Mzungu yuko hukoNaskia Dubai naona anataka watoto wasome Hukoo
Unataka kunambia watoto hawaendi shule wako nyumbani kisa ndugu zao hawatoi matumizi?Naona wengi tumeivamia hii mada kwa hisia na mambo binafsi kuliko uhalisia.
Kwanza ni haki kwa watoto wa marehemu Mengi kusomeshwa na mali za marehemu baba yao.
Pili ni haki kwa Jackline Mengi kudai hilo jambo kisheria litekelezwa ipasavyo.
Tatu hatujui upande wa pili (wasimamizi wa mirathi) wana maoni gani katika hili.
Tatizo mjane alipika wosia aisee na anajulikana ni mdangajiπ haki haiwezi kuwa sensitive kwa mdangaji kuliko wanafamilia wenyewe.Hapana hao wasimamizi wanapaswa watenguliwe usimamizi mara moja.
aliye stahili kuwa msimamizi ni mjane wa marehemu akisaidiwa na ndugu mwengine.
Lengo la hao wasimamizi naa ndugu ni kumdhulumu mjane na watoto wake.
wanawake mko wapi? mjane huyu Jaquline ananyanyaswa kiasi hiki wakati ana haki!!
Vyama vya kutetea Haki za wanawake mko wapi? taasisi na NGO mbalimbali mko wapi kinacho fanyika ktk sakata hili ni unyanyasaji wa kijinsia.
mfumo dume unakandamiza haki za mjane.
Unalijua limbwata wewe au unaongea tuWakulaumiwa ni Mengi mwenyewe kwa usomi na exposure aliyokuwa nayo inashangaza sana kwa nini hakuweka vizuri mirathi yake huku akijua ana wake wawili.alikumbuka kutunga kitabu akasahau mirathi.Tuna la kujifunza.
Wala hela hazihitajiki shule za serikali ni bure .Sijaelewa anaposema hawasomeshwi .Awapeleke shule za serikaliHela ipo watasoma popote
Aambiwe apeleke watoto wake shule za serikali huko ndiko watawasomeshaHawajakataa kusomesha pia nafikiri anataka wasome Dubai kwenye shule za kina sheikh Khalifa Sultaani za kifalme za kiboss boss!!hapo ndo anafeli
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Kumbe wanasoma Dubai? Hata mimi ningegoma kuwalipia ada. Haka kademu kanapenda makubwa sana. Nadhani Mengi hakukatongoza, bali kenyewe ndo kalimtongoza ili kajilimbikizie mali.Angewaacha tu shule ya bongo badala ya kuwakimbizia dubai
Hawa wanaotoa hoja kwamba Jack atunze watoto ili kuionyesha dunia hakufuata mali au hawa watoto mali za baba yao haziwahusu kwakua marehemu alichuma na mke mkubwa ni wajinga kiasi hichi au wivu na roho mbaya ndiyo wanavitumia kama halmashauri yao ya ushauri?
Kumbe wanasoma Dubai? Hata mimi ningegoma kuwalipia ada. Haka kademu kanapenda makubwa sana. Nadhani Mengi hakukatongoza, bali kenyewe ndo kalimtongoza ili kajilimbikizie mali.
Hata ule wosia nina mashaka kaliuandika kenyewe....
Kumbe wanasoma Dubai? Hata mimi ningegoma kuwalipia ada. Haka kademu kanapenda makubwa sana. Nadhani Mengi hakukatongoza, bali kenyewe ndo kalimtongoza ili kajilimbikizie mali.
Hata ule wosia nina mashaka kaliuandika kenyewe....
Kama alishindwa kumtumia mzee kujenga himaya yake akisubiria adedi ili arithi mali, basi atakuwa na akili kama za Ndugai....Kapewa kila kitu ila binti anataka pasu kwa pasu.
Ule wosia kenyewe na dada yakeπππ
Nimemzidi Akili na maarifa sababu yeye ni mwanamke aliyebarikiwa uzuri basi aliamua kuumiza sehemu za Siri Ili awe gold diggerUnamzidi nini k k lyn?
kaka unazijua akili za wadada wa bongo fleva na bongo movie lakini?Mtu unaambiwa mpeleke shule ya walau milioni 20 kwa mwaka kutokana na hali ya uchumi kuwa ngumu, wewe unataka wakasome South Africa, jumla ya gharama zote kwa mwaka ni milioni 200 kwa mwaka each, taahira gani aue biashara alizopewa kusimamia kisa anasa za kijinga?
Exactly, watu hawaelewi. Shida ni mtu aliyezaa nae.Kabisa... ...
Watu hawajui tu yaliyopo...
Hana watu pale ... ... ..na hakukosea kuzaa sema TU labda tatizo ni aliyezaa Naye!