Wasioamini juu ya uwepo wa Mungu wanasemaje kuhusu mchawi aliyedondoshwa na nguvu za Mungu?

Wasioamini juu ya uwepo wa Mungu wanasemaje kuhusu mchawi aliyedondoshwa na nguvu za Mungu?

Ni vigumu kuthibitisha ukweli wa taarifa maana haya yanatokea kila siku tu. Mwaka juzi kuna moja ilitokea mbeta eti kanaswa juu ya bati la mchungaji. Kumbe mwanamke katoka Mwanza kalipwa ila hakujua kuwa ile habari itasambaa sana kwa sababu ya mtandao ikasambaa hadi watoto na mmewe wakaiona na wao hawakuwa na taarifa kuwa maza yuko mbeya walidhani yuko kwenye sijuo semina.
Mama akaona hapa maji yamezidi unga ikabidi aseme ukweli kuwa alilipwa ionekane kanasa juu ya paa la mchungaji.
Haya maigizo si kwa wachungaji tu, umesahau tukio la kiroba kunasa kichwani kimara eti jamaa kaweka dawa toka kwa mganga ukiiba mzigo haushuki. Kumbe usanii tu wa kumfanya mganga avute watu na kweli taarifa ikasambaa watu wakaamini hadi polisi walipoingilia.
Ni kweli kuna waigizaji, lakini sidhani kama hayo matukio ni maigizo.

Kuna miujiza halisi na feki.
 
Hauko updated wewe mleta video ,hiyo video ya huyo mama msukuma sijui shija mbona alibabwa na polisi akadai ilikuwa ni maigizo ya mchungaji walifanya ili kujipatia waumini,na alidai kwao ni Sengerema,na alifanya hivyo kwa malipo ya shilingi 50K,hakuna cha uchawi wala guvu za Mungu hapo ni maigizo ya wachumia tumbo ili wapige hela za waumini
Unaweza kuweka link ya confession yake? Isije ikawa labda ni mwingine.

Kuna miujiza fake, hilo linafahamika, na kuna "maigizo" pia.
 
Mtoto wa muumini alifufuliwa kwa mama wa mtoto kumtaja mungu wa nabii mkuu, masikitiko yangu wiki mbili zilizopita yule nabii kafiwa na mtoto wake wa kiume alishindwa vipi kufanya jambo la kumwepusha mwanae na umauti usimfike?
 
Na huyu mwanamke "aliyefariki" 2020 kwa ajali ya gari na kuonekana 2024 akiwa hai naye pia anaigiza?
 

Attachments

  • MAAJABU!_MREMBO_ALIYEFARIKI_AJALINI_2020_-_AKUTWA_MZIMA_2024_-_NDUGU_WAMKAGUA_KWELI_ni_YEYE......mp4
    13.6 MB
Hizo ni drama tu wala sio mara ya kwanza kutokea hapa Tanzania.

Njaa hua zinasababisha watu kufanya mambo ya ajabu. Hapo huyo kapewa hela na mganga ili kumtaftia soko la wateja.

Achana na hadithi zisizo na kichwa wala miguu hakuna cha mungu wala shetani.
Na huyu je?
 

Attachments

  • ALIYEFARIKI_2020_na_KUONEKANA_2024_AZUNGUMZA_KWA_MARA_YA_KWANZA_-AULIZWA_HUYU_NANI_ASEMA_WAZIR...mp4
    20.1 MB
Huyu itakua alimuamini hata yule mama aliyesema kajifungua Jiwe.
Tupe mawazo yako kuhusiana na hili tukio
 

Attachments

  • ALIYEFARIKI_2020_na_KUONEKANA_2024_AZUNGUMZA_KWA_MARA_YA_KWANZA_-AULIZWA_HUYU_NANI_ASEMA_WAZIR...mp4
    20.1 MB
  • WASIMULIA_NDUGU_YAO_ALIYEFARIKI_2020_NA_KUONEKANA_HAI_2024,__TULIMZIKA,_ALIGONGWA_NA_GARI_(240p).mp4
    14.2 MB
  • ALIYEFARIKI_2020_AONEKANA_2024,_WANANCHI_WAFURIKA_KUMUONA,_NDUGU_ZAKE_WASIMULIA__ALIGONGWA_NA_...mp4
    18.8 MB
Kusika tu tayati ushaamini ,ulisikia yule mtu aliejfungua jiwe mwisho wake ?


Kama unadhibitisha uwepo wa Mungu kwa hizi drama unafeli pakubwa.
Kwa aliyedai kujifungua jiwe ilithibitika kuwa aliongopea, lakini hili la huyu "aliyekufa" 2020 na kuonekana hai 2024 limethibitishwa kuwa ni kweli. Taarifa ziko wazi. Utapingana hata na jambo lililo wazi kiasi hicho?
 
Aliyedai kunifungua kiwe ilithibitika kuwa aliongopea, lakini hili la huyu "aliyekufa" 2020 na kuonekana hai 2024 limethibitishwa kuwa ni kweli. Taarifa ziko wazi. Utapingaba hata na jambo lililo wazi kiasi hicho?
Hiz taarifa sio mara ya kwanza kwa Tanzania huu ujinga hauwezi upata nchi za watu walielimika au kwenye jamii za watu walio fanikiwa kiuchumi na kuwa na elimu ata apo apo tz jiulize kwa nini?
 
Hiz taarifa sio mara ya kwanza kwa Tanzania huu ujinga hauwezi upata nchi za watu walielimika au kwenye jamii za watu walio fanikiwa kiuchumi na kuwa na elimu ata apo apo tz jiulize kwa nini?
Kwa sababu ushirikina na "ufukara" ni kama pete na kidole.
 
Back
Top Bottom