Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nilikuwa natania TuMkuu, si kila Msukuma ni mchawi. Kuna Wasukuma wengi sana wanaompenda sana Mungu. Mosses Kulola alikuwa Msukuma aliyekuwa akiogopwa sana na wachawi kwa sababu ya Imani yake.
Kwa sababu, katika hali ya kawaida, binadamu anafahamu kuwa kuna ulimwengu zaidi ya huu unaoonekana kwa macho ya kawaida.Kwa nini umesema hivyo mkuu?
Walitaka "kumshughulikia" Mchungaji aliyekuwa akikwamisha kazi zao, lakini wakaishia kukutana na nguvu za Mungu na hatimaye kiongozi wao kudondoka na ungo.
"Atheist" atalichukuliaje tukio hilo?
Mungu Yupo, na watu wanaomwamini si wa kuchezewa na wachawi.
Video hiyo hapo.
View attachment 2851247View attachment 2851248
Sheria inasemaje kuhusiana na masuala ya kichawi? Mtu anapokamatwa kwa tuhuma za kichawi hufanyweje? Itasaidia akipelekwa kituo cha Polisi?
View attachment 2851268
Mkuu hakuna kitu kama hicho , Binadamu tamaa yake yakuishi ndio iliyofanya ajifariji kuna ulimwengu mwingne baada ya kufa, kitu ambacho kiuhalisia akipo, kipo kwenye fikra tu.Kwa sababu, katika hali ya kawaida, binadamu anafahamu kuwa kuna ulimwengu zaidi ya huu unaoonekana kwa macho ya kawaida.
Mkuu, sidhani kama ni kweli hujui kuwa kuna ulimwengu mwingine ambao wengine huuita ulimwengu wa roho. Kama ungekuwa hujui, ungekuwa na shauku ya kutaka kuujua. Lakini kwa jinsi unavyojibu, inaonekana unafahamu fika kuwa kuna ulimwengu wa roho na kuna maisha katika ulimwengu huo.
Kaulize majirani zakeMkuu,
Polisi walikuwepo kipindi binti anafariki? Na kwenye maziko yake?
Mkuu wa wilaya alijuaje binti huyo kafariki na kuzikwa?
Kuna autopsy yoyote iliyofanyika? Zipo wapi document za kitabibu?
🙏🙏🙏Mara nyingi wakipelekwa police huishia kuachiwa huru na kama italazimika kwenda mahakamani basi kisa litakuwa tress passing ama usumbufu kwa wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Babu zangu wepi?Sasa hapo kwanini usiamini huyo mchawi aliangushwa na nguvu za mchawi mwingine mwenye nguvu zaidi ?; Ukishaweka Imani everything goes.... wala hakuna cha kujadili....
Lakini kama tunaongelea logic basi kuna nafasi ya kuongea / kujadiliana kwa Hoja.... By the way Mungu ni yupi waliyomuamini mababu zako au hawa wa sasa waliokuja na Merikebu ?
Unless wewe sio Mbantu au asili yako ni huko Mecca au kwa Wayahudi basi hicho unachoamini sasa sicho walichoamini mababu zako..... Ingawa tukienda further kuna theory ambayo unaweza uka-argue Tanzania ni Cradle of Humanity hence hata wao wa huko walichokiamini kililetwa historicallyBabu zangu wepi?
Kwa imani yako like I say to each their own, ukishaweka Imani anything goes hata ukiamua kuamini tunaishi kwenye Matrix, fair to you.... ila swali linarudi palepale Babu zako hawakupata Memo ya kumuani huyu ambaye unamuani wewe ? (Au watakuwa walipata amnesia hapo katikati)Kuna Mungu na mungu. Huyo mwenye "m" ndogo ni mizimu, n.k., lakini wa "M" kubwa Ndiye aliyeziumba Mbingu na nchi.
Yap kama nilivyosema tangia mwanzo...., to each their own...., we are entitled to our faith and opinions, lakini when it comes to facts and logic we need something more...Mimi nimeamua kumfuata Mungu, Muumba wa Mbingu na nchi.
Bora🙏Mkuu nilikuwa natania Tu
✅👏👏👏🙏Kaulize majirani zake