Hizo mali ni za watoto hao mapacha wa marehemu.Mfumo dume au utapeli Jike. Lolote linawezekana. Janja janja hakuna, mahakama itampa haki yake.
Haki ya mtu haipotei. Mahakama si ipo? Janja janja No.Hizo mali ni za watoto hao mapacha wa marehemu.
Mashemeji na wapambe acheni kudhulumu haki za hao watoto wadogo....mtakuja kujutia mbele ya safari kwa kuuchezea na kuukejeli Wosia wa Marehemu Mzee Mengi.
R.I.P
wacha kumtusi Mrehmu Mzee wetu Mengi (r.i.p), marehemu alikuwa ni mtu makini kuliko wewe na hata ndugu zake wengine, ndio maana aliweza kuuendeleza utajiri wake hadi mwisho wa uhai wake hajawahi kuyumba.Tatizo mjane alipika wosia aisee na anajulikana ni mdangaji[emoji28] haki haiwezi kuwa sensitive kwa mdangaji kuliko wanafamilia wenyewe.
Shida ni aina ya mtu aliyezaa nae, elewa hivyo!!Aliyezaa nae anakosea kudai haki ya watoto wake?
Kwanza kabisa kwa mujibu wa sheria za mirathi..Mahakama haina jukumu wala uwezo wa kugawa mali za marehemu. Mahakama ina uwezo na mamlaka ya kumchagua msimamizi wa mirathi kwa kumpa mamlaka hayo kwa mujibu wa sheria.Mahakaka gani inagawa Mali kwa taratibu za msahafuni na sio The law of marriage Act
Sheria za mirathi zinaruhusu kupinga wosia wa marehemu kama kuna sababu za msingi..na unaweza kutenguliwa huo wosia kama itathibitika ulikuwa na dosari za kisheria.wacha kumtusi Mrehmu Mzee wetu Mengi (r.i.p), marehemu alikuwa ni mtu makini kuliko wewe na hata ndugu zake wengine, ndio maana aliweza kuuendeleza utajiri wake hadi mwisho wa uhai wake hajawahi kuyumba.
aliishi kwa furaha na amani na huyo mjane, sasa ukidai leo eti ni mdangaji ni sawa na kumtusi na kumdhalalisha marehemu jambo ambalo sio sahihi kabisa.
kinacho takiwa hapa ni Haki ya mjane kwa niaba ya watoto wake ipatikane haraka bila kucheleweshwa na wajanja.
Wosia wa Marehemu lazima uheshimiwe, kamwe usipuuzwe kwa hoja za wenye nia ya kuwadhulumu hao watoto wadogo.
ni sahihi wosia unaweza kweli kupigwa kama kuna hoja za msingi na zenye ushahidi thabiti....hapo wosia unaweza batilishwa lkn ktk mazingira ya Mirthi ya marehemu Mengi wosi wake ulibatilishwa kwa sababu zisizo na mashiko......ulibatilishwa kwa hoja za kudhania na kufikirika!!.....lkn pia kwa msukumo na ushawishi wa ndugu za marehemu....Sheria za mirathi zinaruhusu kupinga wosia wa marehemu kama kuna sababu za msingi..na unaweza kutenguliwa huo wosia kama itathibitika ulikuwa na dosari za kisheria.
Ni kweli wishes za marehemu ni muhimu kuheshimiwa..lakini hizo wishes lazima ziwe ndani ya taratibu za sheria za nchi. Mfano hauwezi kuwanyima warithi wako mirathi bila sababu ya msingi..au sometimes wosia unaweza kuwa forged...je kwa mazingira hayo tuuheshimu hata kama kuna watu wameghushi na kutaka interest zao zipite?
ni sahihi wosia unaweza kweli kupigwa kama kuna hoja za msingi na zenye ushahidi thabiti....hapo wosia unaweza batilishwa lkn ktk mazingira ya Mirthi ya marehemu Mengi wosi wake ulibatilishwa kwa sababu zisizo na mashiko......ulibatilishwa kwa hoja za kudhania na kufikirika!!.....lkn pia kwa msukumo na ushawishi wa ndugu za marehemu....
kama kuna suala la kufoji...lipelekwe kwa wataalamu wabaini kama kweli saini ya marehemu ili fojiwa sio kudhania tu!!!
suala la kuenguliwa watoto wengine ktk wosia huo lipo wazi kabisa, ni kwa sababu tayari Marehemu alisha wapa sehemu yao na kilicho baki sasa walipewa hao watoto wadogo wa mjane.
sasa kilichopo hapo ni tamaaa ya upande mwengine, Wosi hauna matatizo hata kidogo.
Ambapo sikubaliani na wewe na hapo unaposema kuwa hao watoto wa Mengi wakubwa alikuwa ameshawapa sehemu yao na alichobakiza ilikuwa ni kwa watoto wake wadogo..!ni sahihi wosia unaweza kweli kupigwa kama kuna hoja za msingi na zenye ushahidi thabiti....hapo wosia unaweza batilishwa lkn ktk mazingira ya Mirthi ya marehemu Mengi wosi wake ulibatilishwa kwa sababu zisizo na mashiko......ulibatilishwa kwa hoja za kudhania na kufikirika!!.....lkn pia kwa msukumo na ushawishi wa ndugu za marehemu....
kama kuna suala la kufoji...lipelekwe kwa wataalamu wabaini kama kweli saini ya marehemu ili fojiwa sio kudhania tu!!!
suala la kuenguliwa watoto wengine ktk wosia huo lipo wazi kabisa, ni kwa sababu tayari Marehemu alisha wapa sehemu yao na kilicho baki sasa walipewa hao watoto wadogo wa mjane.
sasa kilichopo hapo ni tamaaa ya upande mwengine, Wosi hauna matatizo hata kidogo.
Zile hela alizokuwa ananunua designer handbags, shoes, clothes, sunglasses etc etc angeziweka kwenye call account tu angekuwa mbali...Haki inaanzia hapo. Yani mama na baba yangu wachume mali halafu from no where mchepuko uzae na baba (na ile ndoa yao fake) halafu watoto wa mchepuko wafaidi kama sisi?? Hapo hata kuloga watalogana. Arudishe watoto Tanzania angalau afikiriwe. Huko dubai asomeshe mwenyewe
Kwenye dhuluma akili huwa haipoZile hela alizokuwa ananunua designer handbags, shoes, clothes, sunglasses etc etc angeziweka kwenye call account tu angekuwa mbali...
Halafu badalabya kuhangaika na kampuni ya kuchonga mbao angemshurutisha babu fedha ampe awekeze kwenye real estates saa hii angekuwa anakula kodi tu
Kweli kwenye miti hakuna wajenzi!!!!!!
Ukishaolewa mke wa pili...(haswa kama ndoa yenyewe unajua ya magumashi) ambapo umekuta mali..... unatakiwa ujae kwa akili!!!!
Ukorofi wa mke wa kwanza ndo chanzo cha wengi kutafuta liwazo nje shida kukojoa nje ndo mtihaniHivi mengi aliwaza nini kuzaa uzeeni vile, tulikubaliana kuwa wanaume kuzaa mwisho miaka 5o
Yule mwarabu kamtosa baada ya mission impossibleFunzo kwa wasichana wa siku hizi wakome kudandia Ndoa za watu wenye ukwasi wao.
Huyo Ntuyabaliwe mwenyewe kapuyanga na wengi mno.
Isisahaulike kuwa alikuwa na kashfa ya kuhusishwa na mwarabu aliekuwa master mind wake akusafiri nae sambamba na Marehemu kwa siri.
Ukimuuliza hata historia kamili ya Marehemu haijui zaidi ya kukariri akaunti zake tu.
Mleta topic umeandika kimaslahi binafsi.
Tatizo show off!!!Mtu unaambiwa mpeleke shule ya walau milioni 20 kwa mwaka kutokana na hali ya uchumi kuwa ngumu, wewe unataka wakasome South Africa, jumla ya gharama zote kwa mwaka ni milioni 200 kwa mwaka each, taahira gani aue biashara alizopewa kusimamia kisa anasa za kijinga?
Bongo movie mwenye akili ni shilole pekee wengine akili ufanana.Ni mjinga sana huyu dada, alitakiwa kabla mumewe hajafariki awe ameshamtengenezea empire yake binafsi, hizo mali nyingine kama IPP an the like ingekuwa tu kama atapata poa asipopata sawa maana tayari anayo empire yake binafsi ya kumtosha,
Hakuwa mjanja, alijua tu starehe
Yule mnyarwanda alidhani ushauri wa mwarabu ungefanikiwaHivi mpaka leo hii kesi ipo tu?
Si adange au imechujaLazima tukubali kuwa income/inflow imepungua tangu Mengi amefariki na mjane anatakiwa kujua hilo. Maisha hayawezi kuwa sawa. Ajipange upya
Ndugu tofautisha mjane na mdangajiHapana hao wasimamizi wanapaswa watenguliwe usimamizi mara moja.
aliye stahili kuwa msimamizi ni mjane wa marehemu akisaidiwa na ndugu mwengine.
Lengo la hao wasimamizi naa ndugu ni kumdhulumu mjane na watoto wake.
wanawake mko wapi? mjane huyu Jaquline ananyanyaswa kiasi hiki wakati ana haki!!
Vyama vya kutetea Haki za wanawake mko wapi? taasisi na NGO mbalimbali mko wapi kinacho fanyika ktk sakata hili ni unyanyasaji wa kijinsia.
mfumo dume unakandamiza haki za mjane.
Mwambie jambazi la kibailojia wachaga pesa yao hailiki hovyo.ndiye aliye kuwa anampa furaha marehemu.
hivyo anayo haki utake usitake.
Ndugu wa Marehemu wanataka kupora na kudhulumu Haki ya Mjane kwa kutumia mfumo dume kandamizi.